snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
mweeee! Ukute kaka aliondoka na ugonjwa wa siku hizi......
hiv haya maneno yote yanamuhusu kakake Nicas Mtei amabye ni mume wake snowhite au? watu8 kwa usalama wa mkeo hebu muulize vizuri kuhusu hili kabla sijapadnisha mori wa kingoni na sijui kama anajua mori wa kingoni huwa unapandia wapi!kwa mwongozo tu wa kimasai unapandia miguuni kuelekea juu ndo mana wanaruka!sasa mnaweza kukaa kama kamati na muke yako ili nisipandishe mori kwa mujibu wa mafundisho ya bibi yangu!
cc @fp
Last edited by a moderator: