No control over Religious radio stations over hate speeches

No control over Religious radio stations over hate speeches

Kila dini inatafuta adui yake. Adui wa wakristu ni shetani. Ndio maana wanasema mabaya ya shetan na mazuri ya mungu yesu. Waislamu adui yao sio shetan ni ukristu ndio maana hutumia muda mwingi kushambulia ukristu. Tafakari.
 
Acha wapambane na ukatoliki ili matatizo yao yaishe .Kazaneni na uchoganishi na uongo
 
Na wewe si uanzishe gazeti la kusifia ukatoliki na kuponda uislam, unamlalamikia nani hapa?


mTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAPOTEZA MUDA, NGUVU NA PESA KUFANYA MAMBO YASIYO NA MAANA ILI IWEJE? Uanze gazeti ili kusifia ujinga au kuponda? Watanzania hebu tuweni makini kidogo.Mwenzetu kaona kitu kakileta hapa ili ajue kuna nini kisha unamshauri afanye mambo yasiyo na maana?
 
Tatizo wenzetu hawana watu proffesional kwa kazi za uandishi sifa kubwa lazima uwe muislam unajua kusoma quran utapewa kazi yoyote ndo maana migogoro haiishi kwenye taasisi zao itawachukua muda kujitambua.

nafikiri ukisoma kijitabu cha kanisa katoliki na siasa za tanzania bara 1953 - 1985 utagundua mengi humo.

Lakini hii ndio maana Tanganyika inalazimisha muungano na Zannzibar sababu mkivunja tu. basi nchi imegawanyika kama hamjapigana vita. Hizo ni dalili tu za kukosa utlivu. kwani sasa bara mtu akiteuliwa tu ni dini gani huyo jambo ambalo ni khatari sana.

nawaonea huruma lakin naomba waZnz wasiwachoke bali wawafichie aibu zenu
 
Mkuu pole sana .Usishangae ya Tanzania .Hawa jamaa wana madai mengi na ni mzigo wa Dunia so wewe twende nao hivyo hivyo .Shule kaka inawapa taabu .Wape pole a hayo ni makelele tu .Hawana lolote maana wakipiga kelele sana na kuanzavurugu sheria ileeee ipo .Na Pengo na wengineo hawana muda wa kuwajibu maana hao wana upeo limited wa kuelewa .Waache tu ili mrad wasianze vurugu .

mnachukulia mzaha na dhihaka lakini hayo ndio yaliyopelekea kugawanyika kwa Sudan mpaka kupata Sudan ya kaskazni ambao ni waislam na Sudan ya kusini ambao ni wakristo.

Kumbukeni hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Hili ni jambo muhimu sana kulijadili, lakini du sijui kama WATANZANIA wako tayari kujadili mambo muhimu kama haya: wao hujadili simba na yanga. Maoni yangu ni kuwa vyombo hivyo vya habari vitaleta maangamizi muda si mrefu ujao. Serikali wanalitambua hilo, ila hawachukui hatua kwa kuwa habari zinazotolewa na vyombo hivyo zinawasidia ktk siasa zao za majitaka ...
 
Hili ni jambo muhimu sana kulijadili, lakini du sijui kama WATANZANIA wako tayari kujadili mambo muhimu kama haya: wao hujadili simba na yanga. Maoni yangu ni kuwa vyombo hivyo vya habari vitaleta maangamizi muda si mrefu ujao. Serikali wanalitambua hilo, ila hawachukui hatua kwa kuwa habari zinazotolewa na vyombo hivyo zinawasidia ktk siasa zao za majitaka ...

Advocate, La msingi hapo si kuangalia mlipojikwaa bali muangalie pale mlipoangukia.

hakikisheni mnaondoa kero zote za dini hizi na kuleta usawa katika kula keki ya uhuru wa taifa lenu kisha kila kitu kitakuwa barabara.

ndio maana mimi nasema mkivunja muungano na Zanzibar, basi Tanganyika itagawanyyika kama Sudan na kitakachopelekea hivyo ni kile kile cha Sudan.

Kila lenye kheir
 
mimi mkatoliki ktk mafundisho yetu sijawahi sikia hata siku moja tukifundishwa au kukosoa au kuzungumzia uislam. always tupo within our boundaries. tupo bize na mafundisho ya YESU KRISTO tunamsubiri arudi tena wa kwao atarudi? hii nayo inawatia kiwewe sana coz YESU yu hai leo kesho na milele na anatenda pale unapomwomba sasa wenzetu mh
Mkuu, naona unaongea porojo, kuna Magazeti mawili ya Kikiristo yanaitwa Msemakweli na Nyakati sijui kama umewahi kuyasoma? Uone kejeri na kashfa
 
Kwa kifupi hawajielewi; jaribu kufkiri kama wakatoliki nao wangekuwa na mtzamo kama huo wetu(waislamu) naamini tungekuwa bado tupo nyuma sana mfano; nenda SAUT wanafunz wote wanapewa nafas sawa regardless of dini zao. Alafu mimi nashangaa cjui kwann serikali haichukui hatua yoyote, ingekuwa ni magazeti/radio nyngne vngeshavungiwa
napendekeza na sis 2wafukuze kwenye vyuo vyetu na 2watenge kwenye huduma zote kuanzia hospital mpaka kwenye mabomba ya maj. Hawa wa2 mie siwaelewi kwenye kla k2 cha maendeleo wanaweka kigingi.
 
lkn mbona hata wabunge wetu wanatakiwa wana sifa hizo. lkn soma kitabu ch mwembechai killingi


Kila ikijitokeza hoja ya inayohusu 'maslahi' ya waislamu, watu watakutaka ukasome Mwembechai Killings. Hawatakwambia kwamba kitabu hiki ni marufuku Tanzania na kwanini kilipigwa marufuku. Kwa kifupi, yaliyomo kwenye kitabu hiki hayana tofauti na ya Al nur, radio heri n.k. Mwembechai killings imejaa uchochezi, ambao kimsingi sio suluhu ya matatizo yanayowakabili waislamu.

Ushauri kwa ndugu waislamu:

Wakatoliki wanamiliki ardhi kubwa ukilinganisha na taasisi nyingi za kidini. Ishu hapa sio walipataje, muhimu ni kwamba hata nyie mkitaka mtapata. Tanzania hatuna shida ya ardhi kwa sasa, nunueni ardhi sasa-maana haitakuwepo milele kwa bei chee kama sasa. Nunueni ardhi ya kutosha kwa ajili ya kuwekeza ktk huduma za kiroho na kijamii (elimu, afya, n.k).

Wakatoliki wamewekeza sana kwenye huduma za jamii(recently, wamefungua chuo kikuu kishiriki Mtwara-ambako obviously wanawaumini wao wachache kuliko sehemu zingine. Huko kuna waislamu wengi). Nanyi pia mnaweza mkaongeza uwekezaji ktk eneo hili. Mna watu wanaoweza kuchangia pesa nyingi tu kwa ajili ya kuanzisha hospitali na vyuo vikuu vya hadhi ya kimataifa. Kwanini bilionea kama Bakhresa, Manji, Merey Balhabou n.k wasitumike kuchangia? Kinachohitajika ni central administration tu (sio BAKWATA-ambao inaonekana wameshindwa), je hili la kujiorganize kwa ajili ya maendeleo nalo ni gumu? Kuwekeza kwenye elimu ndio kila kitu ktk dunia ya sasa-waChina wanajua!

Prof. Njozi (aliyeandika Mwembechai Killings) amefanya nini kipya pale Muslim University Moro? Ameshafungua chuo kikuu kishiriki sehemu nyingine yeyote? Amekiimarisha chuo cha Morogoro au ndo ameridhika kwa kuzawadiwa cheo baada ya kuandika Mwembechai Killings? Kosa linalofanyika ni kutumia muda mwingi kusimuliana chakula cha jana, badala ya kujiuliza utakula nini kesho. Tunayo mifano ya kujifunza; kuna Rwanda ya Kagame-hata ukianza from scratch, unaweza kufanikiwa, kuna Botswana, kuna Wayahudi (nn wamefanya baada ya Hitler). Je waafrika tuendelee kulalamika kwa ajili ya biashara ya utumwa na ukoloni leo hii au tudhibiti mafisadi kama kina Chenge?
 
Ikitokea wenye squalification ni waislam ktk position yeyote acha wapewe na ikitokea ni wakristo acha wapewe pia.Ila ikitokea mtu anabagua watu serikali kwa misingi ya dini na imani zao hafai kupewa madaraka na tujulishane tumngo'e bya hook or by crk.
Wana jf nimekuwa nikisoma habari nyingi zinazo andikwa na magazeti ya waislam kama vile: Al-Huda, Al-nuur na mengineyo ila pia hua nasikiliza redio zao kama Radio kheri na Iman radio, pamoja na matamko ambayo mara nyingi wanayatoa. Sasa kinacho nishangaza ni jinsi habari zao nyingi zinakuwa na chuki kubwa kwa wakatoliki, utadhani wamewahi labda kuwafanyia kitu kibaya miaka ya nyuma. Nimekuwa nikiliona hili kwa muda mrefu sasa ila nimeshindwa kupata majibu kwamba mbona hivyo. Kilicho nisukuma kuandika hi mada hapa ni habari ambayo nimeiona kwenye gazeti la Al-Huda. Imeandikwa kwa herufi kubwa mbele. Wizara ya utumishi wa uma wizi mtupu.Wakatoliki wamesheni sekta nyeti. Nimekuwa nikiona habari za namna hii kwenye mapazeti yao. Pia wiki hii niliona gazeti la Al-nuur limeandika. Mbowe na Slaa wameonyesha mrengo wao wa ukatoliki. Kwa ujumala habari za wakatoliki huwezi kuzikosa haya magazeti kwa muda mrefu. Nadhani wana jf wanaopitia vichwa vya habari vya magazeti haya na hizo radio ni mashahidi. Sasa nachotaka kujua kwanini hizi media zinaandama wakatoliki/ukatoliki. Naomba mlio humu mtujuze kidogo manake naona kuna utofauti mkubwa ukilinganisha na radio za wakatoliki kama radio maria na gazeti la kiongozi ambayo daina zinatoa habari za wakatoliki tu. Naomba kupata sababu hasa ni zipi.
 
Mbona mnauliza nazi kisiju? Hivi Wakristo wanapofundishwa mashuleni negative kuhusu Waislamu nyinyi mbona hampingi hilo? Ni agenda ya Wakatoliki duniani kote kupinga dini zengine kwa kutumia mwanya Serikalini. Wakatoliki wanawapinga hata hao Wakristo wenzao kwa misingi kwamba si Wakatoliki. Hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti ni muhimu kwa sababu hawa Wakatoliki wakiaachiwa wataleta vita hapa TZ.

Agenda za Wakatoliki duniani ni kutawala dunia, kwa njia yoyote. Nashukuru kwa hatua iliyochukuliwa na hayo magazeti kufichua Ubaya wao. Hawa jamaa Wakatoliki ni hatari sana. Na Nyerere ndiye aliyewapandikiza na Udini wao serikalini.
 
sasa ni zamu yao wewe hacha jk awalee tu lakini hakiingia mtu ikulu asiyelea ujinga wasiseme wanonewa
 
Je mnakubaliana nami kuwa timu moja wapo kati ya hzo kongwe tz inamilikuwa...,.na imekuwa ikibebwabebwa?
 
Back
Top Bottom