General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
NMB ni zaidi uijuavyo.
Undugulization mwanzo mwisho.
Wenzenu wanafanya oral interview Jumatatu wengine mnapewa mkono wa kwa heri.
Mmmmh written walifanya lini?Maneno ya mkosaji haya
Mkuu ulisomea kozi gani??Da Mimi Leo nimepata email yao kuwa siwafai nikasema inshallah ngoja nirudishe mpira kwa kipa mwakani nianze upya
BiasharaMkuu ulisomea kozi gani??
Ulisomea general yaan business administration bila ya kubase katika labda finance au marketing au yoyote??Biashara
Accounting and finance mkuuUlisomea general yaan business administration bila ya kubase katika labda finance au marketing au yoyote??
Aiseeee yaan account and finance ukose sifa ya kuwa bank officer?? Hahahahahahah tena bila hata ya interview?? Hahahahahah tulipofikia ni kwamba undugu unasaidia sana na sio elimu..Accounting and finance mkuu
More green pasture are on the wayAiseeee yaan account and finance ukose sifa ya kuwa bank officer?? Hahahahahahah tena bila hata ya interview?? Hahahahahah tulipofikia ni kwamba undugu unasaidia sana na sio elimu..
Au huenda wanaangalia aina ya chuo lkn kwa hicho ulichosomea wamezingua walipaswa wakuite katika usaili.
Aiseeee yaan account and finance ukose sifa ya kuwa bank officer?? Hahahahahahah tena bila hata ya interview?? Hahahahahah tulipofikia ni kwamba undugu unasaidia sana na sio elimu..
Au huenda wanaangalia aina ya chuo lkn kwa hicho ulichosomea wamezingua walipaswa wakuite katika usaili.
Kazi ipoMi mwenyewe nimepata tumbo joto.naona Mwana BAF mwenzangu ameisha nyolewa namimi nitafata yan daah
Hahahahahahaha kuna ndugu yangu yy kapiga Mzumbe pale BAF bado hajajibiwa..Mi mwenyewe nimepata tumbo joto.naona Mwana BAF mwenzangu ameisha nyolewa namimi nitafata yan daah
same here mkuu.... hila hiyo naona ni kama bahati nasibu maana kuna dada mmoja kapiga education duce bado hawaja mjibu na aliomba nilisomanae advance.Mi mwenyewe nimepata tumbo joto.naona Mwana BAF mwenzangu ameisha nyolewa namimi nitafata yan daah
Unajua wanachokifanya ni kuptia CV ya mmoja baada ya mwingne kwa utaratibu walivyopokea maombi kwa hyo kama ulituma behind deadline utafikiwa na kama umewagusa watakuacha kama sivyo watakufyekelea mbali na ndo utapewa hyo emailsame here mkuu.... hila hiyo naona ni kama bahati nasibu maana kuna dada mmoja kapiga education duce bado hawaja mjibu na aliomba nilisomanae advance.
inawezekana mkuu wanapitia tarehe hadi tarehe tulizo apply... wewe uliaply tarehe ngapi.?Unajua wanachokifanya ni kuptia CV ya mmoja baada ya mwingne kwa utaratibu walivyopokea maombi kwa hyo kama ulituma behind deadline utafikiwa na kama umewagusa watakuacha kama sivyo watakufyekelea mbali na ndo utapewa hyo email
2wks b4 deadlineinawezekana mkuu wanapitia tarehe hadi tarehe tulizo apply... wewe uliaply tarehe ngapi.?
Umepita mkuu2wks b4 deadline
Nimepta wap wameshanitumia email kuwa sina vigezo cjui wanataka niniUmepita mkuu
Duh wacha na mm nichungulie ka-emailNimepta wap wameshanitumia email kuwa sina vigezo cjui wanataka nini
Duh aiseezoezi endelevu,mwingine wa NZ kapokea leo