No control over Religious radio stations over hate speeches

Wanawake pia huwaonea wanaume lakini wanaolalamika sana wanawake.jiulize kwanini!
 
Jamani wana jf,hivi mnasomaga an nuur? Wanaandika habari za kuchefua akili na za kichokozi sana.eti TBC1 wanapendelea wakristo,kwanini hawafungii gazeti hli la kichokozi? Badala yake wanaanndama mwananchi na mwanahalisi.so interesting.

Mkono wa mjinga, huandika chochote!!!!!!!!
 
nadhani wanaelimu ya madrassa only. yanapaswa kufungiwa. ushauri wa bure kwa waislamu..MKIONA TANGANYIKA PANAWAZINGUA, NENDENI ZENJI. KWANI KULE KUNA KINA MAIMUNA ,MWAJUMA,JUMA ,HUSSEIN,MUSTAFA WENGI TU AU MWENDE SUDANI YA KUSINI WAKISHA KABIDHIWA UHURU WA.
NIMESAHAU, ILI KWA KUWA NYIE MWAPENDA SANA MAHAKAMA YA KADHI NA SHARIA NA UMWAGAJI DAMU, NADHANI SOMALIA PATAWAFAA SANA NDUGU ZANGU,
MTAKUWA HURU KUJILIPUA NA MABOMU KAMA KAWAIDA YENU:boom::boom::boom:
 
Jamani hamjui kila chombo cha habari kinakuwa na audience yake?
Mbona si gazeti hilo tu hata redio zinazungumza hayo hayo. la msingi ni kwamba kuna magazeti ninayonunua na ninayosoma headline kwa muuza magazeti na kuna redio na TV ambazo sijazi preset kwenye redio na TV yangu na hata kwa bahati mbaya sisikilizi wala kuangalia.
Huo ni uhuru wa kupata habari kama ulivyo uhuru wa vyombo vya habari.
 
Anaweza akawa na elimu na akaandika hivyo,coz anafata media policy,mf.uhuru hawawezi kuiandika vibaya ccm,so ilimbidi.
 
Serikali ingekua na mpango wa kufungia vyombo vya habari vinavyo andika na kutangaza habari za uchochezi ingefanya hivyo tangu wakati wa kampeni mwaka jana. Kuna gazeti kama AL HUDA na redio HERI yaliandika na kutangaza habari za udini na kuwaambia waislamu wasichague kafir na wahakikishe muislam anashinda. Kuna miskiti ilisambaza vipeperushi kuwataka waislam wachague muislam mwenzao. Labda kwa kua habari hizo zilikinufaisha chama tawala. Issue ya msingi hapa sio kusema kwamba kila gazeti lina audience yake suala la msingi ni content iliyomo kwenye magazeti hayo. Mbona hatujazungumzia kufungiwa magazeti ya mtanzania, habari leo, rai na uhuru?? Ni kwa sababu content iliyo kwenye magazeti hayo haina mlengo wa kiuchochezi.na mlengo wa kiuchochezi kama ile ya annur, alhuda na redio heri.
 
REDIO HERI!!??:sing::sing:
 
nadhani wanaelimu ya madrassa only. yanapaswa kufungiwa. ushauri wa bure kwa waislamu..MKIONA TANGANYIKA PANAWAZINGUA, NENDENI ZENJI. KWANI KULE KUNA KINA MAIMUNA ,MWAJUMA,JUMA ,HUSSEIN,MUSTAFA WENGI TU AU MWENDE SUDANI YA KUSINI WAKISHA KABIDHIWA UHURU WA.
NIMESAHAU, ILI KWA KUWA NYIE MWAPENDA SANA MAHAKAMA YA KADHI NA SHARIA NA UMWAGAJI DAMU, NADHANI SOMALIA PATAWAFAA SANA NDUGU ZANGU,
MTAKUWA HURU KUJILIPUA NA MABOMU KAMA KAWAIDA YENU:boom::boom::boom:

Wewe acha utumwa wa mawazo sasa kujita VAN HELSING ndio unafikiri umesoma, jina ni jina tu sasa kuitwa BUSH ni bora kuliko Barack hussein Obama? Sasa kula nguruwe na kulewa na kubaka watoto wadogo makanisani ndio ustaarabu na elimu sio?
 
Mtoa maada namuunga mkono.........(WAKRISTO WANAPENDELEWA TBC) hivi hii heading si yakichochezi?

tatizo sisi waislam tunaona kila kitu tunaonewa tu.......

kama unaangaliaga tbc i think mwandishi wa hilo gazeti anaupungufu kidogo
 
baaana waachen si haki yao ya maoni mbona hamsemi kuhusu MSEMAKWELI, JIBU, UTATU, UTEMI na KIONGOZI mmnayasoma nayo pia yanairritate watu cha msingi ni kwamba magazeti ya dini yafungiwe watu wasome Biblia na Quran tu ukitaka gazeti soma playboy au vp
 
Wewe acha utumwa wa mawazo sasa kujita VAN HELSING ndio unafikiri umesoma, jina ni jina tu sasa kuitwa BUSH ni bora kuliko Barack hussein Obama? Sasa kula nguruwe na kulewa na kubaka watoto wadogo makanisani ndio ustaarabu na elimu sio?

