Njia ya kurukia ya mita 3.5??? Hapa itaruka ndege Gani? Njiwa au kunguru?Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
MAMA ANAUPIGA MWINGI.itakua na urefu wa mita 3.5 .
Picha ya Stand ndio airport? Hapo Chauginge ni Mjini au?Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
Mkuu, upo serious kweli na hii taarifa 🤔?Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
NjiwaMita 3.5 ni aina gani ya ndege?
VIPI CHATO INTERNATIONAL AIRPORT IMEFIKIA JAMANI?Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
Mita 3.5 au kilomita 3.5?Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
Ripoti ya lini hiyo?Kama lengo ni kusafirisha fresh products, hasa matunda, itakuwa ni wazo sahihi.
Na kwa vile ile report ya BoT inasema ndiyo mkoa unaoongoza kwa idadi ya mabilionea, wajenge tu. Ila nina mashaka makubwa ni eneo. Maeneo ya kule kuna milima mingi, lazima ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege utakuwa aghali sana.
Ukitumia ungo unaweza Mkuu!Mita 3.5 hata mimi siwezi kuruka 😂 😂
Huo ni upana sio urefu japo hapo ni ndege za katiMita 3.5 ? Mbona Sawa na urefu wa Costa Tu! Labda km 3.5