Maalim Jumar
JF-Expert Member
- Dec 28, 2010
- 1,259
- 118
Nalipenda sana kwa kua hua nikilisoma nikimaliza napata "stress" jinsi ndg zangu hawa walivyo shallow, **((miaka nenda rudi wao ni wa kulalamika tuuuuuuuuuu))**
Jamani wana jf,hivi mnasomaga an nuur? Wanaandika habari za kuchefua akili na za kichokozi sana.eti TBC1 wanapendelea wakristo,kwanini hawafungii gazeti hli la kichokozi? Badala yake wanaanndama mwananchi na mwanahalisi.so interesting.
Jamani hizi thread zingine !
Kwani nini maana ya ilmu?
Ili uonekane unayo ilmu ufanyeje?
Mbona mwatia aibu!
Vizuri kosoa kitu/jambo halafu unaweka fact zako.
Me nmesoma hizo madrasa nipo vzuri tu.
Sio lazima nifaham kila kitu...
Umen'chefua!!!!!!!!!!!!!!!!.
Jamani wana jf,hivi mnasomaga an nuur? Wanaandika habari za kuchefua akili na za kichokozi sana.eti TBC1 wanapendelea wakristo,kwanini hawafungii gazeti hli la kichokozi? Badala yake wanaanndama mwananchi na mwanahalisi.so interesting.
Jamani wana jf,hivi mnasomaga an nuur? Wanaandika habari za kuchefua akili na za kichokozi sana.eti TBC1 wanapendelea wakristo,kwanini hawafungii gazeti hli la kichokozi? Badala yake wanaanndama mwananchi na mwanahalisi.so interesting.
nadhani wanaelimu ya madrassa only. yanapaswa kufungiwa. ushauri wa bure kwa waislamu..MKIONA TANGANYIKA PANAWAZINGUA, NENDENI ZENJI. KWANI KULE KUNA KINA MAIMUNA ,MWAJUMA,JUMA ,HUSSEIN,MUSTAFA WENGI TU AU MWENDE SUDANI YA KUSINI WAKISHA KABIDHIWA UHURU WA.
NIMESAHAU, ILI KWA KUWA NYIE MWAPENDA SANA MAHAKAMA YA KADHI NA SHARIA NA UMWAGAJI DAMU, NADHANI SOMALIA PATAWAFAA SANA NDUGU ZANGU,
MTAKUWA HURU KUJILIPUA NA MABOMU KAMA KAWAIDA YENU:boom::boom::boom:
kweli kabisa si kila gazeti utaliipenda na hii inatokana na interest zako mwenyewe.Waandishi wa annur ni wasomi hawabahatishi wala kuchakachua habari kwani wao wanamwogopa Mungu,sio kama hao mnaowataka nyie ambao ni wachakachuzi wa habari wakubwa.Kidogo mwanahalisi na raia mwema wanajitahidi.
Kuna uwezekano mkubwa wa upungufu wa elimu ya uandishi.wakasome media ethics na media law ili wafanye vitu vya uhakika.
huo ndio uhuru wa kuongea mkuu, yapo magazeti yanayoandika majungu, yapo yanaandika uislam kila kukicha, kama unawaona hawakufai chagua hayo achana na hilo ANNUR, wenzio twalipenda, na twalielewa!HATUDANGANYIKI KAMWE, tutalidumisha na kuhakikisha linaendelea! HIZO CRAP ZAKO NDIO POINT KWETUmalizia wana nia gani?, mi naona kila siku wanaandika malalamiko dhidi ya serikali na ukristo.+crap+crap+crap..................
Wengi wa waliomo jamvini hilo ndilo wasilolifahamu! UHURU WA KUONGEA na pia HAWAJUI nini maana ya UHURU WA KUABUDU! Kisha wanajiita GREAT THINKERS!!! bado haitoshi wanataka kujiita wana-DEMOKRASIA!!!huo ndio uhuru wa kuongea mkuu, yapo magazeti yanayoandika majungu, yapo yanaandika uislam kila kukicha, kama unawaona hawakufai chagua hayo achana na hilo ANNUR, wenzio twalipenda, na twalielewa!HATUDANGANYIKI KAMWE, tutalidumisha na kuhakikisha linaendelea! HIZO CRAP ZAKO NDIO POINT KWETU
Sihitajii kusema sana nawe! Ila uliza MSAUD ni kitu gani na waliokuwemo pale ni kina nani... kisha ndipo uanzishe huu upuuzi wako na kuuendeleza. Je wastaarabu ni watu wa aina gani kwa fikra zako? Je watu wastaarabu hubwia unga? Je watu wastaarabu huhalalisha kulawitiana? Je wastaarabu huruhusu ndoa za jinsia moja? Je wastaarabu huwapelekea wengine kuingia kwenye maafa? Je wastaarabu hukosa uvumilivu? Je wastaarabu hujipa haki na kuwaita wengine majina ya kuudhi? Je wastaarabu hutaka wengine wawe wanyonge wao wawe mabwana? Ukipata majibu ya maswali hayo utaujua ustaarabu wako ulikoegemea na kisha utajua nini ulichopungukiwa!waandishi wa Alnur kutoka mhariri mkuu mpaka mchapaji ni wasomi wazuri wa ilimu ya madrasa, aidha gazeti hilo kwa siku linauza nakala zisizozidi 117 tanzania nzima. Aidha vyanzo vyake vya habari ni vijiwe vya kwenye kahawa vya shule ya uhuru, mbagala na tandika bila kusahau manzese. Hivi ushaliona gazeti hilo kwenye jamii ya waastaarabu? hivyo kwa kuwa swala la kupewa nafasi ya kujieleza hata kama ni upupu ni la kikatiba waache waandike, hilo gazeti halina athari yeyote maana idadi kubwa ya walengwa hawana muda wa kulisoma hivyo kubaki mezani na kurudishwa lilikotoka kufungia maandazi.
ama UTU BUSARA UJINGA HASARA!! nukuu ya Shaaban Robert. Je waliosababisha damu zimwagike kuanzia Somalia, Afghan, Iraq, Sudan, Algeria na kwingineko hawajulikani!!? basi hata kama mkijitia uhamnazo msiokuwa nao Thailand, Korea na Vietnam nazo zilikuwa nchi za kiislamu? hata kama mnakula propaganda basi alau muwe na akili za kutembelea msizidi kupotea katika lindi la upumbavu mpaka mnauonesha!!hayo unayoyasema hawayahitaji, wanahitaji kutimiza matakwa ya aliyewatuma kazi, naye ni yule anayesababisha umwagaji damu kule afganistan, algeria etc usikome.
ama utu busara ujinga hasara!! Nukuu ya shaaban robert. Je waliosababisha damu zimwagike kuanzia somalia, afghan, iraq, sudan, algeria na kwingineko hawajulikani!!? Basi hata kama mkijitia uhamnazo msiokuwa nao thailand, korea na vietnam nazo zilikuwa nchi za kiislamu? Hata kama mnakula propaganda basi alau muwe na akili za kutembelea msizidi kupotea katika lindi la upumbavu mpaka mnauonesha!!