No comment, says Ndulu as shilling drops further

our fellow Kenyans yesterday replaced a prominent central bank officer on response to the situation while ours requests us to keep quite!
Kweli bongolala!

Mkuu hayo maneno nimeyasikia leo asubuhi kwenye redio timesfm kipindi cha Masoud kipanya akasema raisi wa kenya aliingilia kati ili kunusuru hali lakini wakawa wanajiuliza hivi wa kwetu haya hayaoni?
 
Hivi mshahara wa Ndullu uko kwenye Tshs au US$?? Inaelekea jamaa kama hajali vile!!
 
Kama kauli kama hii inaweza kutolewa na profesa basi ndio maana nchi yetu haipigi hatua inayostahili kiuchumi
 
Hili nalo limesababishwa na CDM? hAYA sijui future yetu inaelekea wapi!!! MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
"You know that I'm supposed to meet the parliamentary committee about the same issue," he added. The Finance and Economic Affairs minister, Mustafa Mkulo, also declined to comment on the situation when reached on his mobile phone, saying he was attending a meeting in Burundi. However, the chairman of the parliamentary committee on Finance and Economic Affairs, Dr Abdallah Kigoda, confirmed to The Citizen that his committee has summoned Prof Mkulo for an explanation on what the government was doing to deal with the high inflation and the shilling crisis.
I find this the highest degree of arrogance- How can he say this to us, We are the ones who put him in this position but he doesnt think he is accountable to us!!

Whom should we ask if our shilling is falling by the hour, and the governor has no comments?

 
Ni kweli asemacho governor. Nakumbuka Governor wa Uganda alitakiwa kusimamishwa , taarifa ilipofika kwa wananchi kesho yake Shllingi ya uganda ili shuka kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kwamba hakija wahi kutokea.

Kauli za ma Govenor huwa nzito na zinasababisha speculators kuzitumia halafu ku affect viwango vya ubadilishanaji fedha za kigeni
 
Kwa kweli kasi ya uangukaji wa thamani ya shilingi sasa hivi inatisha. Inahitaji hatua au sivyo mambo ya Zimbabwe yanakuja
 
Sometimes back (i think ilikua April 2011) kwenye post ya mtu nilitabiri dola itafika Tshs. 1800/= before December 2011.

Its going to be worse in the coming days, things will get better from 1st December to 20th January 2012.

The Black Market is killing our economy.

We should first make an effort kupunguza biashara ya dawa za kulevya.

Then tuwasaidie wakulima wa Pamba kufanya exports kwa wingi,

PS: Sioni faida ya wawekezaji wa sekta ya madini kwa uchumi wa Tanzania
 
Central bank governor Benno Ndulu declined to comment on the sorry state of the shilling that continues to fall freely against the major foreign currencies, hitting another new low of Sh1,800 to a dollar at midday yesterday. Prof Ndulu accused the media of fuelling the shilling crisis by its constant reports on the issue. The shilling reached a record low against the greenback yesterday, reaching Sh1,800 as a result of increased demand of the dollar.
Hii ni statement ya kipuuzi kabisa toka kwa huyo gavana..
Yaani anatarajia Watanzania kuzungumzia nini zaidi ya uchumi wa nchi unaoyumba na kuhatarisha maisha na mustakabali wa Taifa??
 
Eti kuna tetesi ya kwamba cdm wanatumia nguvu za giza ili serikali iliyoko madarakani isifanikiwe kama ni kweli na mshindwe

Hivi kuna mtanzania wa leo anaamini nguvu za giza zinafanya kazi. Pleaasee! If that was the case si wangetumia kuzuia uibaji wa kura. Watanzania jamani tuachane na propaganda zisizo na tija kwa taifa letu. Ni wakati waku-brain storm how to get out of this mess. Unless kama hii statement ya Makupa ni kwaajili yakufurahisha watu.
 
Ni kweli asemacho governor. Nakumbuka Governor wa Uganda alitakiwa kusimamishwa , taarifa ilipofika kwa wananchi kesho yake Shllingi ya uganda ili shuka kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kwamba hakija wahi kutokea.

Kauli za ma Govenor huwa nzito na zinasababisha speculators kuzitumia halafu ku affect viwango vya ubadilishanaji fedha za kigeni

Mkuu naheshimu wazo lako linaweza kuwa na ukweli. Nisichojua naomba tuulizane ni je, kutokucomment ndiyo jibu?

Lakini sisi kama waathirika tunahamu ya kujua kulikoni na shilingi yetu, twaweza kuwa sii wataalamu wa uchumi lakini hii haituondolei adhari tunamwangalia Gavana aseme akisema no comment, tumeelwa au uelewa wetu sii muhimu?
 
Hii ni statement ya kipuuzi kabisa toka kwa huyo gavana..
Yaani anatarajia Watanzania kuzungumzia nini zaidi ya uchumi wa nchi unaoyumba na kuhatarisha maisha na mustakabali wa Taifa??

Hiyo statement siyo ya kipuuzi kama mnavyofikiri, mambo ya exchange yanategemea sana confidence za watu, kama magazeti yatakuwa yanachapisha habari za kupanick kila siku watu watapoteza confidence na shillingi wanataka wanunue dola ilu kuzuia depreciation ya hela zao, lakini hili linazidi kuididimiza shillingi kwa sababu ya kuanguka kwa demand yake.

So tunajikuta tumenasa kwenye mzunguko wa hofu, tunahofu Sh itahuka so tunanunua Dola ambayo inasababisha Sh kushuka, ambayo inazidi kuongeza hofu na tunaendelea hivyo.
 
I take this fall in our currency power as a combined effect of the general tremors that the country has been suffering recently!

Huwezi kufanya preventive measures za fire-brigade, otherwise utastukia unaingiza roho za ufisadi mioyoni mwa watu!

Serikali na wataalamu wa nyanja zote wakae na kuangalia implementation ya sera zote za kufufua uchumi wa nchi kwa njia ya uzalishaji!

Ndugu tatizo liko centered kwenye ufisadi wa watawala. Ukiangalia purchases zote ziko tied kwao kuanzia mishahara mikubwa ambayo wana i bank in forex na zile za ufisadi ndo hizo zinasafirishwa thru mkondo wa maduka ya pesa za kigeni; maduka na makampuni yote makubwa yana fanya transactions zao kwa forex na yote yako owned direct or in directly na hao hao...Safari zote zinatumia forex sasa ebu fikiria eti wauza maandazi share yao kwenye transaction basket import na export ni % ngapi? Zamani haikuwa tatizo kwani mashirika ya umma yalikuwa hayako privatised na transaction zote za goods and services ilikuwa in local currency. Siku hizi yote yako mikononi mwa inner circle ya watu fulani na maswahiba wao ambao wana strengthen sector ya ufisadi kwa dolarization...yaani ufisadi umefikia level ambayo share yake kwenye transaction ni significant ndiyo maana hata Pinda akakiri mafisadi tukiwa gusa tu nchi itayumba....Haya ni mawazo yangu huru wakitaka nchi iendelee waachie watu wenye uwezo waonyeshe njia!
 
Ndulu ana CV nzuri sana sijui ni kitu gani kimesababisha mpaka amebadilika kiasi hiki na yeye amekuwa mwanasiasa sasa.
 
Hiyo statement siyo ya kipuuzi kama mnavyofikiri, mambo ya exchange yanategemea sana confidence za watu, kama magazeti yatakuwa yanachapisha habari za kupanick kila siku watu watapoteza confidence na shillingi wanataka wanunue dola ilu kuzuia depreciation ya hela zao, lakini hili linazidi kuididimiza shillingi kwa sababu ya kuanguka kwa demand yake.

So tunajikuta tumenasa kwenye mzunguko wa hofu, tunahofu Sh itahuka so tunanunua Dola ambayo inasababisha Sh kushuka, ambayo inazidi kuongeza hofu na tunaendelea hivyo.

Hiyo hofu tu inaonyesha uchumi umeshikiliwa na akina nani..Kama in aggragate wa matumbi; wangoni na wahaya kwakuuza nyanya; vitunguu; mahindi na mihogo yao nje na ndani ya nchi; wanayo izalisha kwa labour inayolipwa in local currency ndo wanaojenga uchumi hiyo hofu ingetoka wapi?
 
So tunajikuta tumenasa kwenye mzunguko wa hofu, tunahofu Sh itahuka so tunanunua Dola ambayo inasababisha Sh kushuka, ambayo inazidi kuongeza hofu na tunaendelea hivyo.

By common sense tu mtu unajua in a poor country like ours its only a few in the social who can actually affect the Forex market. Sasa mbumbumbu kama mimi najiuliza nchi kama yetu yenye uhaba wa vitu vingi na umaskini wa hali juu, haya matatizo ya sasa huu ni uthibitisho ya kuwa hii nchi ni ya wachache na hawa jamaa policies zao zipo aimed at those very few who have a life.

Jamani dollar is not our problem trust me Mkullo is our problem, haya matatizo ya dollar ni uthibitisho wa uzembe uliopo kwenye uzalishaji na poor economic policies. Tunazunguka zunguka tu lakini ukweli wenyewe ni kwamba Mkullo, Ndullu and Ngeleja have to go these guys are just useless.

Maana matumizi ya wachache hayawezi ku-affect the whole society unless production is very low.
 
Back
Top Bottom