King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 329
mtoto wa nyoka ni nyoka, mtoto wa shetani ni shetwani, dini ya shetani ni shetani tu hata ifanyeje, hata ikijifanya mpole au mnyenyekevu, mfuga majini ni mfuga majini tu habadiliki, kuanzia roho nafsi na mwili....kwa wale wenye uelewa sawa na wangu, kilichobaki ni KUPIGANA VITA VYA ROHO na si vya mwili, manake vya mwili wanaweza sana, ila vya roho hawawezi kabisa. wengi wameshashindwa vya rohoni ndo maana makucha ya mwilini yanachipua....mwenye sikio la kusikilia na asikie, mwenye akili na aelewa niyasemayo!
Tunakubaliana kuwa uchochezi wa aina yeyote haufai. Tatizo wewe unalaumu "effect" wakati mimi nataka ulamu "cause" Pia umechapia kwenye hoja ndogo ya mwisho nilipo sema waislamu hawatumii neno kiroho sijasema hawalielewi, uislamu hauna huo utengano wa mwili na roho, hilo linasisitizwa katika ukristo. Ni sawa na neno mhashamu, muadhama nk ingawa ni ya kiswahili yanatumiwa zaidi na wakristo. Nani kakuambia Mjengwa ni muislamu?ndg yangu Jesuit, <br />
unajaribu kukwepa ukweli ulio wazi kwamba vyombo vingi vya habari vimeacha vision na mision zao na kujikita kwenye propaganda za kisiasa kiasi cha chakuchafua nchi.
nani kakwambia neno kiroho waislam hawalitumii? labda wewe ni mamluki ndio hujui, sisi tunaamini dini inakupa suluhisho la nafsi, mwili na roho. sasa kiroho unachosema nimekosea ni wapi? au unashangaa mwislam kulishambilia gazeti la kiislam? umesoma makala ya majid leo kuhusu redio Iman?
ndg yangu, kuna kipindi lazima uwe fair na usishabikie mambo ya kipuuzi hata kama yanafanywa na mtu wa kwenu. " <font color="magenta">mtoto wako anachezea kitu cha hatari kama sumu wewe utamucha ailambe afe au utamsaidia na kumkanya"</font>
Tunakubaliana kuwa uchochezi wa aina yeyote haufai. Tatizo wewe unalaumu "effect" wakati mimi nataka ulamu "cause" Pia umechapia kwenye hoja ndogo ya mwisho nilipo sema waislamu hawatumii neno kiroho sijasema hawalielewi, uislamu hauna huo utengano wa mwili na roho, hilo linasisitizwa katika ukristo. Ni sawa na neno mhashamu, muadhama nk ingawa ni ya kiswahili yanatumiwa zaidi na wakristo. Nani kakuambia Mjengwa ni muislamu?
Kama kuna chombo chochote cha habari ambacho mwananchi anaona kuwa hakimridhishi au kukutosheleza udadisi wake njia pekee ya kukiadhibu chombo hicho ni kutokukichangia .. yaani kutonunua au kutosiiliza. Kwa kadiri ya kwamba wanawanunuzi na wasikilizaji ndivyo nao wanavyoamini kuwa wanalo soko. Hata habari za kichochezi, za matusi, au udaku zina mashabiki wake.
hongera tz kwanza kwahakika maelezo yako yakina yamejaa hekima na nimajibu sahihi kwa mtoa mada.hongera sanaKwa taarifa yako Uislamu hautenganishwi na Siasa! ktk Uislamu hakuna falsafa ya KAISARI MPE KAISARI na YA MUNGU MPE MUNGU! Enzi za utawala wa kidikteta umepitwa na wakati huu ni wakati wa mtu au kutoa maoni yake bila uoga mradi asivunje sheria!
Gazeti la Annur ni gazeti halali kabisa limeandikishwa kisheria na hufuata maadili ya uandishi wa habari! Mhariri wake O. Msangi namfahamu binafsi ni msomi na muadilifu na uchambuzi wake wa habari ni wa kina na uliofanyiwa utafiti! haandiki kibubusa bali anachoandika huwa naushahidi!
Sasa kama wewe King Suleman unategemea Gazeti la Annur liwe linaandika habari za pepo na moto na ahera tu, ningekushauri ukanunue vitabu viko vingi vyenyekuelezea habari za Ahera! lakini Annur halitawacha kuandika makala yoyote muhimu zinazohusu uhusiano wa mtu na mola wake, na uhusiano wa mtu na jamii yake inayoizunguka!
