King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 329
ndg yangu Jesuit,
unajaribu kukwepa ukweli ulio wazi kwamba vyombo vingi vya habari vimeacha vision na mision zao na kujikita kwenye propaganda za kisiasa kiasi cha chakuchafua nchi.
nani kakwambia neno kiroho waislam hawalitumii? labda wewe ni mamluki ndio hujui, sisi tunaamini dini inakupa suluhisho la nafsi, mwili na roho. sasa kiroho unachosema nimekosea ni wapi? au unashangaa mwislam kulishambilia gazeti la kiislam? umesoma makala ya majid leo kuhusu redio Iman?
ndg yangu, kuna kipindi lazima uwe fair na usishabikie mambo ya kipuuzi hata kama yanafanywa na mtu wa kwenu. " mtoto wako anachezea kitu cha hatari kama sumu wewe utamucha ailambe afe au utamsaidia na kumkanya"