Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,022
- 10,191
Hazitakiwi ila zinatakiwa kupitiwa upya kutokana na kujifunza kwa yale yanayotokea na kubadilishwa kama itaonekana kuna haja
Hazitakiwi ila zinatakiwa kupitiwa upya kutokana na kujifunza kwa yale yanayotokea na kubadilishwa kama itaonekana kuna haja
Huyo dogo hajajengewa msingi wa kujitegemea na ukute kutokana na hilo ndio maana hata kaporwa maana kama kwenda bank tu mpaka asaidiwe sishangai hata kuporwa hilo begi.dogo kaibiwa akashimdwa enda benki mwenyewe aya sawa akakupa taarifa ukashindwa mshauri alatoe taarifa benki kuzuia miamala
Aya nayo ngumu ukashindwa ww kwenda ili ufosi king
sawa ukamwambia jirani akajikongoga akaenda akapata hayo majibu, akakupa taarifa ukashindwa enda tena wala kumtuma muhusika aende unakaa kusubiri yatokee ya kutokea ulaumu
nmb walikuwa sawa ww ndo mzembe
Huo sio utaratibu mkuu usilazimishe alitakiwa aende mwenyewe tena mara tu baada ya kuibiwa na kama haitoshi hata kama mngemsaidia kwa kuazima simu na kupiga huduma kwa wateja wangemuuliza maswali mawili matatu kama namba ya akaunti na detail zingine kama namba ya simu na wangeizuia kwa muda ila wangemwambia afike ofisini pia.Unajua ni vema ukatumia akili ingalau kidogo ili kujibu, taarifa za awali ni muhimu kama uhalifu unatokea, mtu aliyetumwa kutoa taarifa alikuwa na vitambulisho, alikuwa namba za mmiliki wa kadi kikubwa ni kujiridhisha, kwa hiyo kutoa taarifa za kuzuia uhalifu usifanyike dhambi? ndiyo maana afisa wa kwanza alikubali baada ya kujua uharaka na umumu.
Unaweza kupindisha sheria sehemu yenye Opportunity na sio Threat!!! Kwa mfano, benki zote duniani zina the so-called KYC; yaani Know Your Customer!! Ndo pale kabla ya kufungua akaunti utaambiwa upeleke a valid ID Card, recent Photos and probably na barua! Nchi zingine watakuambia upeleke proof of address.Hivi sheria hazitakiwi kupinda hata kidogo?
Tuambiane kwanza NYWILA ya akaunti waliipataje hao wezi?kisha utuambie kulikuwa na ugumu gan wa huyo kijana wako kushindwa kufika kwenye tawi alilokuwa karibu nalo
Sio wanamdiss ila ameleta mada kizembe sana na anataka bank wamkubalie kufunga akaunti ambayo sio yake, alichotakiwa aombe msaada ni hatua gani za kuchukua endapo nimeibiwa fedha zangu kwenye ATM japokuwa maelezo yake yanaonyesha huyo dogo mzembe maana begi limeibiwa ambapo ndani kulikuwa na ATM Card na simu ambapo password ya ATM card ilikuwa ndani ya simu ambayo hiyo simu bila shaka ilikuwa haina password alafu anaanza paragraph ya kwanza kwa kuwaita NMB wazembe kumbe uzembe upo kwake na dogo kwa kushindwa kutoa taarifa mapema maana hata kwa simu tu bank wanasikilizaMnao mdiss jamaa kua hao wezi wamepataje password its easy kuna maduka sasa iv yanamashine unalipa kwa kuswipe pia manunuzi ya online china ya dolla 100 yanafanyika bila ata password just number ya card na namba flani ipo nyuma ya mastercard ..kodnumber...
So jamaa nachoeleza ni sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanamhudumia mtu kulingana na maelezo aliyokwenda nayo, yeye alikwenda kumwakilisha mtu ambae hajapigwa (tena mwakilishi wa mwakilishi maana kijana wake ameibiwa alafu na yeye tena ametuma mtu mwingine kumwakilisha ambae huenda hata maelezo ya msingi ya mwenye akaunti hana kama majina yote matatu, namba ya simu na hata umri, huenda ameulizwa akabaki na kigugumizi)Kwa mnaosema angeenda mwenyewe, lets say muhusika kapigwa hadi kupoteza fahamu, je asubiriwe hadi azinduke? Na huo muda wakutafuta Loss Report wezi watakuwa wanakusubiri?!
Kuna Sheria halafu kuna Hekima na Busara.
Huyo dogo kacheza muvi nzuri sana hivi ni mwizi gani anapata hadi akili yakujua password ipo kwenye simu hii haijawahi kutokeaMnao mdiss jamaa kua hao wezi wamepataje password its easy kuna maduka sasa iv yanamashine unalipa kwa kuswipe pia manunuzi ya online china ya dolla 100 yanafanyika bila ata password just number ya card na namba flani ipo nyuma ya mastercard ..kodnumber...
So jamaa nachoeleza ni sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali mujarab kabisa