Njooni tufahamiane wana MMU

Njooni tufahamiane wana MMU

Nilidhani ni kitu serious kumbe tupo chitchat...
Au watu hawapeni kufunguka..!
 
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha!

Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.

Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.

Naanza mimi.

Occupation: Lawyer.

Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.

Kabila: Mjita.

Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).

Marital status: Single and Seriously Searching.

Haya karibuni wadau.

Asili: tanga line
Kabila:mzigua+mhindi
Umri:bado nadai
Marital status:mrs
 
Nifunguke vipi wakati mwenyewe hata Jina hajataja, Umri kaweka ()....
Afunguke vizuri na mie ntafunguka hadi jina kamili na ubini, picha..teeh!

Funguka bwana na mie nijue ubini wako
 
ha ha ha..kiongozi hapo wala hujafunguka..kufunguka maana yake watu wakufahamu...uluvyofunguka hata watu wako wa karibu hawajakufahamu..
Funguka bhana..!

Mkuu naona unanishawishi ila hilo ni jambo zito sana kwangu, aisee ni zito mnoo! Kama Prof Mhongo kukubali kujiuzulu....
 
Back
Top Bottom