Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Hudhani moja ya sababu za kutokudumu kwenye mahusiano ya awali kubwa ni mwandiko wako? Daah mnaojiita wanachuo wa kizazi hiki bwana!
Nina maswali kadhaa hapa ambayo yanaambatana na hoja zangu.
1.Wewe ulitaka ndoa au ulitaka kupenda?maana hadithi yako inaonyesha kiu ya moyo wako siyo kupenda ila ni ndoa..
2.Uamuzi wakuolewa ulilazimishwa au ulikubali mwenyewe??maana inaonyesha maamuzi yako yametawaliwa na hasira na visasi kwa lengo lakumuumiza mtu/watu kama ilivyo ada ya wanawake wote dunian..
3.Unajuta kuingia ndani ya ndoa au unajuta kuwa na mahusiano na huyo mtu??maana inaonyesha hapa hoja yako siyo matatizo katika ndoa ila ni matatizo yako yakutokumpenda huyo jamaa kwa sababu ya maumivu uliyopewa hapo nyuma..
Hitimisho lako halina uhusiano na magumu ya kwenye ndoa ila lilitakiwa liwe na hoja yakuonya kutoanzisha mahusiano na mtu usiyempenda,maana story yako inaonyesha uchungu wa mahusiano ila hakuna uchungu wa ndani ya ndoa...hata waafrika wanafunga ndoa za mahakamani siyo wazungu pekee,ndiyo kusema UPENDO wako utaanza kustawi nakuonekana baada ya muda ikiwa utaweka akili yako ndani ya ndoa kuliko kupoteza muda kufikiria yaliyopita ambayo hayawezi badilika...
Nilitaka ndoa kwasababu ndio kitu ambacho kilikua nina zunguka kichwani kwangu,na nilijipa moyo kwamba nitampenda tuu,which is not happening
2.kuolewa nilikubali mwenyew ma nili pretend kua happy
3.najuta kuingia ndani ya ndoa na mtu nisiempenda
Dah...hiyo ya kuchoropoa tu ndio fungu langu la kukariri kwenyw habari yako...!!
i feel your pain through your thread.
Tatizo letu tunapenda kumfurahisha kila mtu badala ya kujifurahisha wenyewe.
Im my life (i swear this) kama sitapata atakayenifanya moyo wangu upepesuke kwa kumpenda sidhani kama nitaoa na pia nikimpata na akanizingua kwa kweli sidhani kama ntang'ang'ania kuwa nae
I only live once and i want to live my life to the fullest
tracy360 do not let your regrets replace your dreams!!!
Ur heart is broken, but u need healing....!!!
The only person can heal this is You, the Second person is your hubby, the Third part is God!!!
I suggest, share with them both, Your husband can turn ur heart in world of love, God can do it as well!!
Do not keep that situation feel so deep down for long TYM by urself!!!!
Very sorry, keep a positive mind, happiness is your choice, love too is a choice!!!
Choose your Hubby again, CHANGE YOUR ATTITUDE!!!
jitahidi kufungua moyo na kumpa nafasi maana yy ndo wako tayari.watu hujifunza kupenda na ukiamua kumpenda basi utajikuta unafuraha na amani.
Mpwa hata mimi nilitaka nimtafute nimpooze kidogo free of charge. Lakini baada ya kusikia kuwa aliuwa, aiseee imelala kabisaaaa imegoma kasimama na kunisikiliza ombi langu
Hahaha...unatakiwa kuwa komedian mpwa..!
Binafsi nina kidonda cha mtu wa karibu Sana, kwa upumba.vu huu wa kutoa mimba bahati mbaya hatunae...nikisikia mtu katoa mimba mwiko unapata ganzi.