Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

Umefanya jambo zuri na linalostahili pongezi. Huyo dada aliyekuwa na kiherehere cha kukulipia ndo wale madada wanaotambia pesa za kuhongwa na waume za watu. Watanzania wote tukiwa kama wewe mbona tutaushinda huu mfumo dhalimu.
 
Hadithi nzuri jamani eeeh.........!
Inatufundisha nini ..........!
JIBU: Bongo watu bado wamelala asilimia 0.05 ndiyo wapo macho ............!
 
Leo mida ya jioni narudi
kutoka kazin, nimefika
Mwenge nasubiria usafiri
kwenda Tegeta, mfukoni
nina Tshs 900/= tu
>> Coins 2 za 200/= >> Noti ya 500/=
Nikawa nimepanga zangu
kwamba, kutoka Mwenge -
Tegeta nalipa 300/= then
500/= nachukua Bajaj
mpaka home. Nipo stand ya Mwenge pale ndani, mara
basi hiloooo likaingia.
Konda anashuka na kuanza
kupiga debe .. . .
"Tegetaaaaaaa elfu mojaa
mojaaaa . . . . . Tegetaaaa elfu mojaaaaaa"
Nikawaza sana . . . .
nikaamua kuzamia ndani ya
gari vivo hivyo!
Gari ikajaa, dreva akaanza
kuwasha gari na kuondoka. Ile amevuka tu
geti la kutokea mabasi pale
Mwenge konda
akazoza . . . . .
"Abiria tumalizane hapa
hapa kabla hatujaenda mbali . . . "
Gari ilikuwa imejaa kabisa
watu waliokaa ktk viti, na
wawili waliosimama
Akaanza kukusanya Tshs
1,000/= za nauli. Kufika kwangu nikampa zile coins
2 za mia mbili mbili . . . .
Konda akaniangalia weeee,
kisha ananijibu . . .
"Oyaa brazaaa, masihara
hayo . . . . Inamaana hukusikia nilivyosema nauli
buku au unajifanyisha
makusudi?"
Nikamjibu "Ningesikia
Mwakyembe amepandisha
nauli wala nisingekuwa na ubishi, ila ninachojua mimi
nauli ni 300/= tu, hapo
nirudishie mia yangu"
Konda ikabidi amwambie
dereva wake
" Oyaaa mwanangu, kimeshanuka, simamisha
gari, kuna jamaa analeta
mizinguo mwanangu".
Dereva akasimamisha kweli
na akazima gari kabisa,
kisha akajibu "Siendeshi gari mpaka alipe
nauli iliyotajwa"
Abiria si wakanigeukia,
tena hasa akina mama na
akina dada na sauti zao
kaliii na makelele kibao . . . . "Weeee kaka, kama huna
hela shuka banaa,
usitucheleweshe hapa, si
tumeshachoka saa hizi"
Nikawajibu "Kushuka
sishuki na kama vp tulale humu humu ndani ya gari'
Basi mabishano
yakaendelea kama dk 10
hivi huku mi nikiendelea
kushikilia msimamo wangu.
Mwisho konda akamwambia dereva
wake . . . "Oyaa mwanangu
twen'zetu, achana nae huyo
----". Konda akasusa kabisa
nauli yangu na akaanza
kumalizia wengine wanaotoa hizo buku buku.
Ile tumefika krk round-
about nikamsikia dada
mmoja akisema
"Kondaaaaa, chukua hela
hii hapa namlipia huyo mkaka aliyeshindwa
kulipa . . . . . jianaume
liziiiimaaaa, linashindwa
kulipa elf moja, loooh. Hata
aibu haoni"
Nikamwangalia yule dada weeee, nikamjibu "Ewala
dada, nashukuru we tajiri
kwa kunilipia, ni masikini
tu, asante"
Yakasemwa maneno kibao
ya kunikashifu mule ndani mi nikawa kimya tu nasoma
novel yangu mpaka
tukafika stand ya Mwenge
ktk BP Shell (Pale karibu na
Benk ya Efatta) na
kulikuwa na kafolen kidogo kabla ya kufika.
>> Kufika tu, konda
anashuka na kuanza
kupiga debe . . .
"Tegetaaaaaaa mia
tatuuuuuuuuu . . . . . . ." " Tegeta hiyoooooooo mia
tatuuuu . . . . . . "
Si abiria wakaanza
kulalamika . . . .
"Weee konda turudishie
chenji zetu basiii . . . . we kondaaaa . . . . . "
Konda akagoma kurudisha
chenji. Mi nikawa kimya tu
kama vile sijui
kinachoendelea@

Hadithi yako inatufundisha nini?
 
wana_JF tijifunzeni "ngumi" ili sometimes pakinuka tusisikie harufu!
 
