Ndo ivyo jamani.. mambo ya kila siku unachungulia email ipo au haipo , unakagua mpk kwenye spam hola ..
😁😁Hatari tupu hadi password tunasahau, au imeingia email[emoji3][emoji3][emoji3]
Mi cjaipata, labda tumesahaulikaIzo mail vipi bado zina endelea kutumwa?
Matumbo jotrooo wengine apa
Walio tumiwa ni wale walio kua disqualified Mr.Mi cjaipata, labda tumesahaulika
Ok, thanksWalio tumiwa ni wale walio kua disqualified Mr.
😱😱😱😱 inamaana hawaja maliza tu kutuma email kwa waliokosa.... duh. majangaDemu wangu nae nilimuombea kanda ya mashariki katumiwa leo kuwa hakuchaguliwa.
Duh demu wako tena!Demu wangu nae nilimuombea kanda ya mashariki katumiwa leo kuwa hakuchaguliwa.
haahahahahDuh demu wako tena!
na kweli wengine wamepokea leoZoezi endelevu
endelea kusubiri.mimi niliomba kanda ya ziwa na kanda ya mashariki lkn mpaka sasa sielewi kipi kinachoendelea sijapata email yoyote ile nabaki tukuchungulia email muda wote.
ni bora watujulishe tu mapema tujuwe moja kiongoziendelea kusubiri.
HahahahahaaaaaaaaaSijajua kwa kweli. Saa nyingine unakuta wanapima degree of unemployment.
🙆🙆🙆🙆majanga. umepata leo sangapDa Mimi Leo nimepata email yao kuwa siwafai nikasema inshallah ngoja nirudishe mpira kwa kipa mwakani nianze upya
Mida ya saa sita mchana[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]majanga. umepata leo sangap
dah. poa chief... hili kweli zoezi endelevu.Mida ya saa sita mchana