Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Hivi hayo maneno umeyaandika mahali na huwa unasubiri wakati tu uya-copy na ku-paste, au?
haha hapana bhana unanifanyaga niishiwe maneno sometime
Hivi hayo maneno umeyaandika mahali na huwa unasubiri wakati tu uya-copy na ku-paste, au?
Vipi Sweetheart... duh, majina mengine matamu kuya-mention wakati wa kuandika post, ngoja nirudie tena mara moja... vp Sweetheart, kipi kikuchekeshacho?!Hahahaaaa mkuu
mnh! basi kila wakati huwa unaishiwa maneno manake leo tu nimeyaona hayo maneno kwangu peke yake mara 3! Mie sitaki uishiwe na maneno bhana...haha hapana bhana unanifanyaga niishiwe maneno sometime
mnh! basi kila wakati huwa unaishiwa maneno manake leo tu nimeyaona hayo maneno kwangu peke yake mara 3! Mie sitaki uishiwe na maneno bhana...
Sio shamba tu ndio ninalo bado nina vitu vingi vya kuingiza pesa kwa vibinti vizuri kama wewe ambao mmejariwa..!! Mpaka nifilisike sio rahisi mjukuu..!! Ondoa shaka..!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kweli? Tribe kama nalijua vile..!
Marital status ni CWU au??
Ahhha! Hofu yako tu bhana... c wewe ndo nilikuwa nakuita Sweetheart, we unadhani nilikuwa namuita nani? Mi wewe tu hapa, hao wengine wala!nitajitahidi afu nakuona umeanza kummendea mtu hapo huoni aibu
Ahhha! Hofu yako tu bhana... c wewe ndo nilikuwa nakuita Sweetheart, we unadhani nilikuwa namuita nani? Mi wewe tu hapa, hao wengine wala!
kwah! kwah! kwah! Hofu ya nini... wewe ndie my oxygen, pasipo nawe sina japo chembe ya uhai! Hao wanaokutia hofu ni carbon dioxide yangu... ni hewa ninayotakiwa kuitoa ili ikuze maua ya kwenye bustan ye2! Au kama vp, nibadilishe swaga basu, kuanzia sasa nikuite my beautiful neddy, hapo vipi?!hhahah unamuita mtu kijanja sichelewegi ku take ufoo saro actions hata kama sina hatimiliki lol
Unatuma salaam Radio Free Africa, au?!ni mhehe na mpare,niko tanga kikazi kwa sasa,umri 30,lkn naishi moro
kwah! kwah! kwah! Hofu ya nini... wewe ndie my oxygen, pasipo nawe sina japo chembe ya uhai! Hao wanaokutia hofu ni carbon dioxide yangu... ni hewa ninayotakiwa kuitoa ili ikuze maua ya kwenye bustan ye2! Au kama vp, nibadilishe swaga basu, kuanzia sasa nikuite my beautiful neddy, hapo vipi?!
Unaona sasa... c nilikuambia kwamba ni hofu yako tu my princess!sema na ww uwe unamalizia kwa kusema "unajua pa kunipatia my...!"hahaha hapo sawa unajua pa kunipatia
Vipi Sweetheart... duh, majina mengine matamu kuya-mention wakati wa kuandika post, ngoja nirudie tena mara moja... vp Sweetheart, kipi kikuchekeshacho?!
Ahhha! Hofu yako tu bhana... c wewe ndo nilikuwa nakuita Sweetheart, we unadhani nilikuwa namuita nani? Mi wewe tu hapa, hao wengine wala!
mnh! hilo jina lako nusura livunje ndoa yangu na my beautiful princess, my oxygen, the one and only, the apple of my eye miss neddyHahah kumbe jina langu zuri au nrudishe lile la tumboo
mnh! hilo jina lako nusura livunje ndoa yangu na my beautiful princess, my oxygen, the one and only, the apple of my eye miss neddy