Njoo uone huyu jamaa anavyomzodoa shetani hadharani

Njoo uone huyu jamaa anavyomzodoa shetani hadharani

Usishangae, mkuu. Huu ni wakati wa kumzodoa shetwani, kiumbe wa hovyo
Una uhakika gani kuwa wewe ni Mtakatifu
Kipi kinakupa uhakika wa kuwa Mtakatifu sawa na Mitume mpaka upate kiburi cha kuvunjia heshima mambo yaliyozidi uwezo wako???
Jifunze kuwa na woga wa mambo makubwa wakati mwingine inaweza kukugarimu kwasababu wewe sio mkamilifu

Setfree
 
Una uhakika gani kuwa wewe ni Mtakatifu
Kipi kinakupa uhakika wa kuwa Mtakatifu sawa na Mitume mpaka upate kiburi cha kuvunjia heshima mambo yaliyozidi uwezo wako binadamu???
Jifunze kuwa na woga wa mambo makubwa wakati mwingine inaweza kukugarimu kwasababu wewe sio mkamilifu

Setfree
Mungu anaona furaha kukaa na mimi kwakuwa mimi ni mtakatifu, halafu wewe unaniuliza nina uhakika gani kuwa mimi ni Mtakatifu?!
Zaburi 16:3
Ni bora sana hao watakatifu walioko nchini, kukaa nao ndiyo furaha yangu.
 
Shetani ameaibika, amezodolewa

View attachment 3460399
Lyrics
Verse 1

Yo devil, you fake, you plastic-teeth pretender
Thought you were tough but the cross was your surrender
You roar like a lion but you just a house cat
Jesus crushed your head, now where you at?
Chorus
Shetani ameaibika, amezodolewa

Jesus is the King, the Lion of Judah yuko juu forever
Shetani ameaibika, amezodolewa
Jesus is the King, the Lion of Judah yuko juu forever
Verse 2
You tried to tempt the Son but failed miserably
Cross left you broken, defeated completely
I got authority, power in His name
Devil you're finished, put to shame
Kumbe ukiimba umemzodoa
 
Mungu anaona furaha kukaa na mimi kwakuwa mimi ni mtakatifu, halafu wewe unaniuliza nina uhakika gani kuwa mimi ni Mtakatifu?!
Zaburi 16:3
Ni bora sana hao watakatifu walioko nchini, kukaa nao ndiyo furaha yangu.
Wala hauna changamoto kubwa za kuogopa kiasi hicho, wala hauna adui anayekutesa sana ni attention kubwa sana umeiweka ndani ya nafsi yako, uko salama usiogope sana
Majirani zako na watu wa kazini mwako wenye Roho mbaya ndio wanokutesa sio kwa kiasi hicho kikubwa kama unavyoogopa Setfree
 
🤣🤣Kwa nyimbo za siku hizi zinazoitwa gospel akisikia zinaimbwa naye anakuja kucheza kabisa
shetani hana muda wa kucheza. Anajua wakati uliobaki ni mchache, hivyo anazunguka zunguka akitafuta mtu wa kummeza (Ufu 12:12; 1 Pet 5:8)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom