Tuya
JF-Expert Member
- Aug 30, 2008
- 312
- 79
taken as a joke.... Nani katoa detail za uhakika mpaka sasa?
I 'm done.
Hahahaha lol hofu yangu hapo marital status maana baada ya shake money itakua shake people
taken as a joke.... Nani katoa detail za uhakika mpaka sasa?
I 'm done.
Nafikiri utakuwa umemuona Mrutunguru au chankamba.
hahahaaa! this gal isnt loyal.. lolHahahaha lol hofu yangu hapo marital status maana baada ya shake money itakua shake people
Nimekutafuta sana you know?
Jina: ODM
Kazi: Mkaguzi wa mabinti
Elimu: Ya jadi
Marital Status BADILI TABIA, cacico, Yummy, Kongosho.
Hobby: Kuchepuka
najua kwani kucheza lazima utumie kiuno?
ndio kiungo muhimu ila inategemea mchezo husika.
kumbe unajua basi sawa
haya karibu tena.
We mtoto utawadondosha watu kwa ugonjwa wa moyo humu jamvini... si unajua mistari yangu nikianza kutiririka mimi?! Huyi unayemuita babu yako mwambie kwanza akupe vipimo vya BP kabla sijaanza kutiririka manake nisije nikakutwa na murder case humu.hahaha babu bhana siku hizi nishakutoa kwenye kapu niko na NasDaz
Vipi? unakula viazi vya kuchemsha na vimekwama shingoni au nataka kufanywa mshika pembe hapa!? miss neddy, naomba ufafanuzi plz!Mmmmhhhh....!!!!
hahaha mbona zako namezeaga
Hapo kwenye occupation sijaelewa bado!!!!
We mtoto utawadondosha watu kwa ugonjwa wa moyo humu jamvini... si unajua mistari yangu nikianza kutiririka mimi?! Huyi unayemuita babu yako mwambie kwanza akupe vipimo vya BP kabla sijaanza kutiririka manake nisije nikakutwa na murder case humu.
Jina: Mr Rocky
Kabila: Msukuma
Umri: kati ya 20 na 34
marital status: married to Dena Amsi na mchepuko miss chagga na namwania Khantwe akiachwa na Ntuzu, na Kasinde akiachwa na Tized na Honey Faith na mtalaka wangu Mamndenyi
occupation: mkulima wa mpunga
Hobby: kuchepuka
Elimu: darasa la saba
Hamna kitu mbona huwa unanisemea
dushe??Naja chap chap.... I hope utanigawia ntaondoka nao pia 😛😛🙄