No one to blame ila mimi mwenyewe

No one to blame ila mimi mwenyewe

Hili ndio kosa sitaki kulifanya... Eeeh Mola nisaidie. Pole mdada!
 
Waoo this is karucee i always appreciate no wonder umeshika spana to fix and shape every shapeless things in your life,nimependa ulichosema paragraph ya pili na ya tatu natamani watu wote tungejua hili sad thing watu wanafikiri marriage is only affection,laazma tujifunze kufanya mambo yatokee bila kujitoa kwa kuumaniisha kwenye ndoa hata kama uliolewa na mtu ambaye ulisema uwez kuishi bila yeye it wont work

Thanks bro.

Unaweza kushangaa atakuja kuwa the best husband ever.
 
Pole kwenye shimo ilo naamini wamedumbukia wengi wala hauko peke yako cha msingi jitaidi kuyasahau yaliyo pita then muombe mungu akusaidie uweze kuwa na hisia na mumeo kuna siku utakuja kumpenda mpaka ujishangae saizi bado mapema we jaribu kupenda hata yale mazuri anayokufanyia
 
Pia siku ya kwanza tumeonana alichoniuliza ni kama nimepata ujumbe wake,nikajibu ndio!na aliniuliza kama nina mtu ninae mdate,nikasema hapana!hakutaka kujua profile yangu na mimi pia sikumuuliza yake kwasababu nilishaambiwa na mdogo wake!na yeye kunioa ilikua sio kwasababu alinipenda ila ni shinikizo la wazaz wake kua anatakiwa aoe kabila fulani,na yeye alisema amechoka kabisa kwaio yoyote ambae mdogo wake atamletea basi atamuoa huyo!
Pia nina hisi na yeye anafeel the same kama mimi,kwa jinsi tunavyo ishi!ila ndio hivyo maji tuliyavulia nguo wenyew shart tuyaoge!
Wadada narudia tena msije fanya mistake niliofanya mimi maana inatesa sana!
Samahani kwa mwandiko

Duh, poleni aisee
 
Hili ndio kosa sitaki kulifanya... Eeeh Mola nisaidie. Pole mdada!

kwa hiyo we bado upo upo sana tu!!

ila msichojua ni kwamba unayempenda wewe hakupendi kivile, so aliyesema you will learn to love him hakukosea kabisaaa!
 
Nimeolewa mwezi wa tatu mwaka huu jullie

it's too early kukata tamaa, we komaa na ndoa yako, learn to love the guy. Acha kumlinganisha na wale waliokuchezea wakakutosa, we fanyia kazi mapungufu yake yanayorekebishika, mengine mbele kwa mbele
 
Habar humu ndan,mimi ni mgeni humu ndan na ndio napost topic kwa mara ya kwanza,mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 24 sasa,lengo la kuandika hii poat nimehisi nikiitoa moyoni ntakua km nimetua mzigo fulani.

Katika maisha yangu nimekua na wanaume watatu ambao wa kwanza nilikua nae A-level nilimpenda sana unfortunately akaniacha na sababu ilikua amerudiana na ex wake.

Nilipofika form six nikapata mwingne nae tulipendana sana,ila tuu nilimvumilia sna nikashindwa kwasababu alikua ananicheat sana na kilichonikera sana ni kwamba wanawake ananicheat nao walikua wakinicall kunitukana!na mimi sipend gombana na mdada kisa mwanaume,nikasema sio kesi ngoja niachane nae japo niliumia sana yaani.

Nilipoanza chuo 2009 nikampata mtu tena ila yy alikua mbali na mn yeye alikua anasoma iringa na mimi Dar,basi huyo tulikaa miaka mi tatu yaan mpk namaliza chuo bado nipo nae, tatizo likawa alikuwa ananitesa sana yaani, aliniahidi kunioa na aliniambia nimwambie mama yangu kua analeta mahari,baai ilikuwa kila nikikosea tuu kidg basi anasema mimi sio wife material na haez ntolea mahar,basi mimi na mbembelezwa na ukizingatia nilisha mwambia mama,mjomba wangu alinikataza sana kuhusu huyu mtu lakini nikawa sisikii.

Alitaka niachisha chuo kwa promise ya kunpeleka nje kusoma!na hio mahar amehairisha karibu mara tatu,alinipa ujauzto na kwa upande wangu nilifurah sana,ila yeye alinambia nitoe coz nilikua nalalamika tumbo kuuma so akasema nitoe,na akanipa namba ya document wake na huyo daktar alisema nitoe.baai nikatoa,ila kumbe alikua na girl mwingne ambae nae alikua mjamzito ndio maana alinicctizia nitoe,mwaka jana mwez wa nne nikaachana nae,na ulikua ni uamuzi mgumu nilioufanya!maana niligundua hata jina alinidanganya.

Basi zile stress yaan nikawa eager kuolewa nikiangalia home atleast mm ndio nimesoma na nina kazi,mama yangu ananiangalia mm,na nilishamwamvmbia natolewa mahar kwaio nilichanganyikiwa sana,sasa wiki moja baada ya kuachana na huyo wa tatu kuna rafiki yangu akaniambia ana kaka yake anahitaj mke maana kwao wamekataa wanawake aliowapeleka kwasababu ya kabila,kwaio kabila langu hawatalikataa,yaani nilisita sana,ila akanisisitizia basi nikamwambia ntaka kuonana nae,tukaonana na badae niliporud home akaniambia nimekupenda na mm nikamjibu nimekupenda(wakat deep down wala ckumpenda,na hio ndio first mistake),tumekaa miez miwili anaulizia ndoa mara akanipeleka kwao,mimi najipa moyo kua ntampenda tuu,haya mara mahar,mara ndoa.

Hapa sasa najilaumu kuchukua maamuzi ya haraka sana kuolewa maana nashindwa kumpenda kabisa kabisa yaan!sio kwamba namchukia hapana,ila no love and affection yaan!hata sijui nifanyaje nateseka sana,na kiukweli moyo wangu umeganda siwezi kumpenda mtu yoyote kabisa yaan!nipo ndoan am totally not happy yaani akienda job nawish asiwahi kurud hata unyumba imekua shida.

Sorry kwa story ndefu ila nimeona niandike atleast nitoe kitu moyoni!ushaur tuu tusikimbilie kuolewa mabinti jaman,na tusidanganyane kua utampenda ndoan haipo hio!hakuna kitu kizur km inner peace jamani.

Mimi nimejiharibia mwenyew kwaio the rest of my life is being unhappy,sometimes nataman ningekua mzungu kwasababu wao wanaweza kutengua ndoa km mtu hayupo happy!sasa sisi wabongo ni ngumu na nikifanya hivi nitamuumiza mara mia!dah ni hayo tuu jamani.
Pole sana! Mmefunga ndoa ya wapi?Ya Kanisani! Msikitini! Bomani/kwa DCau ya Kimila! Maana ni ndoa moja tu ndo haiwezi kunguliwa (ya kanisani). hata hivo huyo ni wako, jitahidi kusahau yaliyopita na umpende mumeo maadam yeye anakupenda na unapata kila kitu. Au kuna kitu unakikosa kwake?
 
kwa hiyo we bado upo upo sana tu!!

ila msichojua ni kwamba unayempenda wewe hakupendi kivile, so aliyesema you will learn to love him hakukosea kabisaaa!

Mkuu unataka nijute kama mtoa mada!
 
Wewe umesoma lakini hujaelimika yani ulikua so desperate sababu tu uliahidiwa kuolewa jamaa akakukataa, na pia ulikubali kua na huyo jamaa simply because of tribal stuffs duuh aiseee kweli elimu ni tatizo aiseee
 
Pole sana mdada,lakini ukijiandaa kisaikolojia kumpenda utaweza tu,cha kwanza Anza kushughulika na saikolojia yako,utashinda na utaishi kwa amani kabisaaaaa!!!
 
Pole sana.jitahidi kupenda mazuri yake usiangalie ubaya wake pole pole utampenda cos no one is perfect.gd luck
 
Habar humu ndan,mimi ni mgeni humu ndan na ndio napost topic kwa mara ya kwanza,mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 24 sasa,lengo la kuandika hii poat nimehisi nikiitoa moyoni ntakua km nimetua mzigo fulani.

Katika maisha yangu nimekua na wanaume watatu ambao wa kwanza nilikua nae A-level nilimpenda sana unfortunately akaniacha na sababu ilikua amerudiana na ex wake.

Nilipofika form six nikapata mwingne nae tulipendana sana,ila tuu nilimvumilia sna nikashindwa kwasababu alikua ananicheat sana na kilichonikera sana ni kwamba wanawake ananicheat nao walikua wakinicall kunitukana!na mimi sipend gombana na mdada kisa mwanaume,nikasema sio kesi ngoja niachane nae japo niliumia sana yaani.

Nilipoanza chuo 2009 nikampata mtu tena ila yy alikua mbali na mn yeye alikua anasoma iringa na mimi Dar,basi huyo tulikaa miaka mi tatu yaan mpk namaliza chuo bado nipo nae, tatizo likawa alikuwa ananitesa sana yaani, aliniahidi kunioa na aliniambia nimwambie mama yangu kua analeta mahari,baai ilikuwa kila nikikosea tuu kidg basi anasema mimi sio wife material na haez ntolea mahar,basi mimi na mbembelezwa na ukizingatia nilisha mwambia mama,mjomba wangu alinikataza sana kuhusu huyu mtu lakini nikawa sisikii.

