No orchid for Ms. Wema Sepetu

Kwahiyo wewe unaona kuikampenia ccm ni justification ya kula au kuuza ngada??? Na una maanisha ni afadhari angefanikisha Lowasa aingie madarakani kwasababu asingeisoma namba Na angeendelea kuuza Na kutumia ngada??
Huu upinzani ni hovyo kabisa!!
Umesems vema bro.
 
Wameipenda wenyewe acha waisome number!!! Wasaniii wote watajutaaa
 
mimi siipendi ccm ila kwa hili naunga mkono hoja ,hata kama watasema makonda anatafuta kiki poa tu!jk kakaa na majina miaka kumi,makonda kwenye hili hongera ,japo majina mengine hatujayaona,jux,diamond,nando,idi azzan,ruge,,millard,
Ruge?????.jaman acheni kujisemeaaa semeaa
 
Chukua Jembe ukalime mboga mboga.hivi kati ya lumumba na Ufipa nani anatetea wahalifu? Kila siku mnaambiwa agenda ambayo ingewafikisha ikulu mlishaikanyaga baada ya kukaribisha mamvi. Mmekusanya waviziaji wa matukio tena ya kihalifu na kuanza advocacy. Eti njaa, Cjui nini Kamepanda.. Fanya kazi we mama.
 

Kwamba wauza unga waachwe wakitamba kisa walishiriki kwenye kampeni!! Ndio sera zenu nyie mataahira?!!
 
Nyie kweli nyumbu,kipindi kile cha matokeo mlisema tumeiba kura,leo hii mnasema kina wema walisaidia ushindi.kipi ni kipi?okay kingine ni kuwa chama chetu cha lumumba hakikumbatii maovu,hata upige kampeni vipi haimanishi ndo ufanye uovu uangaliwe..halafu ishu za kina makonda na mapambano dhidi ya madawa hazihusiani na chama.
 
kwa hili mtoa
mada umeionea ccm. mbona hata chadema mbunge wake kafungwa jela mpaka leo haijamkatia rufaa?
 
Mzazi kumpiga mwanae anapokosea ni sawa tu maana si anamnyoosha,ila mtoto kumpiga mzazi anapokosea ni utovu mkubwa wa Adabu.

Heri ya hamsini nzima kuliko mia mbovu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Bandiko lako unataka kwamba chama kimtume labda karibu mkuu akamtoe wema polisi?

Akili za bavicha ni za aina yake!

Ccm haina wanachama kama ukawa wanaogeuza maswala binafsi ya wanachama kama ajenda za vyama!
 
Pale hamna kesi,wao walitakiwa kuwawekea mtego na kuwakamata na ushahidi,sasa unamwambia mtu aje polisi,si hata kama kweli anauza madawa,utakuwa umempa mda wa kufanya sanitation,
na hakuna mahakama inafunga mtu kwa hearsay
Na wengine wamepewa hadi siku tatu ndipo waripoti polisi, hivi kama kweli wanahusika hawawezi kutumia muda huo kuharibu ushahidi?
 
(bei za vyakula mtaani)haijari utawala wa sheria(Zanzibar election) Fundisho huwezi kuvuna nanasi kwenye miba.

= haijali

Haikuwa Mramba, haikuwa Yona wala haikuwa Lowasa, bila kumsahau mkwewe Sioi, itakuwa Wema?

CCM siyo kampuni kama ile ya Ufipa.

Hachekewi mtu, ni muda tu.

Subiri ujionee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…