Nikweli mkuu anayosema mleta mada japo haina maana kua ni vibaya kutumia sim za nokia.na pia kwa taarifatu nikwamba kampuni nyingi za sim au zote wamiliki wake ni freemason.hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao kwa njia yoyote lwakua asilia 95 ya mahtaji muhm ya mwanadam yapo mikononi mwao. Inahtaji muda na umakini mkubwa wa kuyajua haya.mf; ukiangalia vifaa vya LG logo yake nialama yao unaweza kukataa.ila ichunguze ile logo vizuri ni sanam yenye jicho moja.imekua hiyo kwakua watu huamini shetani hua anajicho moja na pia ana pembe mbili.na ndio maana hata ukichunguza matajiri na wanaziki kama mzee wa alamba taarabu nk.kwenye nyimbo zao wakicheza huonyesha ishara ya vidole viwili kama ishara ya kumtukuza huyo shetani mwenye jicho moja na pembe mbili.
Namuunga mkono
Wimana alivyosema "Nilisikia Nokia ni jina la Mto mojawapo huko Finland, sasa kipi ni kipi?" mie kazi yangu ni kuleta ushahidi kum-support na kumwondoa hofu Wimana kwamba yupo sahihi, pia
mkiva na
tedo someni pia, embu tuangalie hapo chini kama nilivyoitoa kwenye wikipedia;
Nokia, Finland (Finnish pronunciation:
[ˈnokiɑ]) is a
town and a
municipality on the banks of the Nokianvirta River (
Kokemäenjoki) in the region of
Pirkanmaa, some 15 kilometres (9 mi) west of
Tampere. As of 30 September 2012 it has a population of 32,204
History
The origin of the name "Nokia" is obscure.
In modern Finnish, noki means soot and nokia is its inflected plural, although this form of the word is rarely if ever used. The most common theory claims the name actually originates from the archaic Finnish word
nois (
pl. nokia) or
nokinäätä ("soot marten"), meaning
sable.[SUP]
[6][/SUP] After sable was hunted to extinction in Finland, the word was applied to any dark-coated fur animal, such as the
marten, which are found in the area to this day. The sable is enshrined on the Nokia coat of arms. However, later research has appeared to indicate that sables never inhabited Finland in the first place, and the name
nois may actually refer to the
beaver.[SUP]
[7][/SUP]
The first literary reference to Nokia is in a 1505 document in connection with the Nokia Manor.
Nokia was the setting of one of the largest battles in the
Club War, a 1596 peasant uprising against Swedish feudal lords. The peasants, armed with clubs, took up residence in Nokia Manor and won several skirmishes against the feudal cavalry, but were decisively defeated by
Klaus Fleming on January 1–2, 1597. Thousands of clubmen were slain and their leader
Jaakko Ilkka, who had fled, was captured a few weeks later and executed. The Club War was the last major peasant revolt in Finland, and it permanently consolidated the hold of the nation state. Much later, in the
Finnish Civil War (1918), Nokia (along with neighboring Tampere) was a Socialist stronghold and saw some combat.
Nokia used to reach out to the current heart of Tampere, with the Pispala area a part of Nokia's Suur-Pirkkala area. Suur-Pirkkala was eventually split into Pohjois- and Eteläis-Pirkkala (Northern and Southern). In 1938 Pohjois-Pirkkala was renamed as Nokia and Southern Pirkkala restored its original Pirkkala name. Nokia was designated as a city in 1977.
KAZI KWAKO MLETA UZI MAANA SIE TUMEFANYIA KAZI HOJA YAKO NA TUMEKUTANA NA HII (
noki means soot and nokia is its inflected plural) NA SI KAMA ULIVYOSEMA WEWE