Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,041
Kitu kipo kwenye wikipedia nimeki-search na kupata origin of Nokia, jamaa kakurupuka
Kuna mambo yanatia hasira we acha tu..

Kuna mmoja alikuja na Holy Ghost akasema ni neno la kifreemason...
Unajua alifanyaje
Holy-Takatifu
Ghost-jini
Halafu akaunganisha akasema Jini mtakatifu...Can you imagine ni kizazi gani hiki ambacho hata kujishughulisha ku-google kitu kidogo kama hicho....?tutafika kweli..?
Niliingia kwa nia ya kusoma but in the back of my mind I knew it would be something like yale ya mtoto wa Jay-Z.
Nimefika na kusoma, seriously, this beats anything I have heard on "free masons" so far. Yani nimecheka hadi basi.
Hata neno Mwali linaweza kuonekana ni la ki-free-mason kwa mtingo huu
(kukata neno, na kuchanga lugha, then kuunga tafsiri).
Kuna mambo yanatia hasira we acha tu..
I got this from a friend and i would like to share it with you Wakuu!!
Angalia tafsiri ya neno "NOKIA" neno hili limejengeka kwa lugha 2 tofauti KINGEREZA na KIKOREA.
Neno "NO" ni la Kingereza lenye maana ya kukataa!mfano: 'Hapana" "Hakuna".
Na neno "KIA" ni la kikorea lenye maana ya "Mungu", kwa hiyo ukiunganisha"NO" na "KIA" utapata "NOKIA" lenye maana "HAKUNA MUNGU".
Zima simu yako ya Nokia halafu iwashe uone mikono miwili wa M/mme na M/mke wanapeana support kukubali neno hilo .
"HAWA SI WENGINE ILA NI FREEMASONS."
We need JF age-meterhata mukitukana lakini ujumbe ushafikaaaa!!
I got this from a friend and i would like to share it with you Wakuu!!
Angalia tafsiri ya neno "NOKIA" neno hili limejengeka kwa lugha 2 tofauti KINGEREZA na KIKOREA.
Neno "NO" ni la Kingereza lenye maana ya kukataa!mfano: 'Hapana" "Hakuna".
Na neno "KIA" ni la kikorea lenye maana ya "Mungu", kwa hiyo ukiunganisha"NO" na "KIA" utapata "NOKIA" lenye maana "HAKUNA MUNGU".
Zima simu yako ya Nokia halafu iwashe uone mikono miwili wa M/mme na M/mke wanapeana support kukubali neno hilo .
"HAWA SI WENGINE ILA NI FREEMASONS."
Hivi unatania au upo serious.
Kama ndio uwezo wako umeishia hapo basi unahitaji kumuona dakitare.
I got this from a friend and i would like to share it with you Wakuu!!
Angalia tafsiri ya neno "NOKIA" neno hili limejengeka kwa lugha 2 tofauti KINGEREZA na KIKOREA.
Neno "NO" ni la Kingereza lenye maana ya kukataa!mfano: 'Hapana" "Hakuna".
Na neno "KIA" ni la kikorea lenye maana ya "Mungu", kwa hiyo ukiunganisha"NO" na "KIA" utapata "NOKIA" lenye maana "HAKUNA MUNGU".
Zima simu yako ya Nokia halafu iwashe uone mikono miwili wa M/mme na M/mke wanapeana support kukubali neno hilo .
"HAWA SI WENGINE ILA NI FREEMASONS."
nashauri wadau tusiwe wepesi wa kupinga kila kitu hebu tujipe muda wa kuvichunguza kila mtu achunguze kwa nafasi yake.pia tusiwetu tunaparamia mada bila kuifikiria tukaanza kumkebeh mleta mada tena bila hoja.tusiwe kama tumetoka fesibuku
Kiukweli asilimia kubwa ya mahitaji yetu wanamiliki wao... hatuwezi kukwepa kutumia bidhaa zao... Cha muhimu ni kutojiunga / kutokuwa mwanachama baaaaaas!!!!!!!!
Na mie nakuja na hii sasa kuhusu Freemason
Free = Bure
Mason = Fundi mwashi / fundi kujenga
Freemason in this case is Fundi mwashi / kujenga wa bure