capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,267
Nikiendelea kuka hapa nitakuja kuwa mtu mbaya sana zaidi ya gaidi
Nikiendelea kuka hapa nitakuja kuwa mtu mbaya sana zaidi ya gaidi
Ufipa kazi mnayo,Millioni 350 mlizo kula za wastaafu wenu wewe ulifaidika nini?
Ukomavu n kukabiliana na matatzo na sio kuyakimbia, utafka unapokwenda napo kuna matatzo yake uko ndio ata Uhuru wa kuongea hautakua nao na akil itakutuma ukimbie tena, tena na tena
Sikutakii mema wala mabaya pia, ntakukalibisha tena Tz bongo kwa mikono miwil kama mwana mpotevu