Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Afadhai yeye ana uwezo wa kwenda huko nje,wewe utaishia kubadilisha sori za viatu kwenda na kurudi lumumbaNaona unaenda kuungana na dada yako mange
Afadhai yeye ana uwezo wa kwenda huko nje,wewe utaishia kubadilisha sori za viatu kwenda na kurudi lumumbaNaona unaenda kuungana na dada yako mange
Naedna kuanza maisha mapya at any cost,N itabakiza nyumba ya urithi kwa sababu za kiutamaduni ila nilivochuma kwa hela yangu vyote nauza niende nikabebe maboksi na kusafisha choo ng'ambo nikiwa na amani moyoni sio kukaa kwenye nchi ambayo inatia kichefuchefu na kuhara wakati wote
Wewe ulikuja kuiba hapa TZ, na ulikuwa mwizi enzi za JK, ***** JPM kakunyooosha rudi kwenu pumbavuuuuu........
Vipi hivi ile hela katika ripoti ya CAG iliyopotea hapo ufipa na wewe umefaidika au anakula mbowe pekee huku wewe ukiendelea kuwa mda fish a viatu wake?Afadhai yeye ana uwezo wa kwenda huko nje,wewe utaishia kubalisha sori za viatu kwenda na kurudi lumumba
Millioni 350 mlizo kula za wastaafu wenu wewe ulifaidika nini?Vipi hivi ile hela katika ripoti ya CAG iliyopotea hapo ufipa na wewe umefaidika au anakula mbowe pekee huku wewe ukiendelea kuwa mda fish a viatu wake?
Ati Mahakama ya mafisadi iko inafanya nini? ukiiba ndo utajua kazi yakeMahakama ya Mafisadi inafanya nini sasa? Mbona imekufa kibudu?
Mikataba ya kuiba imesainiwa na nyie wanaCCM hapo Lumumba na bado wanaiba
Pesa ya Makinikia iko wapi?
Umbu mbumbu Wahed
Waliondoka wazungu Zimbabwe na Afrika Kusini kwenda Australia. Huko wakakuta mambo magumu si kama walivyozoea Afrika Kusini na Zimbabwe. Kule hakuna wa kumwonea. Walirudi Zimbabwe na Afrika Kusini kwa mlango wa nyuma. Waliobahatika walienda Malawi na Zambia. Ukiondoka uondoke kwa kupanga kuondoka bila uchungu ama jazba. Ukirudi unarudi tu pasipo pressure. Tena huagi kwa sauti kubwa.Wee nenda tu,unataka Rais aipeleke nchi wapi,wakati hata Nyerere kaiacha hapahapa! Hi nchi kwao ni hapa haina safari ya kwenda popote.
Mkuu vijana wa ccm wameharibikiwaMahakama ya Mafisadi inafanya nini sasa? Mbona imekufa kibudu?
Mikataba ya kuiba imesainiwa na nyie wanaCCM hapo Lumumba na bado wanaiba
Pesa ya Makinikia iko wapi?
Umbu mbumbu Wahed
Umerogwa wewe siyo bureUkomavu n kukabiliana na matatzo na sio kuyakimbia, utafka unapokwenda napo kuna matatzo yake uko ndio ata Uhuru wa kuongea hautakua nao na akil itakutuma ukimbie tena, tena na tena
Sikutakii mema wala mabaya pia, ntakukalibisha tena Tz bongo kwa mikono miwil kama mwana mpotevu
Nakuona upo hapo bibititi unapiga mihayoAti Mahakama ya mafisadi iko inafanya nini? ukiiba ndo utajua kazi yake
Kwa hiyo ID yako sishangai hii comment yako wewe muhutu



muhutu vs mmawia mla panya,mchanja chale!!! Patamu haaaapoooo!
Ukweli unabakia palepale tumuhutu vs mmawia mla panya,mchanja chale!!! Patamu haaaapoooo!
![]()
Haipingiki mkuu,sote wakimbizi tu.Ukweli unabakia palepale tu
Fent FordHaipingiki mkuu,sote wakimbizi tu.
Aiii mwaya usiondoke jomoniNaondoka Tanzania,
Hivi sasa naelekea uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yangu hii.Nimeacha mke na watoto pamoja na wazazi ambao nataraji watanifuata baada ya mwezi mmoja kwani naenda kuwaweka sehemu salama zaidi na ambayo wanangu watakuwa na haki ya kuota ndoto.
Nirudi kwenye sababu za kuondoka.
Kwanza niseme sababu ya kwanza ya kuondoka na kwa sababu ninao uwezo wa kuondoka,pili kwa kweli uzalendo unanishinda na naona kabisa kuwa kadiri siku zinavyoendaelea nazidi kuichukia nchi yangu,kuwachukia viongozi wangu,kuwachukia aia wenzangu na hata kujichukia mwenyewe.
Najisikia vibaya kwani sasa nina mashaka na wasi wasi wakati wote,Naona aibu kuwa Mtanzania.
Ubaya mkubwa ni ukweli kwamba Tayari nchi yetu imeshapiga magoti,wananchi wamekata tamaa,taifa limepoteza mwelekeo na hata sasa ukimuuliza hata rais wetu ni wapi anakopeleka nchi yetu hana hata jibu dogo analoweza kukupa bila kujiuma uma na kuchanganya mambo.
Sijui tulikosea wapi,sijui turekebisheje ila kwa wale ambao tuna weza kuondoka basi tuondoka,Nyumba na mali zangu zote nimeweka kwa madalali waziuze ili pesa hiyo itusaidie kwenda kuanza maisha mapya mimi na familia yangu.
EE MUngu utusaidie