Noandoka Tanzania

ubongokid Inaonesha jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo wa kutatua matatizo. Dawa ya matatizo ni kuyakabili na si kukimbia. Sasa nako huko ukipata changamoto unakimbia, kwingine hivyo hivyo. Pole yao unaowaongoza au wanafamilia.
 
if you cant change it, then who??? tukimbie wote nani abaki? you should be brave. no matter where you go wewe ni mtanzania, hata huko utakapoenda utafanikiwa tu kutoyashuhudia yanayoendelea kwa macho, but kama unavosema uzalendo umekushinda that means una uchungu na nchi yako. huna ulichokichokwepa. 😎
 
Mimi nilikwishafikia point kama hiyo na kuamua kusepa kimoja miaka kama 20 hivi iliyopita.

Nilishaona huu muziki wa sasa unakuja. Na hauepukiki. Tangu siku hizo.

Unanikumbusha maneno ya Buju Banton.

Aliuliza, watakaoweza kukimbia watakimbia, lakini vipi wasioweza?

Itabidi wabaki tu.

Untold Stories

Buju Banton

While I'm Living
Thanks I'll Be Giving
To the Most High You know,

I am living while I am living to the father I will pray
Only he knows how we get through everyday
With all the hike in the price
Arm and leg we have to pay
While our leaders play

All I see people a rip and a rob and a grab
Tief never love fe see tief wid long bag
No love for the people who a suffer real bad
Another toll to the poll may God help we soul
What is to stop the youths from get out of control
Full up of education yet no own no payroll
The clothes on my back have countless eyehole.
I could go on and on the full has never been told

I am living while I am living to the father I will pray
Only he knows how we get through everyday
With all the hike in the price
Arm and leg we have to pay
While our leaders play

Who can afford to run will run
But what about those who can't they will have to stay
Opportunity a scarce, scarce commodity
In these times I say
When mama spend her last and send you go class
Never you ever play
It's a competitive world for low budget people,
Spending a dime while earning a nickel
With no regards to who it may tickle
My cup is full to the brim

The clothes on my back have countless eyehole
Could go on and on and the full has never been told
(On and On)
Though this life keep getting me down
Don't give up now
Got to survive somehow
Could go on and on and the full has never been told

I am living while I am living to the father I will pray
Only he knows how we get through everyday
With all the hike in the price
Arm and leg we have to pay
While our leaders play

Who can afford to run will run
But what about those who can't they will have to stay
Opportunity a scarce, scarce commodity
In these times I say
When mama spend her last and send you go class
Never you ever play
It's a competitive world for low budget people,
Spending a dime while earning a nickel
With no regards to who it may tickle
My cup is full to the brim
I could go on and on the full has never been told
I could go on and on the full has never been told
I could go on and on.
The full has never.

Been...
Toooooold.

Songwriters: Donovan Germain / Glenroy Browne / Handel Wesley Alexander Tucker / Mark Anthony Myrie
 
Tanzania ni nchi nzuri saana tuipende tuithamini wote bila kusubiri wanaotuongoza wafanye hivyo.

Kila mmoja ana maamuzi binafsi ila nakuhakikishia ukiwa nje unaweza kuipenda Tanzania na ukabadili mawazo.
 
Vipi hivi ile hela katika ripoti ya CAG iliyopotea hapo ufipa na wewe umefaidika au anakula mbowe pekee huku wewe ukiendelea kuwa mda fish a viatu wake?
Hawana jeuri ya kumhoji Mbowe,
Wengi waliojaribu wamekula makofi ya kutosha hapo Ufipa na kuamua kubaki ama kuondoka.
 
Tanzania ni nchi nzuri saana tuipende tuithamini wote bila kusubiri wanaotuongoza wafanye hivyo.

Kila mmoja ana maamuzi binafsi ila nakuhakikishia ukiwa nje unaweza kuipenda Tanzania na ukabadili mawazo.
Mkuu, ni ngumu na huwezi kuzuia tufani Tanzania ni pagumu sana kwa kila unachokifanya viongozi ndio huamua mlolongo wa maisha kwa mifumo ya mataifa yasiyo na mfumo sahihi unaweza kufanikiwa Leo kesho ukafilisika kwa kuwa serikali huendeshwa kwa maamuzi ya mfukoni mwa wenye mamlaka
 
Huenda anaenda Afghanistan, au Colombia, au pengine Palestina/Gaza au Ukraine na pengine hata Somalia
Colombia nchi nzuri sana nimeishi jijin medellin ni developed city maisha yapo powa sawa pia unaweza visit chile ,peru na Argentina pia maisha mazur kule sipo Tanzania nchi ya bashite hehehe
 
Dah,lakini sio njia ya kutatua swala linaloikumba nchi yako cha msingi ungesimamia yale ambayo unaona yataikomboa nchi yako,na hata hivyo huko unakokwenda je ywkitokea kama haya yanayotokea huku kwetu utarudi tena au utatafuta nchi nyingine????
 
Najua unachokisema... Ila viongozi wetu sio binadamu kutoka sayari nyingine. Ni watu miongoni mwetu.

Magufuli au wewe ni kiwakilishi cha jamii ya kitanzania ya waliowengi. Sitaki kusema kuikimbia nchi ni wazo baya ila amini wengi wanazipenda nchi zao wanapokuwa nchi za watu.... Hili lilinitokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…