Alitaka niachisha chuo kwa promise ya kunpeleka nje kusoma!na hio mahar amehairisha karibu mara tatu,alinipa ujauzto na kwa upande wangu nilifurah sana,ila yeye alinambia nitoe coz nilikua nalalamika tumbo kuuma so akasema nitoe,na akanipa namba ya document wake na huyo daktar alisema nitoe.baai nikatoa,ila kumbe alikua na girl mwingne ambae nae alikua mjamzito ndio maana alinicctizia nitoe,mwaka jana mwez wa nne nikaachana nae,na ulikua ni uamuzi mgumu nilioufanya!maana niligundua hata jina alinidanganya.

Basi zile stress yaan nikawa eager kuolewa nikiangalia home atleast mm ndio nimesoma na nina kazi,mama yangu ananiangalia mm,na nilishamwamvmbia natolewa mahar kwaio nilichanganyikiwa sana,sasa wiki moja baada ya kuachana na huyo wa tatu kuna rafiki yangu akaniambia ana kaka yake anahitaj mke maana kwao wamekataa wanawake aliowapeleka kwasababu ya kabila,kwaio kabila langu hawatalikataa,yaani nilisita sana,ila akanisisitizia basi nikamwambia ntaka kuonana nae,tukaonana na badae niliporud home akaniambia nimekupenda na mm nikamjibu nimekupenda(wakat deep down wala ckumpenda,na hio ndio first mistake),tumekaa miez miwili anaulizia ndoa mara akanipeleka kwao,mimi najipa moyo kua ntampenda tuu,haya mara mahar,mara ndoa.

Hapa sasa najilaumu kuchukua maamuzi ya haraka sana kuolewa maana nashindwa kumpenda kabisa kabisa yaan!sio kwamba namchukia hapana,ila no love and affection yaan!hata sijui nifanyaje nateseka sana,na kiukweli moyo wangu umeganda siwezi kumpenda mtu yoyote kabisa yaan!nipo ndoan am totally not happy yaani akienda job nawish asiwahi kurud hata unyumba imekua shida.

Sorry kwa story ndefu ila nimeona niandike atleast nitoe kitu moyoni!ushaur tuu tusikimbilie kuolewa mabinti jaman,na tusidanganyane kua utampenda ndoan haipo hio!hakuna kitu kizur km inner peace jamani.

Mimi nimejiharibia mwenyew kwaio the rest of my life is being unhappy,sometimes nataman ningekua mzungu kwasababu wao wanaweza kutengua ndoa km mtu hayupo happy!sasa sisi wabongo ni ngumu na nikifanya hivi nitamuumiza mara mia!dah ni hayo tuu jamani.

Professor anasema. ... jitahid umpende ndo mumeo sasa no way out...!!!
 
Nachukia sana makahaba mimi,kwanini uzurure weeeeee,mpaka unashika mimba!halafu unaua kiumbe asiye na makosa??poleni sana kwa kujifanya vipofu mpaka mnadate na watoto wakiume.

Unisamehe,Yaani natamani ujichanganye na akili yako ya ajabu,upigwe chini.halafu ukae bila ndoa kama miaka 17(unapigwa free p).maana unaonekana uko shallow kwenye maamuzi.

Nisikilize kwa makini.

Umeisha athirika kisaikologia,taangu uliposema hukutaka kupenda mtu yeyote,chochote kilichokuwa kinatokea hakikiwa kinaamuliwa na akili yako,ila misukumo ya pembeni.

Jua kuanzia sasa.

Mwanamke yeyote duniani anatii,anapokea upendo kutoka kwa mwanaume.anashawishika kisha anapenda,wewe unapendwa unashawishiwa na mumeo kwa kukuonyesha upendo wa kweli,hutaki sababu umeishajiapiza.fungua moyo.

My take.

Usipokuwa makini jamaa akajua humpendi,umeisha.atakata tamaa,hatakuwa na msisimko wa kukufanyia chochote maana anajua hakufurahishi.kitakachofuata utapanick nakuchukua uamuzi mbovu tena,ndoa itaishia hapo.

Lakini usjari baada ya kupigwa chini tutakuwepo wazee wa mipira iliyotoka nje ya uwanja,kuomba usajiri wa muda kupiga papuchi na kuondoka,maana tutakuwa tunajua mfupa uliomshinda fisi......

TUMIA AKILI SAWA SAWA,SIJAONA KAMA KUNA LA KUJILAUMU.

Zaidi ya kutoa mimba.
 
Please,do your best to change your mentality kupenda ni feeling so jaribu kuisafisha sub conscious mind yako unaweza kufafanya hivyo kwa kutafuta eneo tulivu kama beach ukakaa mwenyewe ukaituliza mind hata katikati ya usiku wa manane kufanya hivyo mara nyingi u can get piece of mind.USIKATE TAMAA JASAMEHE WEWE MWENYEWE KWANZA
 
Back
Top Bottom