NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

Nilisikia Nokia ni jina la Mto mojawapo huko Finland, sasa kipi ni kipi?

Yah mkuu na chimbuko la nokia ni finland siku hizi hili neno freemasons limekuwa janga la kitaifa. Itakuja kuwa wanafunzi wakifeli mitiani watasema freemasons.
 
after I googled, this one came up as a direct transilation for GOD in Korean language.

하나님 - hananim [GOD]
 
Sasa jamaani ikiwa ni hivyo,je ni makosa kuitumia?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nikweli mkuu anayosema mleta mada japo haina maana kua ni vibaya kutumia sim za nokia.na pia kwa taarifatu nikwamba kampuni nyingi za sim au zote wamiliki wake ni freemason.hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao kwa njia yoyote lwakua asilia 95 ya mahtaji muhm ya mwanadam yapo mikononi mwao. Inahtaji muda na umakini mkubwa wa kuyajua haya.mf; ukiangalia vifaa vya LG logo yake nialama yao unaweza kukataa.ila ichunguze ile logo vizuri ni sanam yenye jicho moja.imekua hiyo kwakua watu huamini shetani hua anajicho moja na pia ana pembe mbili.na ndio maana hata ukichunguza matajiri na wanaziki kama mzee wa alamba taarabu nk.kwenye nyimbo zao wakicheza huonyesha ishara ya vidole viwili kama ishara ya kumtukuza huyo shetani mwenye jicho moja na pembe mbili.

Mnasumbuliwa na ufinyu wa akili kuweza kutfsiri mambo. Nendeni shule acheni majungu.
 
Waswahili walisema jambo usilolijua ni usiku wa kiza.

Kwa taarifa yako Nokia ni mji mmoja mdogo ulioko Finland jirani na mji wa Tampere. Huko ndiko kiwanda cha Nokia kilipoanzishwa enzi hizo kilikuwa kiwanda cha viatu na baadaye cha matairi kabla ya kuingia kwenye Hi-tech na kutengeneza TV na mwishoni simu. Kauli mbiu ya Nokia ni 'Connecting people' (kuunganisha watu), ndiyo sababu ya hiyo mikono inayoonekana kwenye simu zote za Nokia. Lugha ya kifini haifanani kabisa na kiingereza na kwa hakika haifanani na kikorea... Na wafini walio wengi, hasa wa zamani walikuwa hawaongei kabisa kiingereza. Wafini wanasoma mpaka kiwango cha vyuo vikuu kwa kifini. Mkuu hiyo tafsiri yako ina walakini!

Cheki link hii

Nokia Map - Finland - Mapcarta

Ni kama sisi tuanzishe kiwanda Chalinze cha kutengeneza matairi ya Chalinze na baadaye tuhamie kwenye simu tuziite Chalinze.

Haya sasa mleta mada akawadanganye wajinga hukohuko madrasa. Nyambafuuu!
 
porojo za ijumaa hizi heheheheh, NO - hapana kwa kingerezaKIA - uwanja wa ndege wa kiakwa hiyo jamaa walimaanisha hakuna kutua uwanja wa kia,afu unaona watu wawili wakishikana mikono, mhhhhhhh hata sijui nilitaka kuandika nini tena, byeeeeeeeee, ijumaaa njema wadau
 
Hao massonic watengeneze kila kitu sisi tutavitakasa na kuvikomboa kwa damu ya Yesu na kuendelea kuvitumia, kwani hii pesa yetu sh 500 ya karume ile picha ya nyoka unadhani ni ya nani?


Mungu akubaliki kumbe na wewe jembe!!
Well said mkuu!

nilikuwa mptaji tu! Lkn umenifanya ni login kwaajili yako tu!
 
quote_icon.png
By Jodoki Kalimilo
Na mie nakuja na hii sasa kuhusu Freemason

Free = Bure
Mason = Fundi mwashi / fundi kujenga

Freemason in this case is Fundi mwashi / kujenga wa bure



free [free]
adjective (comparative fre·er, superlative fre·est)

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 1. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] costing nothing: requiring no money to be paid Win a free meal for two.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 2. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not kept prisoner: not, or no longer, physically bound or restrained, e.g. as a prisoner or in slavery Once outside the prison walls he would be a free man. They hoped to be set free within the week.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 3. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not restricted in rights: not subject to censorship or control by a ruler, government, or other authority, and enjoying civil liberties It's a free country.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 4. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] self-ruling: not ruled by a foreign country or power[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 5. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not regulated: not controlled, restricted, or regulated by any external thing You are free to choose.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 6. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not busy: not busy or occupied with work had virtually no free time She'll be free in a moment.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 7. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not being used: not being used, reserved, or taken by somebody else no free seats left
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 8. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not attached: not tied or attached to something grabbed the free end of the rope
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 9. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not affected by particular thing: not subject to or affected by a particular thing, especially something undesirable ( often used in combination ) drinking water that is free of contamination a trouble-free trip
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 10. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not containing something: not containing a particular thing ( often used in combination ) a salt-free diet
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 11. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] disregarding traditional limitations: performed or written without being subjected to traditional conventions or restraints free verse
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 12. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not blocked: not blocked or obstructed by anything allowing the free flow of electricity
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 13. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not physically restricted: not restricted by something such as tight clothing, stiffness, or lack of space interfering with its free movement
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 14. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] giving something readily: giving or expending something generously or readily They're very free with their advice.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 15. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] not exact: not following the original version of something word for word or very precisely a free translation
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 16. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] open and honest: spontaneous, open, and without awkwardness or reserve in speaking to or dealing with other people an appealingly free and open manner
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 17. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"]chemistry not chemically combined: not chemically combined with another substance[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 18. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"]physics not incorporated in larger body: not permanently incorporated in a larger body such as an atom, molecule, or compound[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 19. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"]nautical favorable: favorable to sailing a free wind
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 20. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"]linguistics able to be used alone: describes a unit of meaning morpheme that can be used on its own as a word, without needing to be part of another word. See also bound[SUP]4[/SUP]adj (sense 1) [/TD]
adverb

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 1. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] without cost: without paying any money They let you in free if you show your student card.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 2. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] out of restricted position: out of a position in which somebody or something is tied, fixed, restricted, or restrained managed to wriggle free from his grasp
[/TD]
transitive verb (past and past participle freed, present participle free·ing, 3rd person present singular frees)

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 1. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] release somebody from captivity: to release somebody from physical bonds or restrictions, captivity, or slavery The defendants were freed after their acquittal.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 2. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] rid somebody or something of something: to remove a restriction, a burden, or an unwanted or undesirable thing from somebody or something freed from the cares of high public office
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 3. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] make somebody or something available: to make somebody or something available for use or able to do something This should free you to do more of your own research.
[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] 4. [/TD]
[TD="class: DEFINITION"] unclog something obstructed: to clear something of an obstruction[/TD]
[ Old English freo < Indo-European, "dear, beloved"] for free without paying
free and easy relaxed, friendly, and informal
free of charge requiring no money to be paid All our patients are treated free of charge.

make free with somebody to behave in too familiar and informal a way toward somebody
make free with something to use something in an overfamiliar or overindulgent way, without showing respect or restraint
watu8, bure = ?
 
Last edited by a moderator:
porojo za ijumaa hizi heheheheh, no - hapana kwa kingerezakia - uwanja wa ndege wa kiakwa hiyo jamaa walimaanisha hakuna kutua uwanja wa kia,afu unaona watu wawili wakishikana mikono, mhhhhhhh hata sijui nilitaka kuandika nini tena, byeeeeeeeee, ijumaaa njema wadau

jf ni tamu kuliko asali
 
Mimi yangu hii Ukwaju FREE MA SON = MUACHIE HURU MTOTO WANGU
 
Last edited by a moderator:
&#31070; : hili ndo neno linalomaanisha God kwa kijapani..nimetumia google translator.. sasa kwanini wasingeiita NO&#31070;?..
Hii dunia inavitu vingi sana na kuna information nyingi sana ambazo usipokuwa muangalifu kukaa chini na kutafakari vitu na kuangalia maadili na imani yako zinakwendaje basi utaishia kuwa kama bendera inayofuata upepo..

Sio wote wasio amini katika Mungu ni freemasons..kunawatu wameelimika na wameingia deep kwenye philosophy mpaka hawaamini mungu.hata baadhi ya mascientist..hawa watu hawaamini uwepo wa mungu wala shetani ila wanaamini katika jema na baya. wanaishi ili watende mema na waisaidie dunia.

kama unazidi kusikiliza hizi habari na kuziamini basi kuwa muangalifu sana maana utanaweza ukajiua. wanasema nyoka ni alama ya freemasons pia. ukichunguza nembo za hospitali zote kubwa zinahiyo alama..sasa kama ukizidi kuamini sijui utapata wapi tiba. wengine wanasema pia V ni alama ya freemasons..

tukumbuke kuwa kila mtu amepewa akili ya kutafakari mambo na tusiamini tu mara moja kila tunachokisikia..wewe umeweka mlango nyumbani kwako kwa ajili ya kuingia na ukajenga ukuta kama uzio kuonyesha kuwa mali zilizozungukwa na ukuta huo ni zako. Lakini mwizi akija anaakili zake tofauti..ataona njia rahisi ya kuingia ni kuruka ukuta aibe alafu aondoke..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom