NMB Salary Advance acheni wizi

NMB Salary Advance acheni wizi

Naomba kuuliza aliyewahi kupewa 40% ya salary advance kama NMB wanavyojinadi ni nani kweli aliyewahi kupewa 40% as advance pay, na ni kweli interest free au 6% ya processing fee?
Kama mkopo ni 1% au 2% processing fee why salary advance iwe 6% au ndio njia pekee ya kumuibia mlalahoi mwenye shida Lukuki? Acheni wizi.
Lakini hii Huduma sio kwa watumishi wote
 
Naomba kuuliza aliyewahi kupewa 40% ya salary advance kama NMB wanavyojinadi ni nani kweli aliyewahi kupewa 40% as advance pay, na ni kweli interest free au 6% ya processing fee?
Kama mkopo ni 1% au 2% processing fee why salary advance iwe 6% au ndio njia pekee ya kumuibia mlalahoi mwenye shida Lukuki? Acheni wizi.
Mkuu wangu NMB sio tu kwamba ni WEZI bali ni MAJAMBZI wa kutupwa. Siku nilipoona lile tangazo lao la kijambazi nilicheka sana. Anyway, wajinga ndio waliwao!
 
Naomba kuuliza aliyewahi kupewa 40% ya salary advance kama NMB wanavyojinadi ni nani kweli aliyewahi kupewa 40% as advance pay, na ni kweli interest free au 6% ya processing fee?
Kama mkopo ni 1% au 2% processing fee why salary advance iwe 6% au ndio njia pekee ya kumuibia mlalahoi mwenye shida Lukuki? Acheni wizi.

Ni 40% ya net salary yako sio basic salary kama maximum ya advance unayoweza kuchukua na gharama pekee ni 6% ya kile utakachochukua advance mfano kama umechukua Tsh 100,000/= utakatwa Tsh 106,000/= mshahara ukitoka
 
100%-(40%+6%)=56%

So ujue mwisho wa mwezi atapokea 56% ya mshahara woooote.

unachokatwa ni 6% ya kiasi unachochukua kama advance, mfano kama ulichukua Tsh 100,000/- mshahara ukitoka utakatwa Tsh 106,000/- pekee, hakuna gharama nyingine
 
Soma vigezo na mashariti.

Ingia www.nmbbank.co.tz

Kuna kurasa kama sita au saba za vigezo na mashariti ya huo mkopo.

Processing fee ni 6% ya kiwango cha mkopo unaochukua na hakuna charge nyingine zaidi ya hiyo.
Kwani processing fee sio charge? Lahaula! Hivi hawa NMB wanadhani watanzania wote ni matutusa?
 
Hii mikopo noma sana duuuh
Mikopo ni janga la kitaifa. Hii salary advance ni sawa na kuweka rehani maturubai ya kwenye msiba. Yaani mtu anayekopa huwa amepigika sana lakini hicho kipigo cha 6% processing fee ndicho hummaliza kabisa.
 
Ni 40% ya net salary yako sio basic salary kama maximum ya advance unayoweza kuchukua na gharama pekee ni 6% ya kile utakachochukua advance mfano kama umechukua Tsh 100,000/= utakatwa Tsh 106,000/= mshahara ukitoka
This is a fucken business. It is better to eat grasses than take salary advance.
 
Tatizo ni kwamba hao walengwa wa salary advance wasipokopa bank watakopa hata kwa Mangi au kwa Mpemba tena pengine kwa riba kubwa zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom