Setfree
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 5,759
- 7,573
- Thread starter
- #21
Wewe kumbe huijui historia ya shetani. Shetani alikuwa malaika mkuu mbinguni, wakati huo alikuwa akiitwa Lucifer. Huyo ndiye aliyeongoza uasi mbinguni kwa kushirikiana na theluthi moja ya malaika waliokuwa chini yake. Alivyotupwa chini hao malaika wadogo wakatupwa pamoja naye. Hao ndio wanaojulikana kama mapepo, na wengine wanawaita majini au vibwengo. Wote wanafanya uovu kwa pamoja na hukumu yao wote imeishatolewa.Iko hivi sio kwamba ni wasaidizi au labda anawatuma
Hawa mizimu na majini nao wana uroho wa madaraka wanafanya hivyo ili nao waheshimike
Na mara nhingi wanatumia jina lake kuwahadaa watu kwamba wao ndio Shetani lengo lao wapate heshima
Ni sawa na Wachungaji matapeli watakudanganya Mungu amewatuma kwako ila lengo lao wanataka uwaheshimu na uwape fedha zako
Kwahiyo hawa majini na mizimu watakudanganya wao ni Shetani kwasababu wanataka uwaogope Setfree
Acha kumsifia shetani. Ukiendelea kumsifia na kushirikiana naye utatupwa motoni pamoja naye.