Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,309
- 79,934
- Thread starter
- #41
Update;
Kwa ambao hamjapiga Kura
NRNE = Kura 102
Tunatiki= 5
Kwa ambao hamjapiga Kura
NRNE = Kura 102
Tunatiki= 5
kura haipigwi jamiii forums mtibeli.........subiri oktoba
Nimeguswa na huu mstari.Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.
Ikigota 200 na wanacharazwa, uzi unafutwa huu.Update;
Kwa ambao hamjapiga Kura
NRNE = Kura 47
Tunatiki= 3
Piga kura acha ujingavijana woote mwelekeo ni#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
#OKTOBATUNATIKI
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
unaichosha team yetu ya wapiga kura.Sio Kura za uchaguzi mkuu.
Ni kura kuuhusu uchaguzi mkuu
Ikigota 200 na wanacharazwa, uzi unafutwa huu.
unaichosha team yetu ya wapiga kura.
waache wana ccm. wana kazi moja tu oktoba. kwa sasa hawapaswi kuhusishwa na vurugu zozote.
Nimeguswa na huu mstari.
BTW kura yangu tayari nimepiga.
---
Nyongeza: Sijaona mwisho wa kupiga kura ni lini?
Sio wa kwanza wewe kuweka polls hapa zinazoshindanisha hoja mbili kuwahusu wao.Hauwezi kufutwa
Hapa watu wanatoa maoni kuhusu dhana mbili
Tuna hangaika bure, CCM wamekwisha jihesabia kura zao za zaidi ya asilimia 90!Habari za jumapili;
Zingatia; Kura ni za siri, hazitakuwa public. Haitajulikana umepigia upande UPI.
Pia hautakuwa na na nafasi ya kubadilisha Kura yako baada ya kupiga. Hivyo Fanya uchaguzi sahihi
Kuna mgongano wa makundi mawili;
Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi.
Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini.
Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa kuchagua upande.
Mtu huchagua upande aliopo kutokana na Uelewa wake, mtazamo wake, Maslahi yake.
Wapo wenye maslahi katoka HAKI na wapo wenye Maslahi katika dhulma.
Ingawaje Haki haimzuii mtu kuchagua dhulma ingawaje MTU akiamua kuchagua dhulma kwa haki yake anatakiwa pia asikatae mavuno ya dhulma yake.
Haya twende Kazi
Tuna hangaika bure, CCM wamekwisha jihesabia kura zao za zaidi ya asilimia 90!
Sio wa kwanza wewe kuweka polls hapa zinazoshindanisha hoja mbili kuwahusu wao.
Zote wanapigwa za kichwa na mwisho wa siku wanafuta uzi.
Subiri kura zisogee.😀😀😀
Huu hautafutwa