Unaomba kiasi usicho stahili best!! Angalia hazina inakupa shilingi ngapi yaani ile ammount yamwisho unayopokea bank, kisha itaftie asilimia 40 au ingia hapo kwenye menu kopa, salry advance nenda kiasi unacho stahili utajua nikiasi gani wewe unaweza kukopa!Kila nikiomba MKOPO naambiwa Huduma haijakamilika , Jaribu tena baadae, na mm ni mteja wa NMB . na mshahara wangu unapitia katika Bank tangu nianze kazi.
Je kuna vigezo gani nakosa mm mpaka niambiwe jaribu baadae.? ili khali watu wengine kama wawili nimewaelekeza namna yakuomba MKOPO na wote wamepata ?
Unaomba kiasi usicho stahili best!! Angalia hazina inakupa shilingi ngapi yaani ile ammount yamwisho unayopokea bank, kisha itaftie asilimia 40 au ingia hapo kwenye menu kopa, salry advance nenda kiasi unacho stahili utajua nikiasi gani wewe unaweza kukopa!



Yoga uko floor ya ngapi pale? Maana sio kwa maelezo hayo ukienda kesho msalimie Ineke![]()

...ona sasa!nani kakulazimisha??Mkuu mapovu yote ya nini, asa kama unataka kukopa wewe si uende kukopa mbona unanilazimisha mkopo nisiouhitaji? Wewe vp bhana!
Mkuu kiasi nachostahili kukopa ni Tsh 95 elfu , sasa mm nilikuwa nawaomba 60 wakazingua , nikashuka mpaka 50 piaaa wakazingua kwamba muamala haujakamilika , nijaribu baadaeeeUnaomba kiasi usicho stahili best!! Angalia hazina inakupa shilingi ngapi yaani ile ammount yamwisho unayopokea bank, kisha itaftie asilimia 40 au ingia hapo kwenye menu kopa, salry advance nenda kiasi unacho stahili utajua nikiasi gani wewe unaweza kukopa!
Mm nimejaribu imegoma ,nimeoneshwa kiwango ni 495,000 nikajaribu kukopa laki moja ikakaktaaMkuu kiasi nachostahili kukopa ni Tsh 95 elfu , sasa mm nilikuwa nawaomba 60 wakazingua , nikashuka mpaka 50 piaaa wakazingua kwamba muamala haujakamilika , nijaribu baadaeee
niliomba laki mbili wamenikata elfu 20 badala ya elfu 12!Hiyo 6% ya processing fee ni kwa kila application mpya? I mean kila mwezi kama ukiomba hiyo facility wanakata hiyo asilimia sita au ni maramoja tu ndani ya mwaka husika? Kama ni kwa kila application na ukilazimika kuomba salary advance kila mwezi kwa miezi 12 ya mwaka unajikuta umekatwa 72%! Ama kweli banks zinatengeneza super profit
laki wanakata elfu 10 we angalia vizur utaonaWatu wamekuwa wakikopa 100,000 na kurejesha 130,000 kwa mwezi so huoni kuwa 100,000 kwa 106,000 ni nafuu sana
ndiyo wametubembeleza ukienda wanazinguaKwani kuna anayekulazimisha kwenda kwao kukopa?
ngoja nijisubscribe kabsa,, nmechoka kuweka ATM bondNaomba ni wasaidie jamani, kama wewe ni mtumishi wa uma, na mshahara wako unapitia NMB basi hicho nikigezo cha kwanza.
Pili mkopo huu unakatwa procesing charges tu, ambayo ni asilimia sita ya kile ulicho kikopa!!
Mkopo unaanza kuanzia 10,000/= nakuendelea kulingana na mshahara unao ingia kwenye account yako!!
Kwaiyo ukikopa 10,000/= utakatwa 10,600/= pale mshahara wako utakapo ingia!
Kuhusu kuweza kukopeshwa asilimia 40% ni sahihi kabisa! Mfano wewe besic ni 716,000 ukikatwa kodi zingine zoote unachokikuta kwenye accont yako labda ni 590,000/= asilimia arubaini yako itakuwa ni 236,000/= hicho ndicho utakacho pewa!
Hii inamaanisha kuwa asilimia arubaini inapatikana kwa kile kiasi unacho lipwa au kinachoingizwa na hazina bank!
Kama unamikopo au una makato ya ziada kwenye mshahara wako inayokatwa moja kwa moja basi kiwango cha kukopa kwenye ile asilimia arobain nacho kinapungua
Ukitaka kujua wewe unapaswa kukopa mpaka kiasi gani tembelea nmb mobile ingia kwenye menu kuu, nenda kopa, kisha nenda salary advance, itakupa machaguzi matatu, nenda la mwisho pale la kiasi unacho stahili utaona wewe kama wewe unaweza kukopa kuanzia 10000 mpaka kiasi gani!!! Yaani utaijua 40%yako.
Kumbuka mkopo huu urejeshwa wote mara moja! Na usikope kiwango ambacho huna au huingiziwi kwenye account!
Mfano kuna watu mna madeni ya mikopo unakuta unapokea 250,000/ kutoka kwenye mshahara wa 716000 wewe asilimia yako 40 ni 100, 000 na utakatwa 106,000 tu. na dio kiwango cha mwisho wa kupewa pesa. sasa usije ukataka upewe laki tatu au mbili!! Wakati mshara ushakua mdogo.
Huduma hii ni nzuri isiyo na usumbufu wala kero While mtaani ugekopa iyo laki ungekabiz ATM, ukajazishwa mifomu na ukarejesha laki na 20 au na 30
Kunaswali??![]()

Nikaenda Bank kufatilia wakasema wao hawawezi tatua lipo nje ya uwezo waooo.Mm nimejaribu imegoma ,nimeoneshwa kiwango ni 495,000 nikajaribu kukopa laki moja ikakaktaa
Hahahahaha we ulitaka wakate mdogo mdogokutazama akaunti ipo empty na kasalio kangu wamebeba



iyo inakatwa yooote bestKuna vigezo gani vingine iwapo mshahala wangu unapita nmb na nina miaka mitano sasa,,, lkn jana nmejarbu imegoma,, wanasema sijatmiza mashartiHahahahaha we ulitaka wakate mdogo mdogoiyo inakatwa yooote best