NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

NOKIA Ni Freemasons: SIKUJUWA!!

nashauri wadau tusiwe wepesi wa kupinga kila kitu hebu tujipe muda wa kuvichunguza kila mtu achunguze kwa nafasi yake.pia tusiwetu tunaparamia mada bila kuifikiria tukaanza kumkebeh mleta mada tena bila hoja.tusiwe kama tumetoka fesibuku
 
Kiukweli asilimia kubwa ya mahitaji yetu wanamiliki wao... hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao... Cha muhimu ni kutojiunga / kutokuwa mwanachama baaaaaas!!!!!!!!
 
Nokia ni jina la mji uliopo Finland.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Be reasonable! First A company can be owned by freemason(s) but a company itself cannot be. Secondly even if it is owned by freemasons then what is the big deal?
Unless you show something hamful made by nokia "being freemason" it remains a garbage post. Finally, You don't even seem to know what you are talking about: Freemasonry is fratenity not a mumbo-jumbo guesses.
 
Naona wengine mwataka kupasuka kwa hasira!! Kwanza hebu ingieni JF CHIT CHAT mupunguze hasira kisha murudi tena.. AU niwaite wenyeji wake waje kukuchukuweni?
 
Naona sasa kuna hatari ya kuambiwa kuvaa nguo ni freemanson, hivyo tutembee uchi!
 
Hao massonic watengeneze kila kitu sisi tutavitakasa na kuvikomboa kwa damu ya Yesu na kuendelea kuvitumia, kwani hii pesa yetu sh 500 ya karume ile picha ya nyoka unadhani ni ya nani?
 
Nikweli mkuu anayosema mleta mada japo haina maana kua ni vibaya kutumia sim za nokia.na pia kwa taarifatu nikwamba kampuni nyingi za sim au zote wamiliki wake ni freemason.hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao kwa njia yoyote lwakua asilia 95 ya mahtaji muhm ya mwanadam yapo mikononi mwao. Inahtaji muda na umakini mkubwa wa kuyajua haya.mf; ukiangalia vifaa vya LG logo yake nialama yao unaweza kukataa.ila ichunguze ile logo vizuri ni sanam yenye jicho moja.imekua hiyo kwakua watu huamini shetani hua anajicho moja na pia ana pembe mbili.na ndio maana hata ukichunguza matajiri na wanaziki kama mzee wa alamba taarabu nk.kwenye nyimbo zao wakicheza huonyesha ishara ya vidole viwili kama ishara ya kumtukuza huyo shetani mwenye jicho moja na pembe mbili.

Namuunga mkono Wimana alivyosema "Nilisikia Nokia ni jina la Mto mojawapo huko Finland, sasa kipi ni kipi?" mie kazi yangu ni kuleta ushahidi kum-support na kumwondoa hofu Wimana kwamba yupo sahihi, pia mkiva na tedo someni pia, embu tuangalie hapo chini kama nilivyoitoa kwenye wikipedia;

Nokia, Finland (Finnish pronunciation: [ˈnokiɑ]) is a town and a municipality on the banks of the Nokianvirta River (Kokemäenjoki) in the region of Pirkanmaa, some 15 kilometres (9 mi) west of Tampere. As of 30 September 2012 it has a population of 32,204

History

The origin of the name "Nokia" is obscure. In modern Finnish, noki means soot and nokia is its inflected plural, although this form of the word is rarely if ever used. The most common theory claims the name actually originates from the archaic Finnish word nois (pl. nokia) or nokinäätä ("soot marten"), meaning sable.[SUP][6][/SUP] After sable was hunted to extinction in Finland, the word was applied to any dark-coated fur animal, such as the marten, which are found in the area to this day. The sable is enshrined on the Nokia coat of arms. However, later research has appeared to indicate that sables never inhabited Finland in the first place, and the name nois may actually refer to the beaver.[SUP][7][/SUP]

The first literary reference to Nokia is in a 1505 document in connection with the Nokia Manor.
Nokia was the setting of one of the largest battles in the Club War, a 1596 peasant uprising against Swedish feudal lords. The peasants, armed with clubs, took up residence in Nokia Manor and won several skirmishes against the feudal cavalry, but were decisively defeated by Klaus Fleming on January 1–2, 1597. Thousands of clubmen were slain and their leader Jaakko Ilkka, who had fled, was captured a few weeks later and executed. The Club War was the last major peasant revolt in Finland, and it permanently consolidated the hold of the nation state. Much later, in the Finnish Civil War (1918), Nokia (along with neighboring Tampere) was a Socialist stronghold and saw some combat.
Nokia used to reach out to the current heart of Tampere, with the Pispala area a part of Nokia's Suur-Pirkkala area. Suur-Pirkkala was eventually split into Pohjois- and Eteläis-Pirkkala (Northern and Southern). In 1938 Pohjois-Pirkkala was renamed as Nokia and Southern Pirkkala restored its original Pirkkala name. Nokia was designated as a city in 1977.

