Njoo ufanyiwe maombi... Bureee

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,510
28,416
Kwa wale wanaotaka maombi njoo... njooo..njooo ufanyiwe maombiiiiiii

maombi.jpg
 
Waigizaji Wa filamu Za kikwetu hawajui kuranda mavazi Na ushiriki wao,*utamkuta Mtu anaigiza Kama Ustaadhi lakini ukiangalia chini kavaa suruali ndefu ya heshima Na viatu aka mokasi , tena Za bei badala ya kuvaa suruali iliyokatwa Na kandambili Za waya..!!!
 
wakichoma kanisa unaloabudia Mungu wako, usilalamike, umeanza wewe uchokozi.
Shauri yako, nimekuonya kabla ya
 
Waigizaji Wa filamu Za kikwetu hawajui kuranda mavazi Na ushiriki wao,*utamkuta Mtu anaigiza Kama Ustaadhi lakini ukiangalia chini kavaa suruali ndefu ya heshima Na viatu aka mokasi , tena Za bei badala ya kuvaa suruali iliyokatwa Na kandambili Za waya..!!!

Unataka kusemaje hapo kwenye redi kuhusu suruali vipande zetu? unatuanza uchokozi? Kama wewe huoni za heshima zile zetu sisi tunaona, na ole wako tukujue! utajua kama maharage ni mboga au kiungo cha kande
 
Huyo hafanyi maombi bali mambo. Anawatapeli hao majuha waliomzunguka. Yeye mwenyewe anahitaji kuombea kama siyo kuomba. Utaombewaje kama maiti au kichanga? Acheni uvivu hata wa kujiombea.
 
Unataka kusemaje hapo kwenye redi kuhusu suruali vipande zetu? unatuanza uchokozi? Kama wewe huoni za heshima zile zetu sisi tunaona, na ole wako tukujue! utajua kama maharage ni mboga au kiungo cha kande

.
.
Ni katika kudumisha Usanii Tanzania ila Kama imekugusa tusameheane..
 
Mi sioni cha ajabu hapo,kwani hata yesu alisema fuateni maneno yangu na si matendo yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom