"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

Hahahahaahaha..JF noma sanaaa....jamaa yaonekana baunsa had kakubebelea vzur tu..

Jitahidi kumkwepa,au na we kata RB,si inawezekana

hahah hana ubaunsa wowote yule,ni vile tu kanikuta niko kimbaumbau(hata kilo za mfuko wa cement sina) ndo maana akaweza ninyanyyua.
 
kuwa na negative mindset ni mbaya sana.mkuu mimi huwa gheto za marafiki zangu wa kiume ikibidi naenda na sijawahi kukutana na shida yeyote coz tunaheshimiana.

Sasa ndio ujue marafiki wengine mafisi usipendelee ukitwa tu na wew unajipeleka, nadhani umejifunza hilo
 
sasa hapa tutaaminije kuwa hakuwa mpenzi wako ili hali na wewe ulikubali kwenda geto kwake?kama na wewe unajitambua vizuri toka lini mambo ya biashara halali(hiyo uliyoisema) yakajadiliwa geto tena kwa msela?lini paka akaishi kwa msela??hapa inaonyesha tu jinsi gani wewe siyo mtu makini katika kufikiri nakuamua,ilitosha kukutaka uwanja huru kwa majadiliano yenu vinginevyo huko geto ulienda kwa mambo hayo sema hapa unaficha baadhi ya vipande vya picha.
ndo walewale.akisikia Ghetto basi anahisi ni mahali pa kungonoka.lini tutaacha kuwaza ngono???.hapa lazima tudeal na mindset za watu maana zikilala zikiamka zinawaza ngono tu.yaani wewe hapa unalalamika mimi kwenda gheto ila ile business ambayo tuliipanga haikuumi.
 
Umpe ajilie,nyie kunywa soda na kuhepa tu

uliangalia t,.v bure
kipupwe bure
kubebwa bure

akaa,umpe tunda naye
 
Habari za weekend wana MMU.
mwenzenu Leo yamenikuta makubwa.

Nina rafiki yangu wa kiume ni just a normal friend,basi tangu jana akawa ananisisitiza sana tuonane kwa ajili ya business issues, na akaomba niende kwake(Ghetto) ili tukajadiliane kuhusu business tunayotaka kuianzisha kama Partnership business.

Basi kwa vile niliona ni idea nzuri sana na tukifanikiwa tutatoka kimaisha, nikaona ni vyema niende tukajadili.
Basi Leo kufika pale Ghetto kukaa kidogo tu(hata soda aliyoninunulia sijamaliza kuinywa) heee!...jamaa akaanza kunishika kimahaba.

Business issues ikageuka kuwa Sex issues. Si akaanza oh unajua tangu siku nyingi nakupenda sana na nashukuru sana Leo umekuja kwangu... Nikamwambia wewe ni rafiki yangu wa siku nyingi na hatujawahi kukubaliana chochote kuhusu mapenzi, sasa inakuwa Leo unajiamulia mwenyewe?.

Jamaa akawa hanielewi anazidi tu kunishika kimahaba mara akanibeba juujuu nlipokuwa nimekaa kwenye sofa akawa ananipeleka chumbani kwake.Ghetto lake ukitoka sebuleni unakuja jikoni then ndo chumbani, Asante Mungu pale jikoni nlifanikiwa kushika mwiko wa ugali nikampiga nao akaniachia,nikamrudishia tena kwenye paji la uso(safari hii hadi mwiko ulivunjika) .nikafanikiwa kukimbia nje nikasepa zangu.

Sasa now kaniwhatsapp kwamba ameshonwa nyuzi nne usoni na amenichukulia RB ya kunikamata na anajidai kisa ana ndugu yake ana cheo kikubwa tu mahakamani so anasema atanikomesha Na kama la basi lazima nipate kichapo toka kwake.

Hv jamani wanaMMU hapa nani anayestahili kumkamata mwenzake?.na akinikamata nikasema alikuwa ananibaka si nitakuwa sahihi?. Ushauri wako tafadhali,Nisolve vipi hii issue.ASaNTE.

Nahisi kama kuna kitu unakificha hapa.
 
Hana lolote huyo si RB wala kukupiga,anakutisha tu utetereke ukamuombe radhi amalize shughuli.
Angekuwa na RB ungeshakamatwa maana anajua pa kukupata na kama ni wa kukupiga angekupiga hapo ulipomtia makonzi ya mwiko!
Relax. Ila hili liwe funzo kwako,mwanaume si wa kumuamini hata kama ni nduguyo!!!![/QUOTE]

Hapo penye red nadhani dada umeteleza,waombe radhi kaka zako.
 
Business isue kwa watu wa jinsia tofauti zinaongelewa ghetto?
Wewe una element za umalaya ndio maana ukaruhusu huo ujinga. Na mbaya zaidi mna vaa ovyo sana,ivi yawezekana ulienda umezianika tupu zao naye alipoziona akajua umempelekea na mpaka unanyanyuliwa uko kimya it means ulikuwa una respond.
Tafuta mme uolewe acha kujijengea mianya ya umalaya.
Eti rafiki!!! Mwanaume na mwanamke wanakuwa marafiki?
Wameshindwa mapadre na masister waliojazwa imani na matokeo yake wanabanjuana sembuse nyie.

hizi akili za kuwaza ngono kila saa ni shida sana.kwenda gheto na umalaya kuna connection gani mkuu???.so tusifanye vitu vya maendeleo kisa tunahofia kwenda Ghetto.Jaribu kuchange your mindset.
 
Hapo hakuna kesi.mbona lulu alienda kwa kanumba akambamiza na sasa yuko nje
so,relax.
 
ndo walewale.akisikia Ghetto basi anahisi ni mahali pa kungonoka.lini tutaacha kuwaza ngono???.hapa lazima tudeal na mindset za watu maana zikilala zikiamka zinawaza ngono tu.yaani wewe hapa unalalamika mimi kwenda gheto ila ile business ambayo tuliipanga haikuumi.
...wewe kama ungewaza sawasawa hayo uliyotoa hapa yasingekukuta,kama wewe ulikubali kwenda kufanya hiyo biashara huko geto tena kwa huyo jamaa tutaamini vipi kuwa siyo biashara hiyo,sema mkashindwana makubaliano??wakati mwingine fikiria jambo kabla hujakurupuka,wewe umemfuata kwake tena ambapo anaishi na siyo ofisini kwake,kama alikuwa hana ofisi ulikosa mahali palipotulia penye usalama wako mkafanya biashara hiyo hadi wewe kuona mkajifungie ndani kwake ndo salama zaidi..acha kukurupuka dada fikiri kabla yakutenda,usalama wako ni muhimu kuliko pesa..
 
kwa mwanaume tena anaeish getho peke yake unaenda mdada tena peke yako...! Kubakwa is very simple pole but chukua fundisho!
 
Back
Top Bottom