Njoo ufanyiwe maombi... Bureee

mbona ni kawaida tu,kuna kanisa niliwai kusali marekan pastors amevaa cheni kubwa,ametelemsha suruali,amevaa heren na kofia na alikuwa anaubiri vizuri sana,na kuombea watu,tena ni kanisa kubwa sana
 
Attachments

  • Ufanyiwe maombezi.jpg
    Ufanyiwe maombezi.jpg
    16.6 KB · Views: 50
Kwa wale wanaotaka maombi njoo... njooo..njooo ufanyiwe maombiiiiiii

View attachment 69596

Kama sikosei hawa wapo segerea mwisho opposite na makaburi, kuna siku maalumu ya maombi ila be careful!!!!
Ni bahati mbaya sana kuwa simu yangu haina uwezo wa kuchukuwa picha ningeweka ulinganishe, mwana jf wa maeneo hayo siku za alhamisi au ijumaa aweke kambi pale kuna nyomi ya kinamama ile mbaya!!!!!
 
Waigizaji Wa filamu Za kikwetu hawajui kuranda mavazi Na ushiriki wao,*utamkuta Mtu anaigiza Kama Ustaadhi lakini ukiangalia chini kavaa suruali ndefu ya heshima Na viatu aka mokasi , tena Za bei badala ya kuvaa suruali iliyokatwa Na kandambili Za waya..!!!

so ndio unataka kusema mashehe hawajui kuvaa hvyo.
 
Waigizaji Wa filamu Za kikwetu hawajui kuranda mavazi Na ushiriki wao,*utamkuta Mtu anaigiza Kama Ustaadhi lakini ukiangalia chini kavaa suruali ndefu ya heshima Na viatu aka mokasi , tena Za bei badala ya kuvaa suruali iliyokatwa Na kandambili Za waya..!!!

Mkuu bajeti ya vipeperushi vya maandamano ijumaa hii haipo, tafadhali tunaomba utuheshimu
 
attachment.php

Kweli tumefika Mbali, hiyo kofia ya Mwombeaji, mimi hoi. Mimi nitajiombea mwenyewe, nafikri Mungu anasikia kila mtu.

Watakabahu
Enyi mafarisayo na masadukayo wanafiki ..mbona mnapenda kuhukumu..Bwana anaangalia mioyo na wanadamu wanaangalia sura....Unaweza kuta huyo ndo mtakatifu kuliko yule aliyevaa suti...
 
Enyi mafarisayo na masadukayo wanafiki ..mbona mnapenda kuhukumu..Bwana anaangalia mioyo na wanadamu wanaangalia sura....Unaweza kuta huyo ndo mtakatifu kuliko yule aliyevaa suti...

duh kama watakatifu ndio wako hivi bora niende kwa shekhe yahya aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom