Asante mkuuKaribu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680 kesho kuanzia SAA moja ntakua shamba kugawa mashamba kwa waliolipia anaetaka kuja kulipia karibu sana
Mkuu kama upo tayari tuwasiliane kupitia 0714306015 ui n PM! Ni kijana mwaminifu Nipe kazi hiyo nikakusimamie, nina uwezo kufanya kazi za kilimo ila suala ni mtaji tu!Nani atahusika na usimamizi kama aliyekodi hawez pata mda wa kusimamia??tufahamisheni vizuri wakuu
Thanks in advance with a vivid pictures.Wapo waliokuja shamba usikurupuke kuongea hata wewe karibu sisi hatuna maneno mengi vingi vitendo njoo ujionee hakuna stori hapa kazi tu wacha maneno mengi
Nafrahi kuona kijana mwenzangu unavyoonyesha ushupavu wa kuona fursa na kuinyaka Big upMkuu kama upo tayari tuwasiliane kupitia 0714306015 ui n PM! Ni kijana mwaminifu Nipe kazi hiyo nikakusimamie, nina uwezo kufanya kazi za kilimo ila suala ni mtaji tu!
Good work mkuu! Naomba unijulishe spacing ya mashimo,ukubwa wa shimo,idadi ya miche kwa shimo na formula ya mbolea pls!Jamani wale tuliokubaliana kuja shamba vikindu kesho kuanzia SAA moja asbh ntakua shamba anaetaka kuja kulipia anakaribishwa kuja mikataba itajuwepo
Mbona napiga number yako sikupatiKaribu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680 kesho kuanzia SAA moja ntakua shamba kugawa mashamba kwa waliolipia anaetaka kuja kulipia karibu sana
Naomba niulize.Tatizo kubwa mleta maada badala ya kuanza taja gharama zako unazotaka ulipwe, wewe umeanza kutaja faida anayoweza kuipata mtu...mimi umenitisha maana naona unaanza ipigia mahesabu faida ambayo hata sijaipata bado!!!
Unakodisha shamba Moshi sehemu gani bosiDuh ki ukweli wakenya akili yao iko sharp sana, I love this guyz, ni wajinga wachache sana wasingependa kushiriki na hawa jamaa, they are very smart and ambitious, watz tutabaki na wivu tuu daima huku we zetu wakipiga hatua nyingi sana, hawa jamaa nimewakodishia shamba kule moshi, wanapiga kazi kama vifaru aisee, ni mfano wa kuigwa.
Sh. 1. 5m nikiwa nayo sitadaiwa chochote tena?Kulima mpaka unavuna unatakiwa kuwa na mil 1.5 kwa heka shamba kukodi ni sh 80,000 tu.maji yapo ya bure
Hawana element za u koffi olomide??[emoji87] [emoji87] [emoji87]Mkuu mimi ni mtanzania. Huku Kenya nimekuja kuangalia mazingira ya kibiashara tu
Alafu mkuu huku kenya nimepokelewa vizuri sana na wenyeji. Sasa ukiniambia hivyo nahuzunika sana
Tatzo la kuzaliwa na kukulia buguruni kimboka,unakuwa unacopy element zile zile za dada zako pale buguruni shelii-koffi olomide weemi natamani wakenya wawe watu wa kwanza kukatazwa kuingia nchini mwetu
Ndg nimekupm no yangu tuwasilianeMkuu laurentie hongera kwa kuwahamasisha raia kuhusu kuzikamatia fulsa zilizopo shamba!
Mimi ni mkulima mzoefu wa mazao karibu yote ya bustani.
Nimesoma na kujionea picha zako ulizo bandika hapa;
Zipo kasoro nyingi sana nimeziona kwenye hili bandiko. Ningependa kuweka masahihisho ya jumla iwe kama tahadhari kwa wale waliovutiwa na huu uzi hatmae kuja kufanya kazi.
1) Ipo kasoro kwenye upandaji wa hizo tikiti. Umepanda kienyeji sana. Upandaji wako utaathiri huo mmea kipindi cha umwagiliaji maji hasa kwa hiyo hybrid(zebra)
2) kuna mapungufu katika uainishaji wa gharama za uendeshaji. Kwanini huwi realistic kuchambua hatua kwa hatua mpaka mavuno.
Nk nk nk
Nikipata muda, ntatoa mchanganuo wa upandaji, cost na kipato halisi kwa ekari moja ya tikiti ili kuwarahisishia watakaovutika kuingia kwenye sekta hii na hatmae wajue mbivu na mbichi kuhusu kilimo.
Mimi nakusahihisha kwenye paragraph ya kwanza.Mkuu laurentie hongera kwa kuwahamasisha raia kuhusu kuzikamatia fulsa zilizopo shamba!
Mimi ni mkulima mzoefu wa mazao karibu yote ya bustani.
Nimesoma na kujionea picha zako ulizo bandika hapa;
Zipo kasoro nyingi sana nimeziona kwenye hili bandiko. Ningependa kuweka masahihisho ya jumla iwe kama tahadhari kwa wale waliovutiwa na huu uzi hatmae kuja kufanya kazi.
1) Ipo kasoro kwenye upandaji wa hizo tikiti. Umepanda kienyeji sana. Upandaji wako utaathiri huo mmea kipindi cha umwagiliaji maji hasa kwa hiyo hybrid(zebra)
2) kuna mapungufu katika uainishaji wa gharama za uendeshaji. Kwanini huwi realistic kuchambua hatua kwa hatua mpaka mavuno.
Nk nk nk
Nikipata muda, ntatoa mchanganuo wa upandaji, cost na kipato halisi kwa ekari moja ya tikiti ili kuwarahisishia watakaovutika kuingia kwenye sekta hii na hatmae wajue mbivu na mbichi kuhusu kilimo.
Hutakiwi kuwakodishia ardhi raia wa kigeni, unatakiwa kushtakiwa kabisa.Jamani wale tuliokubaliana kuja shamba vikindu kesho kuanzia SAA moja asbh ntakua shamba anaetaka kuja kulipia anakaribishwa kuja mikataba itajuwepo