Nkubalien pliz!

Nkubalien pliz!

snowhite na kama hao ndo mathink tank wako
why not usichemke kwenye examinations?

karibu kwetu!
mimi nipo pacha na kulwa wangu ni SnowBall
nina mamduchu anaitwa cielo naye sijui kapotelea wapi yailahi aliyenione huyu mtoto popote alipo aniitie
nina dada mkubwa @fp
mdogo wangu Kipipi
kaka zangu moto2012 , peter e.mselewa, mzeeTupatupa
watani zangu watu8 na mkewe measkron, platozoom, KIKUNGU, Sikonge The Boss a.k.a kaka mkubwa,
nina wanafunzi wangu Kaizer, Asprin, SnowBall ndo monitor wao
nina shemeji yangu Nicas Mtei
wifi yangu sakapal Dark City ndo babu yetu cacico ni mke mwenza
@bolfo sijui ndio nani wangu ah ila mshkaji wangu kinoma. Mtambuzi kuna muda ni shemeji yangu ila akichemsha kama kawaida yake huwa namwita we mzee tu!LIWALO HUWA LINAKUWAGA King'asti na Kongosho hawa ni mathink tank yangu nawapendaje sasa! M'Jr ni boonge la partner wangu
kuna muda huwa nakuwa nagombewa kupewa offer za valentine mwaka huu waliokuwa ulingoni ni EMT na mr rocky ila huyu Mr Rocky alichemsha mpambano akampisha EMT amabye na yeye sijui aliishia wapi valentine ya mwaka huu!
sasa we chagua pa kuingia hapo!
af nina mashosti wa ukweli hao we acha tu mwaJ, gfsonwin BADILI TABIA
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sn..umekua wa kwanza kunikaribisha katika familia yako,na pia ulikua wa kwanza kunipa changamoto aka mixfire siku najitambulisha hapa..kidogo tu unikatishe tamaa yaan

Pole mimisa. KAribu tena. Mimi huwa nipo muwazi sana ndio maana but honest in my opinion. umeamua kujifitisha wapi? ungependa kuwa mpwa pia?
 
Last edited by a moderator:
Wee mie simtank la kijiji

Sifa zangu:
Nimesoma kuliko wafuatao kijijini kwangu, akchwali ndio wa kwanza kupanda ndege
Na nikirudi kule napokelewa zaidi ya Jerry Slaa, natandikiwa kanga napopita

Mwalimu mkuu wa shule ya msingi
Mwalimu mkuu wa sekendare
Mganga wa kituo cha afya
VEO, WEO, SEO na balozi
Bwana Afya na Bwana Mifugo
Bibi Afya
Mwenyekiti wa Mtaa
Mchungaji na wa upande mwingine

Ujue mie ni SIMTANK na SInktank vile vile THinktank(Sinktank=Thinktank, ni vile tu wapare walishindwa kutamka SI)

snowhite na kama hao ndo mathink tank wako
why not usichemke kwenye examinations?
 
Back
Top Bottom