"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

Hapa ndio umekosea katika utungaji wa stori hii bi-dada, hakuna ramani ya hivi inayomruhusu mtu aliye bebwa juu juu kwenda chumbani akashika mwiko kwenye chumba cha jiko! This is a cooked story dear! na hapa ndio penye makosa kwenye utunzi.

mkuu tatizo,unachukulia ramani ya hii gheto kama ramani ya ghetto lako.acha kufanya imagination ya hii issue kwa kutumia r,amani ya ghetto lako.
 
Griveous body harm case- defence self defence from rape attempt
 
isije ikawa anajua ulimshirikisha katika "Swali langu; ni Je ataacha kweli hii tabia? Au ni danganya toto tu? Au nifanye tu usawa wa kuengage kwenye relationship nyingine " Bofya

kiukweli sikumshirikisha hili
 
hapo hakuna cha urafiki tena, yaani cute kamng'ota msela kama anaua nyoka, halafu warudie urafiki tena? Labda kama jamaa ni chizi! Kwani angempa hiyo papuchi jamaa angeing'oa? Mi nadhani hakuwa na upendo wa kweli kwa rafiki yake!!

kwani Upendo maana yake nini?
 
ha ha ha ha ha pole kwa yaliyokukuta sisi wanaume tunaimani kuwa ng'ombe akishafika vingunguti ni lazima achinjwe na jamaa naona alikuwa anataka kutekeleza sheria ya ghetto..siku nyingine ghetto si sehemu ya kwenda kuongelea mambo ya bussiness.ukikubali mwaliko wa ghetto jua umekubali yote yatakayojili..ghetto ni sehemu ya vitendo full stop

asante sana kwa ushauri mzuri.Next time sintarudia.
 
kukubaliana ni muhimu pia.baba na mama yangu walikubaliana

hata mm ndio maana namlaumu jamaa kwa kutumia nguvu. Mm naamin kabisa angekufuata kwa upole na kwa ustaarabu huku akionesha hisia za kweli naamin ungemkubalia na kumwachia agegede mpaka achoke mwenyewe... Sometme wanawake wanakuwa waelewa sana hasa ukitumia ustaarabu hata ww ungemuonea huruma tu
 
Kwanini usikatae kwenda kwani business zinajadiliwa gheto? ungemwambia mtafute sehemu ya wazi mkutane mjadili hayo uliyataka mwenyewe,kwani hujui mnapokuwa na urafiki wa kwaida msikae peke yenu wawili sehemu iliyojificha kwani kuna nguvu kubwa ya ushawishi kati ya mwanaume na mwanamke,ndo ujifunze siku nyingine ila jamaa anakutishia tu hana lolote

unajua i trusted him coz huwa tunaheshimiana sana,tukipata dili la business tunafanya pamoja.bt all in all nimejifunza sintarudia tena kwenda Ghetto la mtu
 
Business isue kwa watu wa jinsia tofauti zinaongelewa ghetto?
Wewe una element za umalaya ndio maana ukaruhusu huo ujinga. Na mbaya zaidi mna vaa ovyo sana,ivi yawezekana ulienda umezianika tupu zao naye alipoziona akajua umempelekea na mpaka unanyanyuliwa uko kimya it means ulikuwa una respond.
Tafuta mme uolewe acha kujijengea mianya ya umalaya.
Eti rafiki!!! Mwanaume na mwanamke wanakuwa marafiki?
Wameshindwa mapadre na masister waliojazwa imani na matokeo yake wanabanjuana sembuse nyie.
 
Hamna cha rb wala r&b

Ila jua kuwa mtoto wa kike haendi ghetto la mwanaume hata siku moja

Bar zimeisha? Kwa nini msikutane bar mkapanga biashara zenu

Siku nyingine think, kama ni lazima saaana kwenda nyumbani/ghetto kwake unabeba mashosti zako wawili kwa usalama wako

kiukweli hii sio my first tym kwenda gheto la marafiki zangu wengine wa kiume,huwa ikibidi naenda tena kwa kujiamini,na huwa nikiende siwazi negativity kwamba maybe jamaa anaweza fanya hivi hapana.bt nimejifunza kwenda ghetto ni mwiko sasa kwangu
 
duh, nilidhani ulimpiga na khanga. ila umetumia mwiko naona kaipata fresh
 
unajua i trusted him coz huwa tunaheshimiana sana,tukipata dili la business tunafanya pamoja.bt all in all nimejifunza sintarudia tena kwenda Ghetto la mtu

sipati picha jamaa alivyokula mwiko nahsi kambikatoto wake alinywea kabisa hata ham ikapotelea hapo hapo...... Ila na ww ni kiboko aisee
 
Wanawake sjui huwa munawaza nini, yani mtu anakuambia njoo gheto na wew huyo unaota mbawa unaenda, sasa kama una mume, boyfriend au hata kaka umshirikishe ili uweze kukabiliana nae vizuri

kuwa na negative mindset ni mbaya sana.mkuu mimi huwa gheto za marafiki zangu wa kiume ikibidi naenda na sijawahi kukutana na shida yeyote coz tunaheshimiana.
 
Business isue kwa watu wa jinsia tofauti zinaongelewa ghetto?
Wewe una element za umalaya ndio maana ukaruhusu huo ujinga. Na mbaya zaidi mna vaa ovyo sana,ivi yawezekana ulienda umezianika tupu zao naye alipoziona akajua umempelekea na mpaka unanyanyuliwa uko kimya it means ulikuwa una respond.
Tafuta mme uolewe acha kujijengea mianya ya umalaya.
Eti rafiki!!! Mwanaume na mwanamke wanakuwa marafiki?
Wameshindwa mapadre na masister waliojazwa imani na matokeo yake wanabanjuana sembuse nyie.

hahahaaaaa! Aiseee
 
..
..Acha zako ww...HATA SEX NI BUSINESS.....how could u ever agree & intentionally went to a bachelor's ghetto...? hiyo ndio business yenyewe sasa... UKO SO
CHEAP MWANAMKE WW....maharage ya mbeya it seems.... unaitwa ghetto na bachelor na milonjo yako uko juu juu unaenda...na ungechezea KITOmb* bahati yako....ndio ukome umalaya wako...!!!

hahahahaa mapovu mengiiii,kuwa na negative mindset ni mbaya sana,kwamba tumekariri oh mwanamke akienda Ghetto basi anataka mgegedo au sijui ni malaya, hii inaonyehsa ni jinsi gani unakuwa na ufinyu wa akili.Am not that much cheap unavyonifikiria mkuu.kujiamini ni jambo Muhimu sana.na nimeprove kwake kwamba am not cheap as he think kwa kumtia ngeu ya nyuzi nne,
 
Hakuna mwenye ushahidi dhidi ya mwenzake. Wew huna ushahidi kuwa alitaka kukubaka na yeye hana hawezi kuthibitisha kuwa ulimpiga. Endeleeni kusubiriana.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk

nimekuelewa mkuu
 
Ningekuwa Mimi ni huyo JAMAA, kwa hakika ninge kuhenyesha kwa pilato, na uhakika HUCHOMOKI kabisa..

Angalia ushahid wa mazingira unavyo kubana:

> Unakubali kuwa nyie ni marafiki wa muda mrefu hata mkafikia hatua ya kupanga dili ya business, bila shaka hapa inaonesha tayari mlishakuwa na mazingira ya kuaminiana kati yenu, na hii inaonesha kuwa umeshawah kwenda kwake/gheto zaidi ya mara moja.. na hakuonesha dalili za kukubaka, vp leo iwe hadithi nyingine? hapo USHAPOTEA..!!

>Pia, meseji mlizo wasiliana znaonyesha wazi kuwa mlikuwa na miadi ya kibiashara tena nyumbani kwake, naww bila kufikiria ukajiinua hadi kwake.. HAPO JAMAA Ana Nafasi mbili za kukupoteza:
a). anaweza kusema ulifika kwake na ukamjeruhi ili ufanikiwe kufanya uhalifu, mfano kumuibia.. kumbuka mwenzako ana jeraha kama ushahid, wakat ww hukuacha hata kiatu kwake.

b). lkn pia, anaweza kujitetea kuwa ulimshawishi kwa ishara au kwa maneno, ndio maana akafikia uamuz wa kubeba hadi chumbani, maana mlikuwa wawili..

MAZINGIRA YANAKUBANA..

niko tayari kwa lolote.cha ajabu hadi now sijaona nikija kukamatwa na niko tu home.
 
nawachukia watu wa hivi wanazani kila mtu ni rahisi rahisi tu,kwanza hana adabu hata kama ingekua ni suala la kukuaproach tu asingefikia hatua ya kutaka kukupeleka chumbani,huyo ni mbakaji tu!

sure wanakera sana.Tatizo ni kukariri kwamba oh ukienda ghetto kwa mwanaume basi na sex pia,kumbe huu ni ufinyu wa akili tu.
 
Dada fumba macho vuta hisia zako zote jiulize ikiwa huyo jamaa ndo mchumba uliepewa na mungu, msamehe then nenda mukaongelee Hilo swala kwa umakini. ikiwa anania ya dhati na wewe mwambie mukapime vvu mukiwa salama muoane tu wanaume washida kuwapata dadayangu kama yeye kajileta changamkia tenda hiyo ndo mchumba wako huyo. acha bifu haina maana fikiria maisha yako

Mchumba toka kwa Mungu??? Ndo atake kunibaka?.hee!
 
Back
Top Bottom