Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,567
- 21,519
Nchi inakopa... raia wanakopa.... Taifa la wakopaji
UmmaKumbe inawahusu watumishi gani mkuu?
Ni 6% ya mkopo na sio ya mshahara wote100%-(40%+6%)=56%
So ujue mwisho wa mwezi atapokea 56% ya mshahara woooote.
Mm nimeshalemaa na wa CRDBHii mikopo noma sana duuuh
hahahah, Unaulizia salary ya Machi, 2018 kijanja kijanja. hahahah.
Nchi inakopa... raia wanakopa.... Taifa la wakopaji
KapitalistSo what’s wrong with that. Do you think atakuja Lissu kutufanya tusikope wakati yupo kwa hao wadhurumaji akilamba miguu yao. Hakuna kapitalist mwenye urafiki Wa kweli. Anapoona mjinga huja kwa Karibu na kukuaminisha hata katika ujinga kwamba uko Right.
pole mkuuMm nimeshalemaa na wa CRDB
kweli haswaa mkuu tena na usawa huu...acha tuMikopo ni janga la kitaifa. Hii salary advance ni sawa na kuweka rehani maturubai ya kwenye msiba. Yaani mtu anayekopa huwa amepigika sana lakini hicho kipigo cha 6% processing fee ndicho hummaliza kabisa.
72% of 1200% andika hivyo Maana ukiacha hivyohivyo mwengine atajua ni 72% of 100% utachanganya watuHiyo 6% ya processing fee ni kwa kila application mpya? I mean kila mwezi kama ukiomba hiyo facility wanakata hiyo asilimia sita au ni maramoja tu ndani ya mwaka husika? Kama ni kwa kila application na ukilazimika kuomba salary advance kila mwezi kwa miezi 12 ya mwaka unajikuta umekatwa 72%! Ama kweli banks zinatengeneza super profit
Upo sahihi mkuu ingawa bado kiasi hichi ni kikubwa bora mtu achue Salary Loan ya miezi 12 hadi 60 ajue moja72% of 1200% andika hivyo Maana ukiacha hivyohivyo mwengine atajua ni 72% of 100% utachanganya watu
Watumishi gáni wanapata huko mkuu. Mbona mm sipatiMm nimeshalemaa na wa CRDB
ww ulitaka upewe bure kabisa? Hakuna kitu cha bure mkuu. Unadhani NMB wao watawalipa nn wafanyakazi wao kama wasipokata hata service charge??Kwani processing fee sio charge? Lahaula! Hivi hawa NMB wanadhani watanzania wote ni matutusa?
100%-46%=56%???
Mkuu embu rudia taratibu...No..!! hiyo 6% ni inclusive ya 40%
Yaani ukikopa 40% ya mshahara wako wanakata 6% kwenye hiyo 40%.. So utapata 40% - 6% = 34% ya kile ulichokopa..!!
So kama mshahara wako take home ni 1,000,000 unaweza kopa hadi 400,000 then 400,000 - ( 6% × 400,000 ) = 376,000
So utaweza chukua Tshs 376,000 in advance
Umeelewa ?
Duhh....
Mkuu embu rudia taratibu...