"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

"Njoo Ghetto"... Imezua balaa

Hahaha mgumu wewe?? Huyo jamaa duh sijui ndio domo zege hahaha

hahah! Ujue nimetoka pale nikawaza hivi nasubiria nini hadi now sijaenda kusomea UJohn Cena???.hahah bt mi nimeona Ni muujiza tu wa Mungu kunitoa pale.
 
Hilo lijamaa noma yani linataka likurare hata bila kukubaliana?pole litakuwa limezidiwa unyeti halafu sasa halina sound
 
niko na mesages zake whatsapp alizonitumia kusisitiza lengo la kukutana kwetu kwamba ni for business issues and not otherwise. kama tutafikishana mahakamani hope hizi mesage zake zitanisaidia

sawa sawa. Mm naamin alichukua RB kwa hasira lakin hawez kufanya lolote. Na hata hvyo hawez kwenda mahakaman moja kwa moja lazma uitwe polis kwanza
 
Hana lolote huyo si RB wala kukupiga,anakutisha tu utetereke ukamuombe radhi amalize shughuli.
Angekuwa na RB ungeshakamatwa maana anajua pa kukupata na kama ni wa kukupiga angekupiga hapo ulipomtia makonzi ya mwiko!
Relax. Ila hili liwe funzo kwako,mwanaume si wa kumuamini hata kama ni nduguyo!!!!

Khaa! Hata mimi best! lol!
 
nenda tena ghetto mkaongee kuhusu hiyo Rice Beans! (RB)

sawa mtoto mzuri Qute cherry? afu badae unitafute nikwambie kitu kizuuuuri! sawa eenh?
 
hahah! Ujue nimetoka pale nikawaza hivi nasubiria nini hadi now sijaenda kusomea UJohn Cena???.hahah bt mi nimeona Ni muujiza tu wa Mungu kunitoa pale.

lakin mm namlaumu kwa ujinga wake wa kutumia nguvu.... Nina iman angekuja kiupolee kabisa na ustaarabu kukueleza deep feeling hata msingefika huko lazma ungempa tu kwa huruma yako.... Tena angekula kilaiin kwa raha zote teh teh
 
Dada fumba macho vuta hisia zako zote jiulize ikiwa huyo jamaa ndo mchumba uliepewa na mungu, msamehe then nenda mukaongelee Hilo swala kwa umakini. ikiwa anania ya dhati na wewe mwambie mukapime vvu mukiwa salama muoane tu wanaume washida kuwapata dadayangu kama yeye kajileta changamkia tenda hiyo ndo mchumba wako huyo. acha bifu haina maana fikiria maisha yako
 
Njoo ujifiche huku kwangu. mi sitakubaka, hata nikikubaka siingizi, nahata nikiingiza haiishiimo, nahata ikiishiamo sikatiki kiuno, nahata nikikatika simwagi, nahata nikimwaga simalizi, nahata nikimaliza nachomoa
 
Hana lolote huyo si RB wala kukupiga,anakutisha tu utetereke ukamuombe radhi amalize shughuli.
Angekuwa na RB ungeshakamatwa maana anajua pa kukupata na kama ni wa kukupiga angekupiga hapo ulipomtia makonzi ya mwiko!
Relax. Ila hili liwe funzo kwako,mwanaume si wa kumuamini hata kama ni nduguyo!!!!
Afadhali umenena wewe. Kila wakati nasemaga na nazidi kusema hakuna urafiki kati ya Dume na Jike. Ukiona mtu anatafuta udada wa hiari, jua ni masuala ya kugusanisha tu. Ndiyo sababu mpaka leo sitaki urafiki na Ke yeyote ili asiniharibie rekodi yangu ya kutogusa
 
Habari za weekend wana MMU.
mwenzenu Leo yamenikuta makubwa.

Nina rafiki yangu wa kiume ni just a normal friend,.......
isije ikawa anajua ulimshirikisha katika "Swali langu; ni Je ataacha kweli hii tabia? Au ni danganya toto tu? Au nifanye tu usawa wa kuengage kwenye relationship nyingine " Bofya
 
exactly mkuu,maana kiukweli huwa tuko close,tunasaidiana na kushauriana pia,so nahisi jamaa alijua akibonyeza tu kitu kinatiki,kumbe mwenzake siko huko.

Daaah kwahiyo urafiki wenu ndo umefikia tamati kwa staili hiyo? Nadhani bado mna nafasi tena pana tu ili kusuluhisha hili jambo. Nafasi yake kwako ni yeye pekee awezae kuiziba na hata yeye pia nafasi yako kwake ni wewe tu wa kuiziba. Zungumzeni wekeni mipaka ya mahusiano yenu muendelee kujenga mustakabali wenu.
 
Hahaha mgumu wewe?? Huyo jamaa duh sijui ndio domo zege hahaha

Inawezekana hana uwezo wa kushawishi! watu wanakulaga siku hiyo hiyo umemuona mrembo unamuelekezwa na ana tii!
 
we dada,wakati baba yako anamfuata mama yako,mama yako angempiga baba yako mwiko wa usoni unajua usingezaliwa?!!!!!lol
 
Ghetto lake ukitoka sebuleni unakuja jikoni then ndo chumbani, Asante Mungu pale jikoni nlifanikiwa kushika mwiko wa ugali
Hapa ndio umekosea katika utungaji wa stori hii bi-dada, hakuna ramani ya hivi inayomruhusu mtu aliye bebwa juu juu kwenda chumbani akashika mwiko kwenye chumba cha jiko! This is a cooked story dear! na hapa ndio penye makosa kwenye utunzi.
 
Guuuud he deserve it hajiheshimu..
Baadhi ya wanaume akili mwao wanawaza ngono tuu

Hakuna cha kesi anakutisha tuu
 
Hahahahaahaha..JF noma sanaaa....jamaa yaonekana baunsa had kakubebelea vzur tu..

Jitahidi kumkwepa,au na we kata RB,si inawezekana
 
Nenda TAMWA wapo Sinza mori au Legal and Human Rights wapo Kinondoni au nenda kituo cha polisi kilichopo karibu nawe karipoti "an attempt to rape"
 
sasa hapa tutaaminije kuwa hakuwa mpenzi wako ili hali na wewe ulikubali kwenda geto kwake?kama na wewe unajitambua vizuri toka lini mambo ya biashara halali(hiyo uliyoisema) yakajadiliwa geto tena kwa msela?lini paka akaishi kwa msela??hapa inaonyesha tu jinsi gani wewe siyo mtu makini katika kufikiri nakuamua,ilitosha kukutaka uwanja huru kwa majadiliano yenu vinginevyo huko geto ulienda kwa mambo hayo sema hapa unaficha baadhi ya vipande vya picha.
 
hapo kuna kesi ya shambulio la kudhuru mwili......... Vp ww una evidence yoyote inayoonyesha kuwa alitaka kukubaka?? Lakin usiogope kesi ndogo sana hyo wala haiendi popote

na yeye ana defence ya SELF DEFENCE
 
Back
Top Bottom