NMB Salary Advance acheni wizi

NMB Salary Advance acheni wizi

Wanasema uwe mfanyakazi wa serikalini au makampuni walioingia nao mkataba.
 
Mwingine una vigezo vyote na pesa waliyokuambia ukope but ukikopa hawataki. Huu ni uxenge 100%
 
Naomba kuuliza aliyewahi kupewa 40% ya salary advance kama NMB wanavyojinadi ni nani?

Ni kweli interest free au 6% ya processing fee?
Kama mkopo ni 1% au 2% processing fee why salary advance iwe 6% au ndio njia pekee ya kumuibia mlalahoi mwenye shida Lukuki? Acheni wizi.


==============================================


Hivi unakaa unaamini benki kabisa?

Benki zote ni wapuuzi wakubwa!

Tuulize sisi wafanya biashara!

Wanachokiongea kwenye matangazo hua ni digrii 360 kinyume kabisa na reality!

Stupid banks!
 
Mimi kwa uelewa wangu ni kwamba unapewa hadi 40℅ ya take home yako lakini ili kujua 6℅ ni kiasi gani basi utachukua hiyo 40℅ ambayo sasa itageuka kuwa 100℅ unapotafuta hiyo 6℅ kwa mfano mkopo wako ni 500,000 kama take home yako sasa 40℅ ya 500,000 itakuwa ni 200,000 kwa hiyo utatafuta 6℅ ya 200,000 ambayo itakuwa ni 12,000 kwa hiyo utakspopata mshahara NMB watakata sh 212,000 katika mshahara wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom