Mbona hamna chuki yoyote wanachosema ndio ukweli wenyewe!Wana jf nimekuwa nikisoma habari nyingi zinazo andikwa na magazeti ya waislam kama vile: Al-Huda, Al-nuur na mengineyo ila pia hua nasikiliza redio zao kama Radio kheri na Iman radio, pamoja na matamko ambayo mara nyingi wanayatoa. Sasa kinacho nishangaza ni jinsi habari zao nyingi zinakuwa na chuki kubwa kwa wakatoliki, utadhani wamewahi labda kuwafanyia kitu kibaya miaka ya nyuma. Nimekuwa nikiliona hili kwa muda mrefu sasa ila nimeshindwa kupata majibu kwamba mbona hivyo. Kilicho nisukuma kuandika hi mada hapa ni habari ambayo nimeiona kwenye gazeti la Al-Huda. Imeandikwa kwa herufi kubwa mbele. Wizara ya utumishi wa uma wizi mtupu.Wakatoliki wamesheni sekta nyeti. Nimekuwa nikiona habari za namna hii kwenye mapazeti yao. Pia wiki hii niliona gazeti la Al-nuur limeandika. Mbowe na Slaa wameonyesha mrengo wao wa ukatoliki. Kwa ujumala habari za wakatoliki huwezi kuzikosa haya magazeti kwa muda mrefu. Nadhani wana jf wanaopitia vichwa vya habari vya magazeti haya na hizo radio ni mashahidi. Sasa nachotaka kujua kwanini hizi media zinaandama wakatoliki/ukatoliki. Naomba mlio humu mtujuze kidogo manake naona kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na radio za wakatoliki kama radio maria na gazeti la kiongozi ambayo daina zinatoa habari za wakatoliki tu. Naomba kupata sababu hasa ni zipi.
Unaweza kupata jibu mbadala kutoka kwa ritz, faizafoxy.sokomoko, ms...! Sisi wakatoliki hatujui tuliwafanyaga nini hawa jamaa mpaka wanakuwa na chuki kiasi hicho!Wana jf nimekuwa nikisoma habari nyingi zinazo andikwa na magazeti ya waislam kama vile: Al-Huda, Al-nuur na mengineyo ila pia hua nasikiliza redio zao kama Radio kheri na Iman radio, pamoja na matamko ambayo mara nyingi wanayatoa. Sasa kinacho nishangaza ni jinsi habari zao nyingi zinakuwa na chuki kubwa kwa wakatoliki, utadhani wamewahi labda kuwafanyia kitu kibaya miaka ya nyuma. Nimekuwa nikiliona hili kwa muda mrefu sasa ila nimeshindwa kupata majibu kwamba mbona hivyo. Kilicho nisukuma kuandika hi mada hapa ni habari ambayo nimeiona kwenye gazeti la Al-Huda. Imeandikwa kwa herufi kubwa mbele. Wizara ya utumishi wa uma wizi mtupu.Wakatoliki wamesheni sekta nyeti. Nimekuwa nikiona habari za namna hii kwenye mapazeti yao. Pia wiki hii niliona gazeti la Al-nuur limeandika. Mbowe na Slaa wameonyesha mrengo wao wa ukatoliki. Kwa ujumala habari za wakatoliki huwezi kuzikosa haya magazeti kwa muda mrefu. Nadhani wana jf wanaopitia vichwa vya habari vya magazeti haya na hizo radio ni mashahidi. Sasa nachotaka kujua kwanini hizi media zinaandama wakatoliki/ukatoliki. Naomba mlio humu mtujuze kidogo manake naona kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na radio za wakatoliki kama radio maria na gazeti la kiongozi ambayo daina zinatoa habari za wakatoliki tu. Naomba kupata sababu hasa ni zipi.
Mkuu, hakuna mtu mwenye chuki kama unavyosema! Ni mitizamo tofauti tu, wote sisi ni nduguUnaweza kupata jibu mbadala kutoka kwa ritz, faizafoxy.sokomoko, ms...! Sisi wakatoliki hatujui tuliwafanyaga nini hawa jamaa mpaka wanakuwa na chuki kiasi hicho!
wewe kama unaakili timamu basi kwanini unakwenda nunua magazeti yanayo leta habari za kipuuzi kama hizo.Wana jf nimekuwa nikisoma habari nyingi zinazo andikwa na magazeti ya waislam kama vile: Al-Huda, Al-nuur na mengineyo ila pia hua nasikiliza redio zao kama Radio kheri na Iman radio, pamoja na matamko ambayo mara nyingi wanayatoa. Sasa kinacho nishangaza ni jinsi habari zao nyingi zinakuwa na chuki kubwa kwa wakatoliki, utadhani wamewahi labda kuwafanyia kitu kibaya miaka ya nyuma. Nimekuwa nikiliona hili kwa muda mrefu sasa ila nimeshindwa kupata majibu kwamba mbona hivyo. Kilicho nisukuma kuandika hi mada hapa ni habari ambayo nimeiona kwenye gazeti la Al-Huda. Imeandikwa kwa herufi kubwa mbele. Wizara ya utumishi wa uma wizi mtupu.