Hehehe kama huo sio uvivu wa kufikiri basi kazi kweli kweli. Soma vizuri post yake tena. Wapi kasema kituo cha BP karibu na Efatha ndio mwisho wa safari?

Daahh....long time mazee...nafurahi kukusoma........unajua nini mkuu.....hata mimi mwanzo sikuelewa.......nilielewa kama vile anatoka Mwenge halafu akafika tena Mwenge!!......mpaka mwenyewe bampami akanielewesha.......kuwa kuna "Mwenge ndani"....duuh......na "Mwenge BP karibu na Efatha".....duuh!

hii lugha yetu ya Kiswahili ngumu kuielewa wakati mwingine aisee.....lol
 
Last edited by a moderator:
hujakosea hata mimi leo imenikuta hiyo eti temeke hadi mbagala kuu wanasema mia sita kisa gari linazunguka sana barabara mbovu minikampa mia tatu nauli halali,,,,katika kuelewEshana na kanda akatokea dada mmoja akanilipi,,,,,NIKAMWAMBIA SIKUSHUKURU ILA NAKUOMBEA UJITAMBUE NA UZITAMBUE HAKI ZAKO
 
nIMEIPENDA MKUU. MI NAKUBALIANA MIA MIA NA WEWE. WAJUA SISI WATZ HATUNA UTHUBUTU. YAANI HAKI YAKO KABISA WAINUNUA. AMA KWELI BADO TU ENZI AMA ZAMA ZA KALE ZA MAWE
 
Yakifanyika hayo kwa daladala 10 za barabara ya morogoro, 10 za mandela/sam nujoma, 10 za kawawa road wenyewe watashika adabu. Halafu huyo mdada aliyelipa hiyo buku kaniboa sana. Ni kweli watu wanakuwa wamechoka lakini hiyo si sababu ya kuuza haki yako.
 
