Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

Nlichokifanya Mwenge Stand Leo... (Toa Maoni Yako)

hongera sababu upungufu wa nauli umekufanya uwe jasiri wa kudai haki, ungekuwa nayo ungelipa buku.
 
Tatizo letu cc wa Tz hatujui haki zetu,mtu ni bora apite shortcut afike,hku ajui utu wake kauwacha Nyuma
 
Insuficient money made you strong...we need realy strong/confident people
 
yani mwanangu nakupa bigup mkuu umefanya vyema wala hujakoseaa tatizo letu wabongo tunashindwa kutetea haki zetu wewe nauli unaijua unapandishiwa unaona sawa tu kwani ni usilalamikie haki yako? yaani mkuu ningekuwa karibu ningekupa zawadi ya pipi hapo hpao kituoni au pokea hii hapa
 
Big up sana kaka! ueledi mkuu ndo sifa ya uelevu! stick kwenye haki na hoja ya uhakika kwa hakika we should learn from u
 
Back
Top Bottom