Wakatoliki wamesheni sekta nyeti.
.
Nimekuwa nikiona habari za namna hii kwenye mapazeti yao. Pia wiki hii niliona gazeti la Al-nuur limeandika. Mbowe na Slaa wameonyesha mrengo wao wa ukatoliki. Kwa ujumala habari za wakatoliki huwezi kuzikosa haya magazeti kwa muda mrefu. Nadhani wana jf wanaopitia vichwa vya habari vya magazeti haya na hizo radio ni mashahidi. Sasa nachotaka kujua kwanini hizi media zinaandama wakatoliki/ukatoliki. Naomba mlio humu mtujuze kidogo manake naona kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na radio za wakatoliki kama radio maria na gazeti la kiongozi ambayo daina zinatoa habari za wakatoliki tu. Naomba kupata sababu hasa ni zipi.
CCM labda ni adui yako wewe, usitake kuongelea kila mtanzania....mimi adui yangu ni CDMKila mtu atimize wajibu wake, aabudu anachotaka, aseme anavyoona inafaa. Amlaumu anayemwona anamkwaza, amzomee anamwona anasababisha matatizo yake ili mradi tu asifunje sheria. Ruksa.
Umasikini wa Tanzania ni mkubwa sana kiasi kwamba hata wananchi hawajui chanzo ni nini. Ndio maana kila mmoja anamrushia mwenzie lawama. Hii inaeleweka tuvumiliana tukifundishana kwa upendo kwamba adui yetu sote ni kitu kimoja tu Viongozi na serikali ya CCM Magamba.
Na wewe si uanzishe gazeti la kusifia ukatoliki na kuponda uislam, unamlalamikia nani hapa?
Tatizo wenzetu hawana watu proffesional kwa kazi za uandishi sifa kubwa lazima uwe muislam unajua kusoma quran utapewa kazi yoyote ndo maana migogoro haiishi kwenye taasisi zao itawachukua muda kujitambua.
Waislam bana hapo ndipo ninapozidi kuamini salman Rushdie alisema ukweli kwamba Muslim ni dini ya mashyetwani,hawajui walitakalo ni majini ndo yanayo andika msisumbuke sana
NASEMA UISLAM SI ADUI YETU WATANZANIA ILA CCM NDO ADUI YETU NAMBARI ONE hata mbishe vipi CCM sucks big timeCCM labda ni adui yako wewe, usitake kuongelea kila mtanzania....mimi adui yangu ni CDM
Ukimwona mtu anafanya upumbavu ukamwongezea mawazo ya kipumbavu yasiyoweza kumsaidia tambua wewe NI MPUMBAVU ZAIDI YAKE'sidhani kama hizi habari huwa zinaimpact nje y uisilamu maana wengi huwa wanaogopa hata kusoma au kusikiliza redio hizi.
Wana jf nimekuwa nikisoma habari nyingi zinazo andikwa na magazeti ya waislam kama vile: Al-Huda, Al-nuur na mengineyo ila pia hua nasikiliza redio zao kama Radio kheri na Iman radio, pamoja na matamko ambayo mara nyingi wanayatoa. Sasa kinacho nishangaza ni jinsi habari zao nyingi zinakuwa na chuki kubwa kwa wakatoliki, utadhani wamewahi labda kuwafanyia kitu kibaya miaka ya nyuma. Nimekuwa nikiliona hili kwa muda mrefu sasa ila nimeshindwa kupata majibu kwamba mbona hivyo. Kilicho nisukuma kuandika hi mada hapa ni habari ambayo nimeiona kwenye gazeti la Al-Huda. Imeandikwa kwa herufi kubwa mbele. Wizara ya utumishi wa uma wizi mtupu.
Wakatoliki wamesheni sekta nyeti.
Nimekuwa nikiona habari za namna hii kwenye mapazeti yao. Pia wiki hii niliona gazeti la Al-nuur limeandika. Mbowe na Slaa wameonyesha mrengo wao wa ukatoliki. Kwa ujumala habari za wakatoliki huwezi kuzikosa haya magazeti kwa muda mrefu. Nadhani wana jf wanaopitia vichwa vya habari vya magazeti haya na hizo radio ni mashahidi. Sasa nachotaka kujua kwanini hizi media zinaandama wakatoliki/ukatoliki. Naomba mlio humu mtujuze kidogo manake naona kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na radio za wakatoliki kama radio maria na gazeti la kiongozi ambayo daina zinatoa habari za wakatoliki tu. Naomba kupata sababu hasa ni zipi.