NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

Hell2Heaven

Senior Member
Mar 3, 2021
166
452
NBC matapeli kuweni makin na bankstement za kila mwezi wanazotuma kwenye email..utagundua wana iba kijanja. eti unakatwa Insurance Premum mara 3 ndani ya mwezi mmoja.. alafu hakuna mahali umeongea nao kuhusu insurance na katika miaka 3 ya kuwa nao sijawahi ona wamenikata mambo ya Insurance. 1,000 mara 3 jumla ,3000 ndan ya mwezi huu wa 11, haya hawakuishia hapo wakaja tena waka nikata Digital access fee mara 3 yaan 1500 x3 =4500 haikutosha wakaja waka nikata tena hela sijui ya nini ukiangalia jumla nimekatwa 7800/= ndani ya mwezi wa 11 , wakati sijawahi fanya online access ya acc yangu hata siku moja wala sina tabia hiyo.. aasa hiyo digital access fee imekatwaje? haya hiyo insurance premium nimekatwaje wakati sija wahi iona katika bank statement zangu hata sikh moja kwa miaka 3 yakuwa nao?
Kuweni makin kuna makato madogo madogo ambayo hii bank inafanya bila kujali mteja atasemaje wala hakuna makubaliano yoyote..huu ni wizi kwa lay man wasio jua.. mm najua ni uonevu na wizi ndio na toa taarifa hapa muwe makin na mabank.. nasubiria nirudi uko dar nije kuifunga acc staki tena kusikia hii laana ya NBC wachez na wajinga wengine siyo mimi
 
NBC premier league .......
acha tu, hi bank ni wajanja sana.. na ukiuliza utazungushwa maelezo yasiyo eleweka wana jiuma uma wafanyakaz wanajua kabisa sio sawa ila wanarushiana mpira nenda kwa flan mara nenda kwa fulan..utachoka uondoke alafu mwezi unao fuata wanafanya vile vile
 
Benki zote wizi mtupu mimi CRDB wamenikata 25000 juzi nauliza kwa afisaa wa benki eti naambiwa ni gharama ya ku maintain tembo card yangu. Nampango wa kuachana na benki kwa sasa bora hela nilalie kwenye godoro potelea mbali.
Hilo la CRDB ndio na mm lilinikuta nilikaa muda bilakutumia kaka miaka 3, nika uza Gari sasa mnunuz akataka alipe kwa bank nika mruhusu nika mpa jina na acc akalipa.. bwana weweee.. kesho yake naenda bank kutoa nakuta walikata 150,000/ eti ni mantainance ya card kwa miaka 3.. nilichoka.. alafu wako serious.

nika rudisha card yao hapo hapo nika wambia waifute kwenye system.. mpaka leo sija rudia hiyo bank tena
. ndio nika fungua NBC ..sasa hawa nao. ndi wana nifanyia mzaha.. naelekea kafunga acc zote za mabank. staki ujinga huu wa kuibina..

ntakuwa naweka kwenye Ewalet au kwenye Vipande vya UTT ful stop
 
Crdb sasa ukiwithdraw pesa wala huoneshwi balance ili wakupige vizuri.

Hizi bank za Kibongo zitumieni kupokelea mishahara ya kila mwezi lakini hazina issue.
NBC ndio ukiwithdraw kwa ATM hawaweki Karatasi ili usiangalie Salio wala kumbukumbu isiwepo.Yaan wajanja sana
 
Benki zote wizi mtupu mimi CRDB wamenikata 25000 juzi nauliza kwa afisaa wa benki eti naambiwa ni gharama ya ku maintain tembo card yangu. Nampango wa kuachana na benki kwa sasa bora hela nilalie kwenye godoro potelea mbali.
Hapana, jiunge na benki yoyote ya nje kama KCB, StanBic na zingine hutojutia

Hizi za kibongo zina wafanyakazi wenye njaa sana na wezi
 
NBC matapeli kuweni makin na bankstement za kila mwezi wanazotuma kwenye email..utagundua wana iba kijanja. eti unakatwa Insurance Premum mara 3 ndani ya mwezi mmoja.. alafu hakuna mahali umeongea nao kuhusu insurance na katika miaka 3 ya kuwa nao sijawahi ona wamenikata mambo ya Insurance. 1,000 mara 3 jumla ,3000 ndan ya mwezi huu wa 11, haya hawakuishia hapo wakaja tena waka nikata Digital access fee mara 3 yaan 1500 x3 =4500 haikutosha wakaja waka nikata tena hela sijui ya nini ukiangalia jumla nimekatwa 7800/= ndani ya mwezi wa 11 , wakati sijawahi fanya online access ya acc yangu hata siku moja wala sina tabia hiyo.. aasa hiyo digital access fee imekatwaje? haya hiyo insurance premium nimekatwaje wakati sija wahi iona katika bank statement zangu hata sikh moja kwa miaka 3 yakuwa nao?
Kuweni makin kuna makato madogo madogo ambayo hii bank inafanya bila kujali mteja atasemaje wala hakuna makubaliano yoyote..huu ni wizi kwa lay man wasio jua.. mm najua ni uonevu na wizi ndio na toa taarifa hapa muwe makin na mabank.. nasubiria nirudi uko dar nije kuifunga acc staki tena kusikia hii laana ya NBC wachez na wajinga wengine siyo mimi
SIYO WIZI,soma terms and conditions zilizopo kwenye fomu ya kufungua account.
 
Back
Top Bottom