KAZI KWAKO MLETA UZI MAANA SIE TUMEFANYIA KAZI HOJA YAKO NA TUMEKUTANA NA HII ( noki means soot and nokia is its inflected plural) NA SI KAMA ULIVYOSEMA WEWE
 
Last edited by a moderator:
nashauri wadau tusiwe wepesi wa kupinga kila kitu hebu tujipe muda wa kuvichunguza kila mtu achunguze kwa nafasi yake.pia tusiwetu tunaparamia mada bila kuifikiria tukaanza kumkebeh mleta mada tena bila hoja.tusiwe kama tumetoka fesibuku

Mkaishi basi porini na wanyama ebo....!kila kitu freemason mnaboa kweli.....Ipo siku utakuja jichunguza mwili wako utaona umekaa ki-freemason sijui utafanya nn....

Bullshit kizazi hiki bure kabisa....anzisha basi kampuni yako utengeneze simu shwain.....Nimeshikwa naasira sana....

pumbavu...
 
Hivi unatania au upo serious.
Kama ndio uwezo wako umeishia hapo basi unahitaji kumuona dakitare.
Niliingia kwa nia ya kusoma but in the back of my mind I knew it would be something like yale ya mtoto wa Jay-Z.
Nimefika na kusoma, seriously, this beats anything I have heard on "free masons" so far. Yani nimecheka hadi basi.
Hata neno Mwali linaweza kuonekana ni la ki-free-mason kwa mtingo huu
(kukata neno, na kuchanga lugha, then kuunga tafsiri).
 
haha this has made my day! Mbona uongo mwingi.. Kwanza neno Kia nakubali nikorea but haimanishi mungu, ina maanisha arise to the world from asia/arise out of asia, some thing like dat sasa iyo maana ya Mungu umetoa wapi? Mimi hii maana iko wikipedia na every where u can google it.. Sasa tukitafsiri kwa hoja ulioleta haitaleta maana kuwa neno limegawanya from 2 words. La pili tunajua kabisa neno Nokia limetokea Finland ambalo ni mji uko. Next time angalau chunguza kwanza, kwani mangapi tuna ambiwa na ni fx tu we una jump into conclusion hapo hapo.
 
Niliingia kwa nia ya kusoma but in the back of my mind I knew it would be something like yale ya mtoto wa Jay-Z.
Nimefika na kusoma, seriously, this beats anything I have heard on "free masons" so far. Yani nimecheka hadi basi.
Hata neno Mwali linaweza kuonekana ni la ki-free-mason kwa mtingo huu
(kukata neno, na kuchanga lugha, then kuunga tafsiri).

Kuna mmoja alikuja na Holy Ghost akasema ni neno la kifreemason...
Unajua alifanyaje
Holy-Takatifu
Ghost-jini

Halafu akaunganisha akasema Jini mtakatifu...Can you imagine ni kizazi gani hiki ambacho hata kujishughulisha ku-google kitu kidogo kama hicho....?tutafika kweli..?
 
Hivi Freemason inaathiri vipi maisha yetu ya kila siku maana kila siku huyu ni freemason ama yule freemason, mie nina katochi kangu kananisaidia siku zinakwenda wanaosema nokia ni freemason watajiju
 
Kuna mmoja alikuja na Holy Ghost akasema ni neno la kifreemason...
Unajua alifanyaje
Holy-Takatifu
Ghost-jini

Halafu akaunganisha akasema Jini mtakatifu...Can you imagine ni kizazi gani hiki ambacho hata kujishughulisha ku-google kitu kidogo kama hicho....?tutafika kweli..?

Kitu kipo kwenye wikipedia nimeki-search na kupata origin of Nokia, jamaa kakurupuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom