Mkwaju Ngedere
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,046
- 874
‘Nchi imekabidhiwa kwa washamba,” Zitto.
BORA YA WASHAMBA KULIKO WEZI , WABINAFSI WANAO JALI MASLAHI YAO BINAFSI !!!
‘Nchi imekabidhiwa kwa washamba,” Zitto.
Kama wale waliouza nyumba za serikali, walionunua meli chakavu kwa bil 7, waliokamata meli ya samaki ya wachina na kusababisha hasara ya mabilioni ya shilingi, waliosababisha bombadia kushikiliwa Canada.BORA YA WASHAMBA KULIKO WEZI , WABINAFSI WANAO JALI MASLAHI YAO BINAFSI !!!
Kwa hiyo hawafufui makaburi??Ati Mahakama ya mafisadi iko inafanya nini? ukiiba ndo utajua kazi yake
thats wat am talking abt,Dah.....safi sana...ila ungesubiri 26.4 ingekuwa poa sana
Hahaa kaza moyo konde mzee..Nlikuwa nawaza kitu kama hiki dakika 30 zilizopita.
Nikajikuta naangalia bei za nyumba hispania.
Huu mwaka ukiisha sijaondoka Tanzania basi siondoki tena.
Naichukia hii nchi kuliko maelezo.
Sio kila tatizo unaweza kulitatua. Hata km unaweza basi upo wakati wake. Mm nimemuelewa jamaa. Kwa mazingira aliyonayo inawezekana akashindwa kuishi. Imagine km yaliyomkuta bwana Nondo, huenda jamaa ange react violently sasa anaona ili kuepusha shali basi ni bora akabebe zake maboksi maisha yaendeleeubongokid Inaonesha jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kutatua matatizo. Dawa ya matatizo ni kuyakabili na si kukimbia. Sasa nako huko ukipata changamoto unakimbia, kwingine hivyo hivyo. Pole yao unaowaongoza au wanafamilia.
Hayatuhusu, wewe hangaika na hali yako,uchukie au ufurahi hakutuongezei wala kutupunguzia ugali mezani.Nenda kwa hao unaojivunia kwenda kwako sisi daima tunajivunia Utanzania na tunatembea kifua mbele,nenda kavipige deki vibabu na vibibi huko uendakoNaondoka Tanzania,
Hivi sasa naelekea uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yangu hii. Nimeacha mke na watoto pamoja na wazazi ambao natarajia watanifuata baada ya mwezi mmoja kwani naenda kuwaweka sehemu salama zaidi na ambayo wanangu watakuwa na haki ya kuota ndoto.
Nirudi kwenye sababu za kuondoka;
Kwanza niseme sababu ya kwanza ya kuondoka na kwasababu ninao uwezo wa kuondoka, pili kwa kweli uzalendo unanishinda na naona kabisa kuwa kadiri siku zinavyoendaelea nazidi kuichukia nchi yangu, kuwachukia viongozi wangu, kuwachukia aia wenzangu na hata kujichukia mwenyewe.
Najisikia vibaya kwani sasa nina mashaka na wasi wasi wakati wote, naona aibu kuwa Mtanzania.
Ubaya mkubwa ni ukweli kwamba tayari nchi yetu imeshapiga magoti, wananchi wamekata tamaa, taifa limepoteza mwelekeo na hata sasa ukimuuliza hata Rais wetu ni wapi anakopeleka nchi yetu hana hata jibu dogo analoweza kukupa bila kujiuma uma na kuchanganya mambo.
Sijui tulikosea wapi, sijui turekebisheje ila kwa wale ambao tunaweza kuondoka basi tuondoka, nyumba na mali zangu zote nimeweka kwa madalali waziuze ili pesa hiyo itusaidie kwenda kuanza maisha mapya mimi na familia yangu.
Ee Mungu utusaidie
hahahahaaa kweli hii nchi laiti kungekuwa na uraisi wa kumiliki siraha bs sa hv tungekua tumepigana sana bastola aideeNikiendelea kuka hapa nitakuja kuwa mtu mbaya sana zaidi ya gaidi