Njoo uone huyu jamaa anavyomzodoa shetani hadharani

Njoo uone huyu jamaa anavyomzodoa shetani hadharani

Umedanganyika. Mapepo na majini yanafukuzwa kwa Jina la Yesu tu. Jina la Yesu liko juu ya jina la shetani na mapepo na wachawi. Ukiokoka na kulitumia Jina la Yesu, shetani hafurukuti. Shetani ni muongo. Nimeishakutajia andiko lile kwamba Ibilisi ndiye anayezungukazunguka akitafuta mtu wa kummeza. Ila kwakuwa hapendi ajulikane ndo anakuambia uongo huo kwamba yeye hafuati mtu. Mada hii ikusaidie kumfahamu shetani na uongo wake na jinsi ambavyo HANA nguvu mbele ya watoto wa Mungu.
Kwanzia leo nakutoa hofu, usiogope tena kwamba Shetani alikuja kwako au atakuja
Kwanza kuwa na amani huwa hana shida na sisi anaamini sisi ni wadogo sana huwa mara nyingi anatumia muda wake kuonana na Malaika kuzungumza mambo mengine sio sisi

Na vilevile nikuombe sana kufahamu kuwa mtaa unaoishi wamo Wachawi ambao ni jirani na mnaishi nao mtaani, watakusumbua kwasababu ya wivu
Watakuja kwako usiku na utaogopa sana na kutamka neno Shetani ukidhani ni yeye

Kumbe ni jirani zako na utawashinda kwa maombi

Lakini vilevile wamo Mizimu, hawa ni mababu na bibi zako wa kale wanapokuja kwako utadhani ni Shetani na utaogopa sana

Lakini kuna Majini, hawa nao watakuja kwako na utaogopa sana ukidhani ni Shetani na utawashinda kwa maombi

Hawa majini huwa wanatumwa kwako na wabaya wako ili wakudhuru

Lakini nikuondolee wasiwasi, Shetani hatakuja kwako kwasababu hana tatizo na wewe mambo yake ni mengine tu ya zamani lakini sisi hatukuhusika na vilevile hawezi kusumbua watu kwasababu cheo chake ni kikubwa sana hakimshawishi kufunga safari kwenda kwa mtu labda kwa Malaika ambao ndio daraja lake

Kwahiyo usiogope tena
Unayokumbana nayo jua kuna wachawi jirani zako wanakutisha au majini
Hawa wote wanatafuta sifa kwa kutumia jina la Shetani na watakudanganya wao ndio yeye na utaogopa sana na kutamka maneno yote ya kulaani lakini ukweli sio yeye wanakutisha tu

Ni sawa na mimi nikutese kwa kutumia mgongo wa raisi nikwambie mimi ndiye raisi kwa maana fupi nikutapeli kupitia jina la mkuu yeyote Setfree
 
Unajua kinachomtesa ni kushindwa kutofautisha kati ya Wachawi, Mizimu, Vibwengo na Majini
Watu wengi wanaamini Majini ndio Shetani mwenyewe
Lakini hawa wanatafuta ugali wao na vyeo vyao na wanapokutana na watu wanakiulizwa wao ni nani wanadanganya Shetani ili waogopwe
Lakini ukweli wanakuwa majini na wana Majina yao

Mizimu nayo ina tabia ya kudanganya watu kuwa ndio Shetani

Lakini kuna Wachawi pia ambao ni watu wa kawaida tunaoishi nao mitaani kila siku

Kwahiyo nawez kukabwa na jirani yangu mchawi nikadhani ni Shetani na nikamweza kwa maombi

Lakini Shetani yeye kwanza kabisa kwa Cheo chake hakimshawishi kutufuatilia anaamini sisi si kitu

Labda mitume ndio walifanikiwa kusogelewa nae
Kikubwa ni madaraja, hata mimi leo nikwambie raisi wa Tanzania alinifwata kwanza haingii akilini

Lakini raisi wa Tanzania kumtembelea wa Kenya ni jambo la kawaida kabisa Setfree
Upo vizuri mkuu
Huyu mtu hawezi kutofautisha.
Wanasema Kuna malaika kuzimu, swali la kujiuliza hao ni kina nani?
Achana na Lucifer
Achana na Watchers
 
Shetani na mama mkwe wake wamekalia misumari 😂
 
Upo vizuri mkuu
Huyu mtu hawezi kutofautisha.
Wanasema Kuna malaika kuzimu, swali la kujiuliza hao ni kina nani?
Achana na Lucifer
Achana na Watchers
Mpaka kuja kumfikia Shetani kuna utitiri wa wasaka tonge na hawa wote wanatafuta heshima kupitia jina la Shetani

Tukisema tuwahesabu hatutamaliza
Hawa wanaowaita Malaika wanamaanisha walioungana nae na kawaida Malaika ni wengi sana

Lengo lao la kutaka kuungana nae ili awape vyeo kwasababu wanafahamu ukubwa wake, wametajwa kwa wingi wao, lakini hawakuwataja kwa majina na kwasababu hawahangaiki na sisi imekuwa vigumu kufahamu hata majina yao

Wao kwa ujumla hawana tatizo na binadamu yeyote, yalikuwa ni mambo mengine ya baadhi ya mambo kutokuwa sawa

Hawajawahi kuhangaika kufwata watu wao wanaamini ukubwa wao si wakutesa watu

Hapa kwenye kutesa watu wakaingia Majini, Mizimu na Wachawi kwasababu wao wanahangaika na binadamu na wanaishi na sisi, badala ya kuhangaika na mambo yao wakawekeza kusumbua watu

Wanapokuja kwetu bahati mbaya hatujapewa elimu ya kuwatambua tunadhani ni Shetani mwenyewe
Iwe ni Mizimu, Wachawi, Majini sisi tutawaita Shetani

Lakini wataalamu wa Majini wao ni rahisi kufahamu aliyemtembelea ni Jini fulani kwasababu wana majina

Ni vigumu kumsikia Shehe akitamka alifwatwa na Shetani badala yake atasema alifwatwa na Jini kwasababu elimu anayo

Ni vigumu sana binadamu kufwatwa na Shetani
Badala ya yeye kutufwata ni sisi huwa ndio tunamtafuta Setfree
 
😀 😀 😀 Licha ya kukalia misumari, wamemeza nyembe, zinawakatakata matumbo
Punguza hofu, hakuna siku Shetani atakufwata, wanaokusumbua ni Majini na Wachawi
Shetani hafwati watu bali watu ndio wanamtafuta angalao wamjue
Shetani hana mpango mbaya na binadamu yeyote yule
Yalikuwa mambo mengine hayakuwa sawa lakini sio sisi Setfree
 
Hizo ni hadithi za hao waliokufundisha uongo wa shetani. Mimi siongozwi na hadithi. Naongozwa na Biblia. Acha niendelee kumzodoa shetani anayechinja watu halafu anadanganya eti ni majirani ndio wamefanya hivyo (Yohana 10:10)
 
Mpaka kuja kumfikia Shetani kuna utitiri wa wasaka tonge na hawa wote wanatafuta heshima kupitia jina la Shetani

Tukisema tuwahesabu hatutamaliza
Hawa wanaowaita Malaika wanamaanisha walioungana nae na kawaida Malaika ni wengi sana

Lengo lao la kutaka kuungana nae ili awape vyeo kwasababu wanafahamu ukubwa wake, wametajwa kwa wingi wao, lakini hawakuwataja kwa majina na kwasababu hawahangaiki na sisi imekuwa vigumu kufahamu hata majina yao

Wao kwa ujumla hawana tatizo na binadamu yeyote, yalikuwa ni mambo mengine ya baadhi ya mambo kutokuwa sawa

Hawajawahi kuhangaika kufwata watu wao wanaamini ukubwa wao si wakutesa watu

Hapa kwenye kutesa watu wakaingia Majini, Mizimu na Wachawi kwasababu wao wanahangaika na binadamu na wanaishi na sisi, badala ya kuhangaika na mambo yao wakawekeza kusumbua watu

Wanapokuja kwetu bahati mbaya hatujapewa elimu ya kuwatambua tunadhani ni Shetani mwenyewe
Iwe ni Mizimu, Wachawi, Majini sisi tutawaita Shetani

Lakini wataalamu wa Majini wao ni rahisi kufahamu aliyemtembelea ni Jini fulani kwasababu wana majina

Ni vigumu kumsikia Shehe akitamka alifwatwa na Shetani badala yake atasema alifwatwa na Jini kwasababu elimu anayo

Ni vigumu sana binadamu kufwatwa na Shetani
Badala ya yeye kutufwata ni sisi huwa ndio tunamtafuta Setfree
Mpaka hapa huyu Setfree hajui anapambana nani?
UPo vizuri, akija nami nitampigia za uso, aje aeleze vizuri
 
Punguza hofu, hakuna siku Shetani atakufwata, wanaokusumbua ni Majini na Wachawi
Shetani hafwati watu bali watu ndio wanamtafuta angalao wamjue
Shetani hana mpango mbaya na binadamu yeyote yule
Yalikuwa mambo mengine hayakuwa sawa lakini sio sisi Setfree
Huyo mbwa koko shetani hanisumbui, ndio nisumbuliwe na majini na wachawi? Wewe unanifahamu kweli au unanisikia tu. LEO NIMEMUUMBUA SHETANI...
NA BADO...MPAKA AKOME
 
Mpaka hapa huyu Setfree hajui anapambana nani?
UPo vizuri, akija nami nitampigia za uso, aje aeleze vizuri
Hapa ana mtihani sana kwanza lazima ajue kuwa ana majirani zake wachawi au katika biashara na kazi zake ana maadui na wanamwangia sasa anashindwa kutofautisha anaepambana nae
Kama sio wachawi basi anatumiwaga Majini inampa shida kujua anapambana na nani
Anachokifanya ana tamka Shetani akijua ni yeye lakini si kweli kuwa ni Shetani bali ni Mchawi au Jini au mizimu
 
Huyo mbwa koko shetani hanisumbui, ndio nisumbuliwe na majini na wachawi? Wewe unanifahamu kweli au unanisikia tu. LEO NIMEMUUMBUA SHETANI...
NA BADO...MPAKA AKOME
Acha hofu onana na Shehe yeyote akufundishe kutofautisha
Kuna Majini wanakuchezea akili we unafikiri ni Shetani mwenyewe
Shetani hana shida na wewe ukinambia nikutajie watu waliomkaribia sana sana nitakutajia mitume
Akufuate umemkosea nini na wala hajawahi kufanya ugomvi na binadamu
Wenye ugomvi na binadamu ni majini kwasababu wapo wengine waliozaa na binadamu kwahiyo muingiliano wetu na Majini ni mkubwa sana sio sawa na Shetsni Setfree
 
ukinambia nikutajie watu waliomkaribia sana sana nitakutajia mitume
Basi kwa taarifa yako mimi ni Mtume. Yesu amenituma niende kote ulimwenguni nihubiri Injili, ndio sababu shetani na maajenti wake wananifuata fuata. Lakini kila wakinikaribia, kwa Jina la Yesu nawapiga "knock out" chini, chali. Hawanibabaishi
 
Acha hofu onana na Shehe yeyote akufundishe kutofautisha
Kuna Majini wanakuchezea akili we unafikiri ni Shetani mwenyewe
Shetani hana shida na wewe ukinambia nikutajie watu waliomkaribia sana sana nitakutajia mitume
Akufuate umemkosea nini na wala hajawahi kufanya ugomvi na binadamu
Wenye ugomvi na binadamu ni majini kwasababu wapo wengine waliozaa na binadamu kwahiyo muingiliano wetu na Majini ni mkubwa sana sio sawa na Shetsni Setfree
We endelea tu kupotezwa na hizo hadeeth za uongo wa shetani. Kiumbe kilichoasi mbinguni leo unasema hakina shida na wewe. Hakina shida na wewe kama kimeishakuteka. Lakini mimi ni tishio kubwa kwake, maana nakinyang'anya watu kiliowateka. Kina shida na mimi kwa sababu nakiumbua kwa sauti kubwa na kuwafunulia watu uongo wa hicho kiumbe cha hovyo. Hivyo lazima kianze kutapatapata na kujaribu kuuficha ukweli. Lakini leo kimekalia misumari, in Mbaga Jr 's voice 😎
 
"We shetani, nakuambia bila kupepesa macho, na kila mtu asikie. Wewe ulikuwa malaika mbinguni; uliumbwa ukiwa mzuri na mwenye utukufu. Ukaanza kujiona bora zaidi ya Muumba wako. Ukadhani unaweza kukaa kwenye kiti cha Mungu. Ona kilichokupata. Ulitupwa chini kama takataka! Kiburi chako kilikuangusha, upumbavu wako ulikufanya kuwa wa hovyo.

Wewe ni wa ajabu sana. Una umri mkubwa, lakini huna hekima. Yote unayofanya ni marudio tu ya hila za zamani. Huna jipya!

Yesu alipokuja duniani, ulijiona umeshinda ulipompeleka msalabani, kumbe ulikuwa unajimaliza mwenyewe. Kwa kifo chake na kufufuka kwake, Yesu alikupiga "knock out" na kuzivunja kazi zako zote. Kuanzia siku ile, ikajulikana wazi kuwa wewe si chochote, si lolote.

Unajivuna eti wewe ni simba angurumaye. Lakini ukweli ni kwamba wewe ni simba mwenye meno ya karatasi! Unajua kuunguruma sana, lakini huna meno ya kung’ata. Umejaa kelele tupu. Unawatisha tu wasiomjua Mungu: walevi, wazinzi, waongo na wenye dhambi kama wewe. Lakini sisi tuliookoka tunakutazama na kukucheka.

Kila siku unazunguka huku na kule ukitafuta mtu wa kummeza. Kumbuka siku ile, uliwatuma majambazi wanimalize barabarani. Walikuja kwa njia moja, nikawapiga "fire" kwa Jina la Yesu, wakatawanyika kwa njia saba.

Ukatuma tena wachawi usiku, eti waniangamize. Kwa Jina la Yesu niliwapiga kipigo cha mbwa koko! Wakachoropoka mbio kama paka aliyefukuzwa jikoni kwa kutaka kuiba nyama.

Aibu yako shetani! Hata mtoto mdogo akitaja jina la Yesu, unatetemeka!

Na sasa nakukumbusha hatima yako, kila mtu asikie. Your days are numbered. Mwisho wako tayari umeandikwa: ni kutupwa katika ziwa la moto. Utakaa humo daima na kupata mateso yasiyoisha.

I dare to talk openly: sikuogopi shetani. Yesu alinipa mamlaka ya kuzikanyaga nguvu zako za giza. Kwa Jina la Yesu, nakupinga sasa, nakukemea, natangaza mbele ya kila mmoja kuwa umeshindwa. Wewe ni wa hovyo, nimekuaibisha leo. Nimekuzodoa!

Kwa jina la Yesu Kristo, toka hapa, ondoka!"
Shetani umepigwa pingu na Yesu kule kuzimu,na funguo za mamlaka umenyang'anywa. Huna lolote hata sisimizi ikiwaona unashtuka kwa hofu. Shetani wewe ni bure kabisa! Hunipati tena!
 
Hapa ana mtihani sana kwanza lazima ajue kuwa ana majirani zake wachawi au katika biashara na kazi zake ana maadui na wanamwangia sasa anashindwa kutofautisha anaepambana nae
Kama sio wachawi basi anatumiwaga Majini inampa shida kujua anapambana na nani
Anachokifanya ana tamka Shetani akijua ni yeye lakini si kweli kuwa ni Shetani bali ni Mchawi au Jini au mizimu
Huo ndio uongo wa shetani. Anawachinja watu halafu anawadanganya kwa kuwaambia: "jirani yako ndio mchawi" Matokeo yake watu badala ya kupambana na shetani wanapambana na majirani zao.
Shetani leo nimekuumbua; ukome kuwadanganya watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom