NMB job several position wameanza kutuma email

Dah sikumbuki kama nilipata hiyo confirmation email..
angalia kwenye inbox au spam.... ulikua ukishafanya application na kusubmit ilikua inakuja email kama hii 👇👇 kwenye email yako uliyotumia kulogin..
 

Attachments

  • IMG_20181118_194420.png
    30.7 KB · Views: 108
angalia kwenye inbox au spam.... ulikua ukishafanya application na kusubmit ilikua inakuja email kama hii [emoji116][emoji116] kwenye email yako uliyotumia kulogin..
Samahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!
Unaweza kua na msaada katika hilo
 
Samahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!
Unaweza kua na msaada katika hilo
user name ni ile email yako ya kawaida ambayo walikutumia confirmation email baada ya kusubmit maombi yako na ndio hiyo hiyo watayo tumia kukujibu... ungekua umesahau password atleast ingekua rahisi kukusaidia. subiri wadau waje waliobobea hayo mambo watakusaidia.
 
angalia kwenye inbox au spam.... ulikua ukishafanya application na kusubmit ilikua inakuja email kama hii [emoji116][emoji116] kwenye email yako uliyotumia kulogin..
Mkuu mimi niliapply ila sikupata hiyo confirmation email. Na nilijibiwa kabisa your application is succesfull submited lakini email ya confirmation sikupata. Sidhani kama maombi yangu yalifika ingawa sijatumiwa bado hizo email. Ila najiweka kwenye kundi la wakosaji maana taarifa za kupata confirmation email ndio nimezikuta huku.
 
Same scenario as mine[emoji24][emoji24][emoji24]
 
failer to get confirmation email means maombi yako hayaja wafikia though ukienda kwenye submitted application maombi unayakuta , wengi waliokuwa wanatumia yahoo walikua hawapati confirmation email hadi utumie gmail hata mimi niliangaika sana kupata hiyo confirmation email almost 3days suffered coz i used yahoo mail to login nikaja kuuliza humu jamvini kama naaply lakini email yao sipati, mkuu mmoja anaitwa Castr akaniambia nibadilishe email nitumie gmail km nilitumia yahoo, baada ya kubadilisha na kutumia gmail nikapata hiyo confirmation email.... kwenye web yao ukisoma wameelekeza hivi👇👇
 

Attachments

  • IMG_20181120_035830.png
    66.1 KB · Views: 94
Samahani Mkuu, mi nimesahau User na password niliyotumia kulog in!
Unaweza kua na msaada katika hilo
mkuu soma hapa itakusaidia... wameelekeza kwenye web yao unaweza ukaenda kusoma kule zaidi
 

Attachments

  • IMG_20181120_035854.png
    85.4 KB · Views: 74

Mkuu hujapata update yoyote.. basi nitumiwe tu iyo email nijue moja jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…