Nawewe bana ukiona ndefu unakuwa mvivu duh si ujikaze tu....lolNiadisie......
Bibie tracy360 mpende anayekupenda... Kaa chini mwombe Mungu akufungulie upendo juu ya mmeo.
Hilo linaweza kuwa pepo la shetan linalotaka ww uwe mtu wakuvuliwa nguo hovyo.
Sasa linapoona unapata neema linajijenga moyon mwako na kutaka kukuvurugia.
Ulichokifanya ww ni kitu chema mbele ya Mungu sasa kwann ukose aman? Na moyo uone umekosea wakat uko sahihi?
Hilo pepo linataka kukurudisha kwa shetan kama ulivyoweza kuua kiumbe kisicho nahatia mbele ya Mungu...
Kaa chini mwombe Mungu ikibidi nenda hata kwa wachungaji wakuombee ndoa yako itakuwa salama na yenye aman tele..
Ubarikiwe na watu wote waseme amen.
Nawewe bana ukiona ndefu unakuwa mvivu duh si ujikaze tu....lol
kumbe tufanyeje mtu mpaka kakuoa bado humpendi kila siku arudi kwao tu
rafiki yangu alisamehewa karudi chuo heshma imakuepo
Jamani jamani.........we sawa.....
Shostito kakomesha viherehere vya mtaa wanaojidai ooh haolewi, kaolewa na mtu asompenda hadi leo hampendi mme wake sijui wakati wa mavituz inakuaje mweh sijui wanavaa mask kuvuta stimu
umeona ulivyo mjanja? Kwann mwenzako hukumshaur aachane na jamaa yake? Ulijitahidi kumshauri vzr mpaka kimeeleweka lakn kwa bidada hapa unasema arudi kwao.
Ww!
Mimi nimejiharibia mwenyew kwaio the rest of my life is being unhappy,sometimes nataman ningekua mzungu kwasababu wao wanaweza kutengua ndoa km mtu hayupo happy!sasa sisi wabongo ni ngumu na nikifanya hivi nitamuumiza mara mia!dah ni hayo tuu jamani.
Mi naona uliingia kwenye uhusiano ukiwa una maumivu ya mahusiano ya zamani
as your namesake lol
I have been there..and sio rahisi ila inawezekena kutoka kweny vifungo vya zamani and appreciating what you have now and being happy
Ni vizuri umegundua wewe ndio mwenye tatizo mara nyingi tunalaumu watu(we choose to blame others instead of evaluating ourselves)
Ni vizuri pia unajua kuwa what you had was not good for you ila pia elewa sisi wanawake at some point in time tunakua na Bad boys' syndrome yani unajikuta unapenda kufanyiwa mabaya na unapopata mtu sahihi your mind tells you are right ila moyo unamiss yale mabaya(weird but ipo)
Ninchokushauri
Learn to love yourself
Learn to appreciate what you have
Andka list ya mazur ya mumeo and ap[preciate them
Kama kuna jambo kakuudhi kaa nae mueleze
sali sana
someone wa JF once said "you may get in a relationship for the wrong reasons but stay for the right ones"
People fall out of love even if they would have died for one another at one point,so you can change this statement ikawa positive kwako
Nakupa huu ushauri niki-assume kuwa;
a) You don't have "Affection" towards him (because love is something else)
b) Kwa kuwa mlivyomeet kwa mara ya kwanza hakuwa mtu unayempenda na kulikuwa na prospect ya ndoa + wewe ni mwanamke. Ulimchunguza na ukakiri kwa vigezo vyote kuwa anafaa kuwa mume. Its just that you did not have affection.
(I believe wanawake kwenye kuchunguza mume wako serious)
Ya kuzingatia kabla hujasoma ushauri;
a) All the people are the same image of God the Almighty.
b) Hakuna linalomshinda Mungu (Absolutely nothing)
c) Marriage is a sacred Institute. Yani ni kama huduma kwa Mungu (Kwa sababu viumbe watakaozaliwa ni wake)
d) Love is a decision, not a feeling. While Affection is a feeling that is rewarded when you decide to love
e) Affection may come as a gift once but its something you fight to get continuously
f) Hapa usitafute ushauri utakaokupa material solution to your problem(easy way out). Tafuta a real advice that will build you towards your own happiness
Ushuhuda;
Hata sisi tuliokuwa happily married kuna kipindi huwa tunaboana mpaka ukisafiri kikazi unaenjoy.
Ukitoka unanunua zawadi kama wajibu(hata hujammiss mwenzio). Lakini ukifika mwenzio zawadi inamgusa na anakufanyia kitu hadi moyo wako unafurahi. Hapo unakuwa na affection kubwa sana and the happiness continues!
Ushauri;
Kwa kweli mimi kama mimi sioni kama umekosea sana (Yes u did a mistake). Mwombe Mungu awabadilishe muendane na akufungue macho umuone huyo mume kama furaha ya mwanamke kumuona mumewe imstahilivyo. It will profit you nothing to regret or seek divorce if you believe that God lives. Utaweza kumpata mume mwingine ukampenda na baadaye ukamchoka ukaanza tena kuregret na kudivorce ukalaani Institution ya marriage, kumbe ni wewe ulishindwa kupigana ili upate furaha ya ndoa.
Narudia tena hujakosea na huo si mwisho. Nyanyuka uwe mke mwema kwa mumeo na mama bora kwa familia. Kuna siku Mungu atakupa matunda ya jitihada zako. Hiyo furaha unayotafuta itakuzidi na utakuwa msaada mkubwa sana kwa ndoa zinazopotea. I promise you if you do right before the eyes of God, you will come to witness great things.
Ni hayo tu mdogo wetu!
Mwombe radhi maana mwenzi wake yupo na tezi halijawa dume. Hata kama ingelikuwa hivyo sivyo michepuko si ipo mpaka ajikaze?Nawewe bana ukiona ndefu unakuwa mvivu duh si ujikaze tu....lol