Unataka kuturudisha ktk enzi za ukiritimba wa Awamu ya kwanza na kauli ya "USICHANGANYE DINI NA SIASA" kauli hii haina nafasi ktk dunia ya leo ya utandawazi, uwazi, uhuru wa vyombo vya habari, nk!
Ndugu yangu kama wewe umechoka kulisoma hili gazeti hakuna anaekulazimisha! magazeti yako mengi, kuna TANZANIA DAIMA; MWANANCHI; RAIA MWEMA, MWANAHALISI na hata ukitaka magazeti ya udaku na umbea pia utayapata! ukitaka kusoma habari za ngono salama au ngono hatari pia yako magazeti ya aina hiyo nk. nk.
Mwisho, nakushangaa kushambulia gazeti la Annur lakini umeshindwa kuona hayo magazeti mengine yanayochochea ufuska na kusababisha gonjwa baya la ukimwi lisiishe nchini mwetu kwasababu ndio yanayosomwa kwa wingi!
nimekuelewa ndg yangu mpendwa, lakini unajua visio ya gazeti Anoor ni kuwa sauti ya waislam?
nakubaliana na wewe kwamba baadhi ya vyombo vya habari vimeegemea chama fulani, lakini ni ushuri wangu wala siwalazimishi kwani hawavunjisheria kama ulivyonifundisha. mimi ningependa magazeti ya dini yajikite kwenye dini na yale ya siasa yaendelee na huduma ya siasa.
siwezi kushituka nikikuta habari za siasa ya uchochezi UHURU, T.DAIMA, RAI, MWANANCHI na mengineyo we know their mission, sasa haya ya dini kwa nini yashabikie siasa? tena si siasa ya kawaida ni ya kichichozi, kibaguzi na fitina.
Nakushukuru sana ndg yangu kwa shuke uliyonipa, umenifumbua macho zaidi, kwani binadamu siku zote anajifunza.
Salaam wana JF,
sina nia ya kuanzisha uhasama wa kidini kwenye hii mada,
lakini palipo na ukweli ni lazima usemwe kwa faida ya jamii husika.
gazeti letu pendwa la An-Nuur silielewi lina mwelekeo gani kwa sasa na hususani toka kipndi cha uchaguzi mpaka sasa vuguvugu la katiba mpya. Ni siasa za uchochezi ndio zimetawala kati kurasa zote za gazeti, mara CHADEMA mara maaskofu wht is this?
kama kuna mtu amebahatika kulisoma hili gazeti la ijumaa tar. 14-20/1/1011, ataungana na mimi moja kwa moja kwamba hili gazeti limeacha msingi wake na kupapatikia siasa na uchochezi wa kidini badala ya mafundisho ya kidini kama tunavyotarajia.
waislam wengi hununua gaziti tukitarajia mafundisho angalau ya kiroho na mada za kifamilia, lakini hakuna kitu ni uchochezi wa kidini na siasa chafu kama vile ni gazeti la chama fulani cha siasa,
hayo pia yapo kwa ndg zetu Radio Imaan.
jamani vyombo vyetu vya habari vya kiislam ninani katuroga mpaka mmefika hapa mlipo? Sisi adui yetu mkubwa ni shetani na sio ukristo wala dini yoyote. Tufundisheni mafundisho ya Mtume na maadili mema ya dini sio siasa.
mwisho,
moto wa gazeti letu ni "Sauti ya waislam" . Kwa mtindo mlionao si sauti ya waislam wote, wengine sasa hatununui hilo gazeti maana hamna dini ni mambo yale yale tunayoweza kuyaona kwenye UHURU,MZALENDO,RAI,HABARI LEO na mengine...
Siwezi kuwa adui kwa kusema ukweli.
Suleiman.
siuseme kilichoandikwa ndio tukijadili, sio kuleta hoja sizizo na mashiko, mbona hulizungumzii gazeti la msemakweli.
Wanaliona, na hawana hoja ya kulifungia kwa sababu linaandika habari za ukweli.Mwananchi ikisema kidogo wanatishiwa kufungiwa hivi hilo gazeti usalama wa taifa hawalioni?
mkuu tujadili hoja kisomi na sio kuleta jazba bila ya kuwa na mashiko.Waislam ni ulul' albab.Ebo! Nyani kweli haoni ku....le. Na wewe si useme gazeti la msemakweli la lini limeandika nini ndo tujadili sio kuleta hoja za maji taka hapa. Mnaanzisha magazeti ya An nuur na Al huda kutangaza udini na kuwaita wenzenu makhafir?
Ni ujinga na upumbavu kudhani kuwa asiye mwislam ni mpinzani wa uislam. Viongozi wetu lazima wakemee upuuzi wa aina hii.