Leo mida ya jioni narudi
kutoka kazin, nimefika
Mwenge nasubiria usafiri
kwenda Tegeta, mfukoni
nina Tshs 900/= tu
>> Coins 2 za 200/= >> Noti ya 500/=
Nikawa nimepanga zangu
kwamba, kutoka Mwenge -
Tegeta nalipa 300/= then
500/= nachukua Bajaj
mpaka home. Nipo stand ya Mwenge pale ndani, mara
basi hiloooo likaingia.
Konda anashuka na kuanza
kupiga debe .. . .
"Tegetaaaaaaa elfu mojaa
mojaaaa . . . . . Tegetaaaa elfu mojaaaaaa"
Nikawaza sana . . . .
nikaamua kuzamia ndani ya
gari vivo hivyo!
Gari ikajaa, dreva akaanza
kuwasha gari na kuondoka. Ile amevuka tu
geti la kutokea mabasi pale
Mwenge konda
akazoza . . . . .
"Abiria tumalizane hapa
hapa kabla hatujaenda mbali . . . "
Gari ilikuwa imejaa kabisa
watu waliokaa ktk viti, na
wawili waliosimama
Akaanza kukusanya Tshs
1,000/= za nauli. Kufika kwangu nikampa zile coins
2 za mia mbili mbili . . . .
Konda akaniangalia weeee,
kisha ananijibu . . .
"Oyaa brazaaa, masihara
hayo . . . . Inamaana hukusikia nilivyosema nauli
buku au unajifanyisha
makusudi?"
Nikamjibu "Ningesikia
Mwakyembe amepandisha
nauli wala nisingekuwa na ubishi, ila ninachojua mimi
nauli ni 300/= tu, hapo
nirudishie mia yangu"
Konda ikabidi amwambie
dereva wake
" Oyaaa mwanangu, kimeshanuka, simamisha
gari, kuna jamaa analeta
mizinguo mwanangu".
Dereva akasimamisha kweli
na akazima gari kabisa,
kisha akajibu "Siendeshi gari mpaka alipe
nauli iliyotajwa"
Abiria si wakanigeukia,
tena hasa akina mama na
akina dada na sauti zao
kaliii na makelele kibao . . . . "Weeee kaka, kama huna
hela shuka banaa,
usitucheleweshe hapa, si
tumeshachoka saa hizi"
Nikawajibu "Kushuka
sishuki na kama vp tulale humu humu ndani ya gari'
Basi mabishano
yakaendelea kama dk 10
hivi huku mi nikiendelea
kushikilia msimamo wangu.
Mwisho konda akamwambia dereva
wake . . . "Oyaa mwanangu
twen'zetu, achana nae huyo
----". Konda akasusa kabisa
nauli yangu na akaanza
kumalizia wengine wanaotoa hizo buku buku.
Ile tumefika krk round-
about nikamsikia dada
mmoja akisema
"Kondaaaaa, chukua hela
hii hapa namlipia huyo mkaka aliyeshindwa
kulipa . . . . . jianaume
liziiiimaaaa, linashindwa
kulipa elf moja, loooh. Hata
aibu haoni"
Nikamwangalia yule dada weeee, nikamjibu "Ewala
dada, nashukuru we tajiri
kwa kunilipia, ni masikini
tu, asante"
Yakasemwa maneno kibao
ya kunikashifu mule ndani mi nikawa kimya tu nasoma
novel yangu mpaka
tukafika stand ya Mwenge
ktk BP Shell (Pale karibu na
Benk ya Efatta) na
kulikuwa na kafolen kidogo kabla ya kufika.
>> Kufika tu, konda
anashuka na kuanza
kupiga debe . . .
"Tegetaaaaaaa mia
tatuuuuuuuuu . . . . . . ." " Tegeta hiyoooooooo mia
tatuuuu . . . . . . "
Si abiria wakaanza
kulalamika . . . .
"Weee konda turudishie
chenji zetu basiii . . . . we kondaaaa . . . . . "
Konda akagoma kurudisha
chenji. Mi nikawa kimya tu
kama vile sijui
kinachoendelea@

Unajitahidi sana mkuu kwa ku copy na kupesti . . . . . Hata huku nipo pia.
>> Huyu jamaa Bampami kakopi story yangu ktk facebook kaileta huku ili impatie maujiko daaah
>> Daah . . . Eti nilichokifanya Mwenge jana . . . . Kawanunua kweli wadau
>> Soma orijinal story ujionee . . . . kakopi hadi nukta!!
------->>>> Sisi watanzania ni... | Facebook
 
huyo dada hana akili hajui kuwa kama unashindwa kudai haki mbele ya mtu wa kawaida hutaweza mbele ya mwenye mamlaka.

Kuna demu mmoja nae aliniwakia mbaya, usiku tumeingia gari zisizo na msitari(zile za maili moja na kibaha) kimara walitangaza 1000 hadi mbezi nauli moja, nilikuwa naenda kimara mwisho. mie nikaingia bila hiyana, tumekaa konda akadai chake mie nkatoa zangu mia 3 tu, konda aakaanza kuwaka, abiria wengine wakanifwatisha kwa kukataa kulipa 1000 (kama 4 hivi). wengine wakamtetea konda na kutuona wa ajabu.
Huyu mdada aliungana na wanaomtetea kondakta wacha anicharukie, nilichofanya nikamwambia wewe ni mpumbavu kwani hujitambui na hujui kile kikupasacho siku ukijitambua utakuwa na sifa za kuongea na mimi. We moto wa maneno a.k.a cold war uliwaka kama jehanamu vile. Kwa msaada wa watu wa marekani moto ulifanikiwa kuzimwa japo kwa shida sana.

kwa ishu ya nauli kwenye dala dala nishatengeneza masoo kama mia hivi na zaidi. Hunionei mimi ati.
 
Leo mida ya jioni narudi
kutoka kazin, nimefika
Mwenge nasubiria usafiri
kwenda Tegeta, mfukoni
nina Tshs 900/= tu
>> Coins 2 za 200/= >> Noti ya 500/=
Nikawa nimepanga zangu
kwamba, kutoka Mwenge -
Tegeta nalipa 300/= then
500/= nachukua Bajaj
mpaka home. Nipo stand ya Mwenge pale ndani, mara
basi hiloooo likaingia.
Konda anashuka na kuanza
kupiga debe .. . .
"Tegetaaaaaaa elfu mojaa
mojaaaa . . . . . Tegetaaaa elfu mojaaaaaa"
Nikawaza sana . . . .
nikaamua kuzamia ndani ya
gari vivo hivyo!
Gari ikajaa, dreva akaanza
kuwasha gari na kuondoka. Ile amevuka tu
geti la kutokea mabasi pale
Mwenge konda
akazoza . . . . .
"Abiria tumalizane hapa
hapa kabla hatujaenda mbali . . . "
Gari ilikuwa imejaa kabisa
watu waliokaa ktk viti, na
wawili waliosimama
Akaanza kukusanya Tshs
1,000/= za nauli. Kufika kwangu nikampa zile coins
2 za mia mbili mbili . . . .
Konda akaniangalia weeee,
kisha ananijibu . . .
"Oyaa brazaaa, masihara
hayo . . . . Inamaana hukusikia nilivyosema nauli
buku au unajifanyisha
makusudi?"
Nikamjibu "Ningesikia
Mwakyembe amepandisha
nauli wala nisingekuwa na ubishi, ila ninachojua mimi
nauli ni 300/= tu, hapo
nirudishie mia yangu"
Konda ikabidi amwambie
dereva wake
" Oyaaa mwanangu, kimeshanuka, simamisha
gari, kuna jamaa analeta
mizinguo mwanangu".
Dereva akasimamisha kweli
na akazima gari kabisa,
kisha akajibu "Siendeshi gari mpaka alipe
nauli iliyotajwa"
Abiria si wakanigeukia,
tena hasa akina mama na
akina dada na sauti zao
kaliii na makelele kibao . . . . "Weeee kaka, kama huna
hela shuka banaa,
usitucheleweshe hapa, si
tumeshachoka saa hizi"
Nikawajibu "Kushuka
sishuki na kama vp tulale humu humu ndani ya gari'
Basi mabishano
yakaendelea kama dk 10
hivi huku mi nikiendelea
kushikilia msimamo wangu.
Mwisho konda akamwambia dereva
wake . . . "Oyaa mwanangu
twen'zetu, achana nae huyo
----". Konda akasusa kabisa
nauli yangu na akaanza
kumalizia wengine wanaotoa hizo buku buku.
Ile tumefika krk round-
about nikamsikia dada
mmoja akisema
"Kondaaaaa, chukua hela
hii hapa namlipia huyo mkaka aliyeshindwa
kulipa . . . . . jianaume
liziiiimaaaa, linashindwa
kulipa elf moja, loooh. Hata
aibu haoni"
Nikamwangalia yule dada weeee, nikamjibu "Ewala
dada, nashukuru we tajiri
kwa kunilipia, ni masikini
tu, asante"
Yakasemwa maneno kibao
ya kunikashifu mule ndani mi nikawa kimya tu nasoma
novel yangu mpaka
tukafika stand ya Mwenge
ktk BP Shell (Pale karibu na
Benk ya Efatta) na
kulikuwa na kafolen kidogo kabla ya kufika.
>> Kufika tu, konda
anashuka na kuanza
kupiga debe . . .
"Tegetaaaaaaa mia
tatuuuuuuuuu . . . . . . ." " Tegeta hiyoooooooo mia
tatuuuu . . . . . . "
Si abiria wakaanza
kulalamika . . . .
"Weee konda turudishie
chenji zetu basiii . . . . we kondaaaa . . . . . "
Konda akagoma kurudisha
chenji. Mi nikawa kimya tu
kama vile sijui
kinachoendelea@
Nasikia mnaokaa huko eti mnatoa kinyesi cha Sukari,TEHE TEHE!
 
Back
Top Bottom