Njoo tulime tikiti ujikomboe

Jamani wale tuliokubaliana kuja shamba vikindu kesho kuanzia SAA moja asbh ntakua shamba anaetaka kuja kulipia anakaribishwa kuja mikataba itajuwepo
 
"Tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu..."

Mambo siyo rahisi kama tunavyoamishana hivyo.
 
Hayo maji utakayochimba yanatosheleza mahitaji ya heka moja mpaka unapovuna?
 
Lakini mkuu matikiti hukomaa kwa siku 60?
Maana kuna habari nimesoma inayosema kwamba matikiti yanayokomaa mapema huchukua siku 90
 
Hivi mnalimaje kwenye keyboard, unamwambia MTU heka moja unatengeneza mil 5, je vipi kuhusu garama, kulima matikiti ni garama, tuwe wahalisia usikubali kuaminishwa kwenye mitandao, nenda kwa wazoefu pale pale shambani ili ujue changamoto kabla hujakurupuka. Msifanywe misukule!!
 
Na ili tikiti likomae ni siku 75 mpaka 90 maximum. Sio siku 60, litakuwa tikiti lakini halitakuwa na sukuri.
 
Wapo waliokuja shamba usikurupuke kuongea hata wewe karibu sisi hatuna maneno mengi vingi vitendo njoo ujionee hakuna stori hapa kazi tu wacha maneno mengi
 
Na ili tikiti likomae ni siku 75 mpaka 90 maximum. Sio siku 60, litakuwa tikiti lakini halitakuwa na sukuri.
Sukari ya tikiti inategemea na mbegu kaka uliza sio unaongea tu ,sisi tunatumia f1 sugar queen hybrids, mbegu zipo nyingi kuna f1 sukari
 
Na ili tikiti likomae ni siku 75 mpaka 90 maximum. Sio siku 60, litakuwa tikiti lakini halitakuwa na sukuri.
Ushauri wa bure nenda dukani kaulizie hizo mbegu utaona specification zake..endekea kubisha watu wanawekeza na wanapata pesa
 
Nimevutiwa na huu uzi, ngoja nijipange. Mwaka ujao nitakutafuta mtoa mada. Shukrani sana mkuu.
 
sasa kila mtu akilima tikiti nani atanunua la mwenzake....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…