MUHEKA PANGENDE
JF-Expert Member
- Mar 30, 2014
- 294
- 177
Hakuna anayependa kukopa,siyo majibu sahihi sana.Hujalazimishwa kukopa
Hakuna anayependa kukopa,siyo majibu sahihi sana.Hujalazimishwa kukopa
Unamaanisha hiyo mia nne ndio take home au!??Kipi hujaelewa hapo. .
6% × 400,000 = tshs 24,000
Ugumu uko wapi ndugu yangu
Embu nikokotolee mie ambae take home ni mia tatu.Kipi hujaelewa hapo. .
6% × 400,000 = tshs 24,000
Ugumu uko wapi ndugu yangu
Embu nikokotolee mie ambae take home ni mia tatu.
Ni bora kukopa kwa ndugu na jamaa kwa riba ya 0%Tatizo ni kwamba hao walengwa wa salary advance wasipokopa bank watakopa hata kwa Mangi au kwa Mpemba tena pengine kwa riba kubwa zaidi
Sijaelewa. Ulikuwa unasemaje?Naomba kuuliza aliyewahi kupewa 40% ya salary advance kama NMB wanavyojinadi ni nani?
Ni kweli interest free au 6% ya processing fee?
Kama mkopo ni 1% au 2% processing fee why salary advance iwe 6% au ndio njia pekee ya kumuibia mlalahoi mwenye shida Lukuki? Acheni wizi.
==============================================
Ndugu na jamaa yupi anayekopesha usawa huu? Watanzania ni walalamishi tu,mtaani riba ni asilimia 30 hadi 50 kwa mwezi watu wanalalamika asilimia 6? Kama unaona nyingi subiri tu mwisho wa mwezi wala usihangaike na hizo advance,wenye shida nazo watazichukua.Ni bora kukopa kwa ndugu na jamaa kwa riba ya 0%
Inaonyesha ulikua kilaza wa hesabu enzi zako.100%-46%=56%???
100%-46%=56%???
Nani akope pesa za moto hizo? Watajikopesha wenyewe.Ndugu na jamaa yupi anayekopesha usawa huu? Watanzania ni walalamishi tu,mtaani riba ni asilimia 30 hadi 50 kwa mwezi watu wanalalamika asilimia 6? Kama unaona nyingi subiri tu mwisho wa mwezi wala usihangaike na hizo advance,wenye shida nazo watazichukua.
Hizi math!!100%-(40%+6%)=56%
So ujue mwisho wa mwezi atapokea 56% ya mshahara woooote.
...we jamaa huwaga ni kibuyu kishenzi!Nani akope pesa za moto hizo? Watajikopesha wenyewe.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app


Yawezakua unaomba kiasi kikubwa kuliko mshahara unao ingia bank!!!Hawa Nmb hata mm swaelew wanasema asilimia 40 but nashangaa wanasema sjatmza mashart
Mkuu mapovu yote ya nini, asa kama unataka kukopa wewe si uende kukopa mbona unanilazimisha mkopo nisiouhitaji? Wewe vp bhana!...we jamaa huwaga ni kibuyu kishenzi!
..unabwabwaja tu hata hoja huna,
.mbaff!
Labda mchawi atauliza. Umesomeka mkuuNaomba ni wasaidie jamani, kama wewe ni mtumishi wa uma, na mshahara wako unapitia NMB basi hicho nikigezo cha kwanza.
Pili mkopo huu unakatwa procesing charges tu, ambayo ni asilimia sita ya kile ulicho kikopa!!
Mkopo unaanza kuanzia 10,000/= nakuendelea kulingana na mshahara unao ingia kwenye account yako!!
Kwaiyo ukikopa 10,000/= utakatwa 10,600/= pale mshahara wako utakapo ingia!
Kuhusu kuweza kukopeshwa asilimia 40% ni sahihi kabisa! Mfano wewe besic ni 716,000 ukikatwa kodi zingine zoote unachokikuta kwenye accont yako labda ni 590,000/= asilimia arubaini yako itakuwa ni 236,000/= hicho ndicho utakacho pewa!
Hii inamaanisha kuwa asilimia arubaini inapatikana kwa kile kiasi unacho lipwa au kinachoingizwa na hazina bank!
Kama unamikopo au una makato ya ziada kwenye mshahara wako inayokatwa moja kwa moja basi kiwango cha kukopa kwenye ile asilimia arobain nacho kinapungua
Ukitaka kujua wewe unapaswa kukopa mpaka kiasi gani tembelea nmb mobile ingia kwenye menu kuu, nenda kopa, kisha nenda salary advance, itakupa machaguzi matatu, nenda la mwisho pale la kiasi unacho stahili utaona wewe kama wewe unaweza kukopa kuanzia 10000 mpaka kiasi gani!!! Yaani utaijua 40%yako.
Kumbuka mkopo huu urejeshwa wote mara moja! Na usikope kiwango ambacho huna au huingiziwi kwenye account!
Mfano kuna watu mna madeni ya mikopo unakuta unapokea 250,000/ kutoka kwenye mshahara wa 716000 wewe asilimia yako 40 ni 100, 000 na utakatwa 106,000 tu. na dio kiwango cha mwisho wa kupewa pesa. sasa usije ukataka upewe laki tatu au mbili!! Wakati mshara ushakua mdogo.
Huduma hii ni nzuri isiyo na usumbufu wala kero While mtaani ugekopa iyo laki ungekabiz ATM, ukajazishwa mifomu na ukarejesha laki na 20 au na 30
Kunaswali??![]()