No one to blame ila mimi mwenyewe

No one to blame ila mimi mwenyewe

Nachukia sana makahaba mimi,kwanini uzurure weeeeee,mpaka unashika mimba!halafu unaua kiumbe asiye na makosa??poleni sana kwa kujifanya vipofu mpaka mnadate na watoto wakiume.

Unisamehe,Yaani natamani ujichanganye na akili yako ya ajabu,upigwe chini.halafu ukae bila ndoa kama miaka 17(unapigwa free p).maana unaonekana uko shallow kwenye maamuzi.

Nisikilize kwa makini.

Umeisha athirika kisaikologia,taangu uliposema hukutaka kupenda mtu yeyote,chochote kilichokuwa kinatokea hakikiwa kinaamuliwa na akili yako,ila misukumo ya pembeni.

Jua kuanzia sasa.

Mwanamke yeyote duniani anatii,anapokea upendo kutoka kwa mwanaume.anashawishika kisha anapenda,wewe unapendwa unashawishiwa na mumeo kwa kukuonyesha upendo wa kweli,hutaki sababu umeishajiapiza.fungua moyo.

My take.

Usipokuwa makini jamaa akajua humpendi,umeisha.atakata tamaa,hatakuwa na msisimko wa kukufanyia chochote maana anajua hakufurahishi.kitakachofuata utapanick nakuchukua uamuzi mbovu tena,ndoa itaishia hapo.

Lakini usjari baada ya kupigwa chini tutakuwepo wazee wa mipira iliyotoka nje ya uwanja,kuomba usajiri wa muda kupiga papuchi na kuondoka,maana tutakuwa tunajua mfupa uliomshinda fisi......

TUMIA AKILI SAWA SAWA,SIJAONA KAMA KUNA LA KUJILAUMU.

Zaidi ya kutoa mimba.

ebana eeeeeh! guuud!
 
Okay hilo tatizo liko kwa wengi si ke wala me cha msingi jitahidi kuwa karibu nae tuu na pia Muombe Mungu mana huwezi kumpenda mwingine na hata mngekuwa na ndoa ya mkataba still usingependa mwingine
 
She is still a kid.....tatizo amekuwa ni mtumwa wa historia yake....huyu anatakiwa mme wake amsumbue tu...amzingueeeee weeee ndio atatia akili na kuona thamani ya mtu anayempenda........

By the way.....dada unaonekana huna msimamo...hata mimi nikija hapo nakung'oa kwenye ndoa.

Halafu pastor alikupa nafasi zote za kusema kama unamkubali huyo jamaa...you said yes....Kukosa msimamo...

Sasa what to do.....mshauri mme wako atafute mchepuko kwa sababu wewe humpi unyumba...mwambie atafute kimada kitakachomridhisha...nyambaaaaaf
 
Pole sana mdada but mim najua mapenz ni maamuz tu ukiamua kumpenda mbona utajisahau km ni wewe,madaam ni mume wako naomba umpende it is possible!usijiangaishe cjui na kufikiria ungekuwa mzungu cjui nn,u cannot change the past bt u can shape ur future,usijilaumu kwa kitu hata kimoja coz kila mtu anafanya mistake once in a life tym so don't give up fight for ur happines and ur hubby happines
 
Jitahidi umpende tu hamna jins..pia muombe mungu sana atakusaidia....muweke moyon mumeo angalia mazur tu mabaya yapotezee
 
Unapokaa fikiria kichwan mwako as if there is no one like him,uwe unafikir kua yy ndo mtu pekee anaekupenda kuliko wote dunian, jaribu kufikiria mazur yake aliyonayo kama n tabia umbile lake kama kuna vtu huwa unavutiwa kwa mwanaume kifua,sura ,kidevu.....yaan concentrate ktk vtu vinavyo kupa desire to men af focus kwenye mazur yake tu utajikuta unampenda taratibu!upendo huisha au huwez mpenda mtu kama unaangalia kwenye udhaifu au mabaya yake!!its gonna work trust me
 
Back
Top Bottom