Mbona hata waislam wenzio wanaila kwa kificho? asikwambie mtu nguruwe ni tamu balaa!! uje uonje tu siku moja hutatamani kuiacha.
 
Hapa duniani kuna dini moja tu iliyojipa haki ya kukosoa dini nyingine na pia ina haki ya kuua wengine, na ina haki ya kuchukua waumini toka dini nyingine ila mfuasi wa dini yao akihama adhabu ni KIFO DEATH PENALTY! Haki hiyo hiyo ya kukosoa kushambulia kudhihaki na kutukana dini nyingine wamejipa Al Nuur hapa Bongo kama kwingine popote, wameanza zamaniiii sana, na hawaelezwi lolote watafumbiwa macho tu! kwa kuogopa maandamano ya dunia nzima kuhamia hapa! Hali mbaya na Wakristu wakijibu! kama walivyoanzisha bibilia ni jibu yakatokea ya mwembe chai.
 
nadhani wanaelimu ya madrassa only. yanapaswa kufungiwa. ushauri wa bure kwa waislamu..MKIONA TANGANYIKA PANAWAZINGUA, NENDENI ZENJI. KWANI KULE KUNA KINA MAIMUNA ,MWAJUMA,JUMA ,HUSSEIN,MUSTAFA WENGI TU AU MWENDE SUDANI YA KUSINI WAKISHA KABIDHIWA UHURU WA.
NIMESAHAU, ILI KWA KUWA NYIE MWAPENDA SANA MAHAKAMA YA KADHI NA SHARIA NA UMWAGAJI DAMU, NADHANI SOMALIA PATAWAFAA SANA NDUGU ZANGU,
MTAKUWA HURU KUJILIPUA NA MABOMU KAMA KAWAIDA YENU:boom::boom::boom:

Jamani hizi thread zingine !
Kwani nini maana ya ilmu?
Ili uonekane unayo ilmu ufanyeje?
Mbona mwatia aibu!
Vizuri kosoa kitu/jambo halafu unaweka fact zako.
Me nmesoma hizo madrasa nipo vzuri tu.
Sio lazima nifaham kila kitu...
Umen'chefua!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Mada za kitoto ambazo huna uhakika nazo usituletee. TBC1 WAMELALAMIKIWA WAO WAPO KIMYA HAWAJAKANUSHA-hivyo ni ishara ya kuwa malalamiko ni ya kweli. Pia kati ya magazeti yenye ukweli ni AN NUur ndio maana halifungiwi.
 
Mtoa maada namuunga mkono.........(WAKRISTO WANAPENDELEWA TBC) hivi hii heading si yakichochezi?

tatizo sisi waislam tunaona kila kitu tunaonewa tu.......

kama unaangaliaga tbc i think mwandishi wa hilo gazeti anaupungufu kidogo[/QUOT

kumaliza ugomvi au uchonganishi waanzishe tv yao warushe program wanazotaka. Natoa mfano wa KBC tv na KBC idhaa ya Taifa mda mwingi wana vipindi vya kikristo lakini Kenya hawalalamiki ingawa kuna waislamu wengi.Ukweli ni kuwa wakristo wana matukio mengi na wanapenda kulipia vipindi vyao, Sasa kama kwa Tanzania waislam hawataki kuandaa vipindi vyao na kuvilipia wanategemea TBC iwafuate misikitini? Kama hawana matukio ya muhimu kama ya ufunguzi wa shule,nk wanategema TBC iwatangazie nini??? tuna mfano wa Radio Maria, Radio Wapo,Radio Tumain mara nyingi wanajitahiii kuandaa vipindi vinavomgusa kila mtu lakini wao radio zao ni za kubagua wengine hii haina maana.kelele za nini fungueni TV yenu muiweke kwenye satelite fasta acheni kulumbana na TBC kwani chombo cha wote.

Nalipenda sana kwa kua hua nikilisoma nikimaliza napata "stress" jinsi ndg zangu hawa walivyo shallow, miaka nenda rudi wao ni wa kulalamika tuuuuuuuuuu
 
Hivi ndugu zetu katika Adam mna ajenda gani mpya mnayo iwaza kila kukicha mnaonewa hivi Mungu wenu mwenye kuneemesha nema ndogo ndogo na kubwa, na mazuri na mabaya yanatoka kwake yuko likizo?
Kama wewe ni muislamu thabit na sio kafir kinacho takiwa utamke ni Alhamdulilaah si zaidi ya hapo

Unamlaumu kiumbe mwenzio ambaye nae ni dhaifu mh; huo kweli si uislamu! Bali ni msiba Jamani

Waislamu hasa wale wa kulalama tumrudie Allaah na maamrisho yake kisha tumdai nema zake!

MUNGU NI MKUU!
 
Back
Top Bottom