Kama mwanamke upo hivi njoo uringe

tecknologia23

JF-Expert Member
Jan 16, 2023
259
375
Njoo ujishaue kama upo hivi,

~ Mwanamke usiyeomba hela.

~ Njoo mwanamke unayependa na kula utakavyo kwa pesa yako bila kuhongwa wala kubegi mtu.

~ Njoo kama ni mwanamke anayefanya juhudi kuonekana unaweza kujifanyia shopping, kulipa chochote bila a guy.

~ Njoo jishaue kama humtegemei mtu kwa juhudi uliyopo, njoo uringe hapa jukwaani njoo.

~ Njooo kama unaendesha ndinga kali wala hujaongwa, wala hujasaka hela kwa a guy, ni juhudi yako wewe, njoo uje uongee hapa.
 
Mara nyingi huwa wanakimbiwa mana huwa wanajiona na confidence fulani hivi kwa kila kitu, Ila hata haipendezi kuhudumiwa rahaaa bana japo sio ndo izidi kihivooooo
 
Kama hawawezi kujigharamia mbona tunapigana nao vikumbo kwenye fursa mbalimbali zikiwemo ajira huku wakitokwa povu kutaka usawa wa 50/50.....kama vipi warudi kukaa nyumbani na kulea watoto badala ya kukomalia fursa na hawataki kuchangia chochote.​
 
Suala la mwanaume libaki jinsi lilivyo Mungu alivyoliumba, pia upande wa mwanamke, mana kila mmoja ana upande wake ambao mwingine hauna, hata taasisi zipitishe sheria 100000000 halitakuja kuwa na usawa, sana sana ni kuonyeshana ubabe tu
 
Wapo wa design hiyo ila ni wasagaji ma tomboy na hawapendi wanaume, wanataka mademu wenzao.

Na kama wakichukua mwanaume basi akubali kukokomekwa dildo ya kalio.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom